Search results

  1. P

    Florah Mbasha: Mimba niliyonayo ni ya Mume wangu sio ya Gwajima

    Uuuuuuuh na mimba zenye walakini watoto wakizaliwa huwa wanaumbua wajameni....ngoja amzae atoke copyright ya Mtume na nabii.....wa uongo...
  2. P

    Ezden apata mpenzi UK

    Dogo karuka mk o o Jo kakanyaga ma.....v....i
  3. P

    Mama Salma Kikwete: Ni mke au mtendaji wa Serikali?

    Jamani alisema alimuwakilisha mume wake au kosa lake kusema Raisi...basi angesema tu mume wake watu msingehoji ila ukweli unabakia mume wake ni Raisi.
  4. P

    Mbio za Urais 2015: Mbatia aungana na 'Team Lowassa' chini ya Uratibu wa Apson Mwang'onda

    Mimi nashaangaa sana hivi yupo kweli aliyemsafi kwenye iyo system yao.....ilo la uchafu na ufisadi wa Lowassa ni kazi bure maana wote wachafu hata huyo sijui joka la mdimu sijui nani....
  5. P

    Ruge nini ulichomfanyia Q-chief?

    Ama kweli dunia inazunguka huyu nae sahiz anamtaja taja Mungu......
  6. P

    Afukuzwa Dubai sababu vyuma vya uso

    Kubwa jinga,linatisha bora wasiopenda ujinga wamelitimulia mbali,hovyo....
  7. P

    Mwanasheria wa Serikali (Werema) na Sophia Simba nusura wazichape kikaoni

    Sophy hongera zake .....maana werema anajiona mungu mtu...kauli zake ni za ajabu ajabu tu,yeye mwenyewe mbona kilaza tu..
  8. P

    Picha: Ephrahim Kibonde wa Clouds FM atiwa nguvuni

    Ama kweli leo Kibonde kabondeka!ujanja na ujuaji wote kwisha...the guy thought he was above the law.
  9. P

    Mwenye picha ya huyu mzee mwizi watuleetee humu

    Ningekuwepo ningemnunulia dozen ingine ya iyo dawa na iyo ningeilipia....I feel bad.... For him to steal iyo dawa he has a big problem with money...mbu zinamla sana huko kwake masikini mwe....I don't even see it funny mpaka watu mnadai pic Yake tuhurumiane jamani kwenye haya maisha hatufanani...
  10. P

    Onyo kwa mpaka rangi kucha

    Uuuuuuh jamani jamani wewe kidume kwahiyo unamuogopa kumuonya Mkeo kwanza Hadi unakuja humu jamani.....
  11. P

    Florah Mbasha na mumewe "WAPATANA"

    Nahisi kuna mtu anakwenda kuumizwa zaidi sasa....sijui kwanini nahisi Haya mapatano yana walakini...
  12. P

    Bunge limuadhibu Naibu Waziri Massele

    Wamuadhibu kwa lipi wakati walimtuma wenyewe aseme vile....hivi nyinyi mnafikiria kwa kuongea vile Masele aliamua mwenyewe...katumwa na hao hao wakubwa zake,chezea CCM weye.....kuna kazi hapo, Yule kafanywa kafara tu Kama hujui.
  13. P

    Emmanuel Mbasha nje kwa dhamana

    Kah. Ndio maana wanasema kwenye familia yeyote mwanamke akiwa mchawi ..familia inakwisha...hata huruma Flo umekosa kwa mtu aliyekuzalisha mtoto lol....hebu ona aibu hata kama ni kweli iyo ni biblia gani unayosoma isiyoruhusu msamaha?Mungu atakuweka mahali Pako siku si nyingi..
  14. P

    Mch. Gwajima: Mimi sio kama wale (kuhusu kashfa)

    Eti hawezi kufa mpaka amalize kazi..Hivi kumbe yeye anajua siku yakufa kwake..Hivi hii jamani si kufuru...
  15. P

    Kwa anayofanyiwa Wambura,Simba tusijuane

    Kwani huyu wambura jamani Ana kazi gani ingine maishani mwake?Samahani kwakuliza sababu ni muda mrefu anawekewa vizuizi lakini yuko tu analazimisha si awachie hiyo simba yao afanye yake tu...kwani asipogombea atakuwa je...abakie tu mwanachama kama wengine tu sasa.
  16. P

    Utabiri wa Nabii: Mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva kufia Jukwaani kabla ya kumalizika kwa mwaka huu

    Yaani hawa kazi yao kuona mabaya kutokea tu Hivi kama kweli watumishi wa Mungu wa ukweli kwanini wasiombee na kufunga ili kuzuia hayo mabaya?to hell Namaoni yake anataka tu wasanii wakimbilie kwake kuomba awaombee kifo kisiwakute...nawalivyo wahovyo some of them are going to buy this his lousy...
  17. P

    Jenifer Mgendi mkongwe wa mziki ila hajatoka

    Huyu jamani Hana karama ya uimbaji analazimisha tu.....kale ka sauti kake hata.....
Back
Top Bottom