I beg to differ. Hatuwezi kufananisha hivyo vyama na ccm.
The judiciary system is there for him to be exonerated if not guilty.
Ebu nitoe mimi tongotongo. Ni kivipi Democrats wamebambika hiyo kesi? Sioni correlation yoyote mkuu.
It’s not that trumpy doesn't have the money to pay the bond. He just doesn't want to use his money to pay it. I’m quite sure he's trying to drain the RNC to pay that bond.
The go fund me isn't working. None of his rich billionaire friends are going to help him... because he doesn't have any...
Walitumwa mkuu. Kuna ambao wamefunguliwa mashtaka marekani. Na kule Haiti pia mke wa rais ambaye naye siku anauwawa alikuwepo. Ametajwa na jaji anayesimami hiyo kesi ya mauwaji. Wengine ni waziri mkuu aliyepita, pamoja na mkuu wa polisi aliyepita.
Wengine walioshiriki nao walikamatwa marekani...
Hakupigwa risasi na vibaka yule rais Jovenel Moise. Ni mercenaries 28 kama sikosei. Wengi wao wakiwa ni wanajeshi wastaafu wa Colombia.
Wewe unasema rais alipigwa risasi na vibaka. Unamzungumzia Jovenel?
Usifananishe vitu ambavyo havifanani.
Putin hawezi kuipiga Kyiv kama Netanyahu anavyoipiga Gaza.
Kyiv ipo intact hata viongozi wakuu wa mataifa mbalimbali wanatembelea pale.
Gaza hata chakula chenyewe hakiingi pale.
Kwanini mnapenda kuandika vitu visivyokuwa na uhalisia? Au mnafurahishana tu?
Hata sijui unaongea vitu gani! Rais gani alipigwa risasi na vibaka?
Halafu kule Haiti ni vikundi vya uhalifu siyo kama M23 ambao wana mafunzo ya kijeshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.