Search results

  1. S

    Shujaa wako mwaka 2012

    Jk ni shujaa wa mwaka 2012.
  2. S

    Kwa mwendo huu hakika CHADEMA itafika 2015 kwa nguvu zaidi ya hii iliyopo

    mara nyingi mtoto ambaye hampendwi ndiyo mwenye akili ktk familia.
  3. S

    Viongozi wa vyama vya upinzani Mtwara wakamatwa na polisi

    mbaazi zikikosa maua husingizia jua.
  4. S

    Kuchana Bendera ya CHADEMA kwamuweka matatani Diwani wa CCM

    ubaguzi, ubinafsi na fitna za siasa hizi zinakaribisha chuki na machafuko ktk jamii zetu hapa Tanzania.
  5. S

    CCM yapendekeza wagombea binafsi kwa nafasi zote ukiwemo urais

    waroho wa madaraka wanaiandama chadema kila kukicha. Magazeti ya udaku/propaganda.
  6. S

    NEMC: Uchimbaji wa urani (uranium) una athari kubwa

    Uranium ni hatari,ukitaka kujua hebu google na usome uranium ni nini? Sifa za uranium, tabia yake;decay,disintegration,dissemination,half life yake na madhara yake kwa binadamu na mazingira.watawala wetu hawa wanaleta porojo na siasa kwenye mambo ya sayansi. wataalamu wamemezwa na...
  7. S

    Bima ya Afya (NHIF) ni ukusanyaji wa kodi:

    Bima ya Afya ni ufisadi mwingine,wanakata mishahara ya wafanyakazi kila mwezi kwaajili ya bima ya afya lakini ukienda hospitalini hakuna dawa kwa wenye bima huu ni utapeli.
  8. S

    'Mwanajeshi' aliyepiga Picha na Lema Mbaroni

    politiki na sarakasi za bongo is so boring .
  9. S

    Sakata la Gesi: Tuiangalie kusini kwa jicho la tatu, tuache siasa!

    Tatizo sio gesi tu BALI Watanzania wamepoteza IMANI kwa WATAWALA wetu .Swali; serikali iliibuka kwaajili ya nini?
  10. S

    Mbowe: Sikumtangaza Dr. Slaa mgombea urais 2015

    waandishi makanjanja hao!
  11. S

    Salaam za Lowassa 2013: Watanzania chukueni maamzi magumu!

    maamuzi magumu hayasemwi tu huwa yanachukuliwa tu mara moja na wenye macho wanayaona.
  12. S

    Kikwete ameteleza kushinikiza gas kupelekwa Dar es Salaam

    Tatizo wanaoshauriwa wanaakili sana kupita wapiga kura,matokeo yake ndiyo haya tunayoona.
  13. S

    Kikwete ameteleza kushinikiza gas kupelekwa Dar es Salaam

    ni kweli gas inayopatikana Mtwara ni malia ya watanzania wote lakini busara na hekima kutoka kwa viongozi wa ngazi husika zinahitajika kuhusu suala hill.tuache politiki.Tumie akili /brain kuliko kutumia mdomo sana.
  14. S

    Hongera Vyama Vya Siasa kwa UBUNIFU wa Mtwara

    uzalendo wa kweli ktk nchi yeyote hauletwi na vyama vya siasa.eti tutashind/tutawagalagala hopeless kabisa.Leo hii nchi nchi zilizoendelea wanachagua watu wanaofaa kuwa viongozi wa nchi bila kujali katokea chama gani.nani anazifahamu rangi za bendera za chama cha Democratic au Republican,binafsi...
  15. S

    Bakhresa kumwaga mabasi 300, TABOA na wanasiasa wenye vyombo hivyo msilete hujuma!

    Bakhresa ni zaidi ya umjuavyo,yakuambiwa changanya na akili yako.
  16. S

    Wananchi Mtwara Mjini wafanya maandamano makubwa kupinga gesi kusafirishwa kwenda Dar!

    viongozi wetu wanashangaa kuwaona watanzania wakiandamana kudai haki eti wanafundishwa na vyama pinzani kwamba pekee yao hawezi kufanya hivyo,kwa sababu viongozi wanawafahamu sana watanzania hawana uwezo wakufikiri. Hivi mpaka leo watanzania hawajui kama viongozi wetu ni wezi wa mali za...
Back
Top Bottom