Search results

  1. K

    Serikali itasimamia na kutekeleza matakwa ya wananchi katika kupata Katiba mpya

    siunajuwa azanzibar ni wanafiki hawajuwi nini wanataka
  2. K

    Omary Mapuri yupo wapi?

    mapuri yuko anzibar na amechaguliwa katika tume ya uchaguzi ya Zanzibar zec anaendeleza malengo ya ccm kule
  3. K

    TBC wanaichukulia Zanzibar kama nchi jirani

    ndugu yangu ni sawa kabisa kwani tanganika iliungana na Zimbabwe au hukumsikiya waziri wetu wa elimukule Africa ya kusini
  4. K

    Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    haya jamaa nauliza hayamaafa yakitokea kule visiwani tunasema wanapewa adhabu na mungu kwa kuchoma makanisa je yana yanayotokea huku kwetu bara na sisi tumechoma nini
  5. K

    Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    jamani mimi nuliza tuu maafa kama haya yakitokea kule kwa wenzetu wa visiwani huwatunakimilia kusema kuwa wamemkosea mungu kwa kuchoma makanisa jee haya ya huku kwetu bara tumemkosea nani
  6. K

    Zaidi ya wachimba moram 12 wafukiwa na kifusi Moshono Arusha

    jamani mimi najiuliza maafa kama haya yakitokea kule kwa wenzetu wa visiwani kama kuzama kwa boti na mengine tukimbilia kusema wamemkosea mungu kwakuchoma makanisa jee haya yanayotokea huku kwetu bara tumemkosea nani
  7. K

    Mwalimu Nyerere tangu mapema hakufurahia maendeleo ya Wazanzibar?

    hii picha ni katika kusherehekea mapinduzi mwaka 1966 sio 1963 kama hujuwi uliza wangu usizushe uwongo
  8. K

    Mwalimu Nyerere tangu mapema hakufurahia maendeleo ya Wazanzibar?

    ndugu yangu wacha fitina zako pili hii picha sio ya mwaka 1963 ni uwongo huoo 1963 bado karume hajawa raisi wa zanzibar wacha kupotosha ukweli au ndio umetumwa na maccm wasiopenda ukweli
  9. K

    Mpangilio mzima wa Sherehe za Uhuru wa Tanzania Washington Seattle

    jamani mimi nilikuwa nataka kujuwa tanzania ilitawaliwa na nani? na ilipata uhuru mwaka gani? jee tanzania si lizaliwa 1964 aprill ? wanajamvi naomba kujuwa haya
  10. K

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    haya tena wajamii tomeona sasa haya yagalifanywa na wazanzibari tungesema hawajasoma kazi kukaa vibarazani sasa hawa ndio walosoma amakweli jk huna serekali
  11. K

    Kwanini kila kitu tunatolea mfano Kenya?

    sasa cc watanganyika tumeshugulika na ufisadi tuu hata leo pia ikiwa wazanzibar watakuwa kivyao basi tutatolea mfano wao kwani tunajuwa walivyo tuwache kulala watanganyika wakati umefika sisiem kuondoka
  12. K

    Kikwete's 'Maisha Bora kwa Kila Mtanzania'

    ndugu yangu ulieweka picha hapa ulitegemea nini wakati wewe ndio uliyepigia kura sisiem
  13. K

    Sitta: Uchaguzi ndani CCM umevurugika

    jamani hebu nammbieni toka lini mzee wa miaka hamsini akarudi kuwa kijana wa miaka kumi na nane sisiem ni kizee tuu hata wafanye nini hawawezi kuwa kama chadema kwani ndio kwanza kijana
  14. K

    Baraza la Wawakilishi Zanzibar kila Mwakilishii Moto kuhusu Muungano

    mimi naona bora tukawaachia nchii yao hawa jamaa kwani iko siku tutakuja kujuta sana kwa hawa wazenje kikwete na pinda fanyeni kazi mambo hayo haraka iwezekanacho wasituharibie nchi
  15. K

    Mihadhara ya katiba ya Prof. Shivji

    mimi nilitaka kujuwa ikiwa baba amekufa ndio tusiuliza mali alizoziwacha au alikuwa vipi mpaka akafa wacheni kutubambikiza mambo yaliokuwa sio yetu shivji na ccm wenzio
  16. K

    Dr. Shein kuelekea 2015...

    wandugu inaonekana hata viogozi wa tanzania hamuwajuwi sheni sio makamo wa kikwete sheni ni rais wa zanzibar inaonekana hamuwajuwi viongozi wa tanzania ila mmo katika kushabikia tuu kwanza someni vizuri mada ndio muchangie makamo wa rais ni mohammed bilali sio sheni tujuwe viogozi wetu ushabiki...
  17. K

    CHADEMA, Vipi Tuuboreshe Muungano?

    Ndugu yangu Mkandara inaonekana wewe hujafuatilia habari katika nchi yako au hutaki kujuwa wazanzibari walishasema na baraza la mapinduzi lilisema kuwa wameyatoa mafuta katika muungano lakini watanganyika bado wamesikilia kuwa bado ni la muunganondio ukaona kuwa serekali haina la kufanya na...
  18. K

    UAMSHO wasalimu amri kwa Polisi!

    ndugu mwandishi naona umeandika kuwa muhadhara haukufanyika ,lakini hapa naona picha umefanyika sasa na yupi mkweli au ndio nyinyi mlowekwa kupotosha uma wa watanzania kama huna uhakika na mambo bora unyamaze wangu
  19. K

    Mwenye picha ya kiti cha tanganyika kwenye umoja wa mataifa atuwekee pls.

    sasa ukiwekewa hiyo picha itasaidia nini wewe na hiyo picha ya zanzibar inawasaidia nini leo ndio kwanza tumewatawala
  20. K

    Dr Slaa: Nionyesheni hati ya muungano ili nami niutambue muungano!

    haya jamani sasa ndio mnataka kujuwa hati ya muungano kwakuwa kaseme dr slaa lakini pale wazanzibar walipokuwa wakisema tulikuwa tunawatukana na tukiwambia kuwa wanataka kuregesha usulutani haya sasa kazi ianziye kwetu mpaka itolewecheti cha ndoa
Back
Top Bottom