Search results

  1. james chapacha

    Kampeni ya "Magufuli Baki" yaanzishwa. Yeyote atakayepinga atachukuliwa hatua

    Enzi za kuvaliana Viatu zimekwisha,amalize muda wake akachukue mafao yake.yye na Viatu vyake wakapumzike kwa aman,huu ni utaratibu tulio jiwekea wenyewe nivyema kulinda heshma ya nchi kulko matakwa ya MTU mmoja.
  2. james chapacha

    Dodoma: Bunge limenaswa kwenye ndoana ya maigizo ya Makonda

    Tanzania bila DAWA haiwezekani magonjwa ni mengi.
  3. james chapacha

    Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

    Mkuu kama vp zba masikio
  4. james chapacha

    Dar ni mkoa pekee wenye RC Darasa la Saba

    Sasa mbona mnatuchanganya?si nilisikia jamaa kaishia darasa la NNE?yakwamba alishndwa mthn akasepa?
  5. james chapacha

    Onyo kwa bunge dhidi ya adhabu kwa Makonda

    Si nmesikia ameenda mikono mitupu hana hata bahasha?au mizgo iltangulia?
  6. james chapacha

    Hujuma: TBC kukata sauti kwa masaa kadhaa pasipo jitihada za kuirudisha kufanyika

    Wazee wa DT,hawajapokea salam zngine kutoka kwa waziri mkuu wa Somalia?
  7. james chapacha

    Umri wa Lowassa una utata mtupu. Eti ni mdogo kwa Kikwete?

    Labda twende shulen alkomalzia sec.nayye sikamalizia pamba sec?
  8. james chapacha

    Maadhimisho ya Mwaka Mmoja ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda kuwa madarakani

    Ili kuepuka habali zisizo za uhakika inawabdi TBC wawepo kila tukio.waliyo yafanya juz wanatakiwa kuomba radhi Mara 360,na walipe fidia ya Tsh.1(moja).watu tulirukaruka kwa Pongezi kemkem za rais wadunia kumbe hakuna ktu.
  9. james chapacha

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Sasa mbona tuna changanyana?kwan mkulu wa Disalame aitwani?
  10. james chapacha

    Masoud Kipanya Uhuru Umezidi Mipaka

    ujinga sio tusi, mleta mada kuna jambo linakusumbua.wacha tafsili za kijinga.
  11. james chapacha

    Wanaowabeza Polisi mitandaoni ‘kushughulikiwa’

    kwa michango hii tunaitj upatanishi na jeshi letu la polis,jaman tukumbuke polis ni watanzania wenzetu chuki isizid kipmo.
  12. james chapacha

    Pendekezo: Mahakama ya mafisadi ianze na kashfa hizi

    iv kesi ya samaki iliishaje?
  13. james chapacha

    Mustakabali wa ufisadi, Richmond na usalama wa aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa

    Naipitia upya ripoti ya mwakyembe nione kama kuna sehem imemtaja EL.
Back
Top Bottom