Search results

  1. M

    Hivi kugoma ni haki ya kikatiba kweli

    Jamani, katiba ni sheria ambayo inatoa mwongozo juu ya sheria nyingine zote ambazo kwa kuzihesabu ni zaidi ya 500. Sasa si lazima kila kitu kielezwe kwenye katiba na zaidi ni katiba hii hii ndio inayotoa mamlaka ya sheria nyinginezo kufanya kazi na watu kuzifuata ilimradi hazipingani nayo, sasa...
  2. M

    Baraza la usuluhishi la kata linaweza kutoa talaka?

    Kwa ufupi tu ni kwamba hakuna sheria yoyote inayotoa mamlaka kwa baraza la usuluhishi kutoa talaka kwa ndoa ya aina yoyote ile, ila kwa mujibu wa sheria ya ndoa sura ya 29 ya sheria kuu za Tanzania kama ilivyorudiwa mwaka 2002, kifungu cha104(5) cha sheria hiyo kinalipa baraza mamlaka ya kufanya...
Back
Top Bottom