Search results

  1. G

    CCM walishana yamini Dodoma

    Hapo sawa,ila mpaka cdm waingie raslimali za Taifa itakuwa vipi. Maana tunashudia kwa macho yetu.Faru waliokuwa wengi Tanzania wakaunzwa Kwa Kaburu Sasa tunanunua kwao kwa bei kubwa sana.
  2. G

    Kesho April 26 ni Sikukuu ya Maadhimisho ya Muungano

    Mbona sioni matunda ya 48yrs ya huu muungano sababu haswa ya Muungano ni ili nini? Au kuwa watu wa Zanzibar Umeme kisha kuwagandamiza?
  3. G

    MDAHALO: Kikwete akivunja baraza la mawaziri atathibitisha udhaifu wake

    mimi naona muda umefika kwa sisi watanzania kusema 'no'kwa hawa wezi. Kama serikali inalinda wezi pia tuseme sasa basi maana hakuna mtu atkaye toka nje ya tanzania kututete kama sio sisi wenyewe. Kwa kuwa rais wetu naye anaka kimya kanakwamba mawazi wake wameonewa katika hili kazi ni...
  4. G

    Wabunge wa CCM waitwa na kuonywa kuhusu saini 70

    Tumwombe Mheshiwa Mbowe,Waite Vijana wako wote tupate sahihi zao,Na vyama vingine vyote tuunge mkono kwa kusaini. Hata nyie CCM mlio wasafi tafadhalini sana ondoeni hii Aibu kwa Taifa wekeni Saini Zenu kazi iende Haraka.Tutabaki na hawa Wezi wa Mali za nchi Mpaka lini? Tuwe Macho...
  5. G

    Magufuli augua ghafla, alazwa

    Dhibitisha Kauli yako je anaumwa kweli au la?
  6. G

    Waheshimiwa wabunge ambao ni wagonjwa kwa muda mrefu sana wajiuzulu!

    Mzee wasira sio ugonjwa amechoka na Mchakamchaka hawezi,Mheshimiwa Rais Wazee kama hawa watafutiwe kazi mbadala lasvyo lawama kwa chama hazitaisha na wewe ndiyo unayetarajiwa kunusuru chama kwa Sasa.
  7. G

    Waheshimiwa wabunge ambao ni wagonjwa kwa muda mrefu sana wajiuzulu!

    Mimi naona tufike mahali Serikali itueleze kama mtumishi anaumwa muda mrefu na hawezi kutekeleza kazi zake sababu ya Ugonjwa alio nao,ni lazma aachie ngazi wachaguliwe wengine. Angalizo kuokoa pesa na muda unaotumika kufanya uchaguzi upya.Napendekeza mshidi wa pili apitshwe kuongoza kipindi...
  8. G

    Sababu tano zilizofanya ccm idondoke ARU MERU !

    Sera za ccm ni danganya toto,Sasa watanzania wa leo ni wasomi na kamwe hawawezi kupoteza muda wao tena.(walio wengi wanajuta sana .Ila kwa mwenendo wa matukio ya Arumeru ni dharihi kuwa Ccm haijawahi kushinda kihalali Chaguzi zote Hapa nchini.
Back
Top Bottom