Search results

  1. M

    Dk. Joyce Ndalichako atosha wizara ya elimu

    Dr Jabiri Kuwe Bakari wa eGA atosha kwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano
  2. M

    TIMU Magufuli tukutane hapa

    Pamoja
  3. M

    Riwaya: UCHU

    Kiongozi i cant wait je kuna . Kitabu cha hadithi hii,gharama yake tsh ngapi na kinapatikana wapi
  4. M

    Ripoti ya Ufisadi wa IPTL kukabidhiwa kwa Kikwete badala ya Pinda

    Lets wait and see,time will tell
  5. M

    Mwanaume mwenye sifa hizi anapaswa kuwa mme wangu

    Mi nipo nina sifa zote hapo juu,nipo Mwenge,ni pm nami nipo kwenye mchakato wa kumtafuta yule ambaye wa ubavu.
  6. M

    Natafuta Boyfriend aliye serious

    30yrs mwenyeji wa kilimanjaro,elimu ya chuo 4degree,
  7. M

    Movie kali 2014

    Kuna hizi za kikorea,anza na 3days,ghost,athena ni mwisho wa matatizo
  8. M

    Inahitajika gari kati ya Spacio au Raum

    Mi ninayo raum cvw imported mwezi march 2014 ni pm
  9. M

    Inahitajika gari kati ya Spacio au Raum

    Mi ninayo cvw imported mwezi march 2014 ni pm
  10. M

    Beka Mfaume vs Hussein Tuwa: Nani mkali wa riwaya za taharuki?

    Navitafuta vitabu hivyo vya hussein nitavipata wapi hapa Dar?
  11. M

    Toyota probox ya silver inauzwa

    Imported kutoka japan december 2012,ni ya Mwaka 2003 ,namba zake ni CFJ,bei 8.0,imelipiwa compresive insuarance.mawasiliano 0714905501
  12. M

    ICT Registration board

    Kind Wazo lako ni zuri mkuu,nami nilikuwa na wazo kama hili kwani kitendo cha kutokuwa na board kinasababisha watu wasio na taaluma hii kuingilia na kutothaminiwa,kitendo cha kuwa kwenye ERB ambayo yenyewe imejawa na wazee wasio na ujuzi wa hii fani so sidhani kama ERB ni msaada.Labda ICT...
  13. M

    Msaada wa matofali ya cemement na udongo

    nenda pale mwenge kwenye roundd about kuna watu wanajiita NHBRA IPO KWENYE YALE MADUKA YA VIFAA VYA UJENZI WANA MASHINE NA PIA WANAZO TOFALI HIZO
  14. M

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    nitasema ukweli daima unafiki kwangu mwiko lo mnyika big up mbunge wangu cjutii kukuchagua
  15. M

    Are you a man aged 33-40??

    nimetimiza 27yrs ,je naruhusiwa ?:pray:
  16. M

    Shikamo dada, shikamo mama zinanisaidia sana.

    mwenzio mie huwa najifanya niko serias ile mbaya ,mpaka wananiogopa
  17. M

    Msaada; Tshs 85Mil, inajenga Ghorofa??

    bila shaka hilo lingewezekana iwapo dr slaa angekuwa rais coz vifaa vya ujenzi vingekuwa chini piga mahesabu kuwa kwa sasa kila square mita moja laki 4,je we jengo lango litachukua square mita ngapi?
  18. M

    Wabunge EALA kulamba shs 17 milioni kwa mwezi

    kama kila baada ya miezi miwili wanakaa siku 14 kwa mwaka watakaa siku 84 na kwa malipo ya dola 600 kwa siku hizo ni sawa na 84 *600=50400$==50400*1600tsh=80640000 hiyo tukijumlisha mshahara kwa mwaka(17000000*12)=(204000000) so jumla ya mapato ya mbunge kwa mwaka ni tsh 284,640,000 =na...
Back
Top Bottom