Search results

  1. Moneyowner

    Watanzania tuache kusoma hizi Course (Kozi) supply imekuwa kubwa Kuliko demand

    Hawa ndo wanotengeneza mkwaja mrefu wakipata kazi. Amini usiamini sayansi mateso shule Hadi kazini
  2. Moneyowner

    Kuna Nini Mbona Kuna Wimbi Kubwa Sana La Wahindi Wameingia Tanzania Katika Muda Mfupi?

    Kuna kiwanda Fulani hapa dar Cha wahindi Kuna project inaendelea. Wamekuja Kama 200 ivi. Labda hao ndo uliowaona
  3. Moneyowner

    Tetesi: Makinikia yameanza kusafirishwa tena?

    Mnavyotukanana ivi sisi mabeberu tunachekelea mno
  4. Moneyowner

    Nahisi wanaokunywa pombe wana furaha zaidi kuliko wanywa soda, juisi na ukwaju

    Siyo kweli, wanywaji na walevi ni watu wawili tofauti. Walevi Wana stress
  5. Moneyowner

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Endeleeni na huu upumbavu wa kutajataja makabila. Mtakuja kuchinjana huko mbeleni shauri yenu. Naona mauaji ya Rwanda na Kenya hamjajifunza. Hakuna Raisi amewahi kupendwa Tanzania hii toka enzi za mwalimu.
  6. Moneyowner

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Da ndugu unaonekana una roho ya kibaguzi kweli. Watu wa hivi asilimia kubwa ni wanafiki pia. Inawezekana wewe ulikuwa muuza unga
  7. Moneyowner

    Mataga wamevurugika kweli maana kila kitu wanaona sio sawa na kuhisi wanaonewa.

    1.samahani ndo akina Nani hao? 2. Na kwa nini wameitwa hivyo? 3. Mataga ndo nini?
  8. Moneyowner

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Acheni kufikiria matumbo yenu. Jengeni hoja za msingi zitakolisaidia taifa miaka 50 ijayo. Siyo kutukana viongozi wa serikali kisa suruai yako ina viraka vyingi.
  9. Moneyowner

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Taja makabila yanayofaa tujue mapema. Hakuna kitu hatari katika taifa lolote Kama kubaguani. Kwa mwandiko wako hata nyerere hakupaswa kupewa uraisi. Siasa za Tz Kama huzijui unaeza ukawa unaandika utumbo Kwa sisi tuliofutilia namna kikwete alivyosemwa vibaya enzi za utawala wake hadi Dr slaa...
  10. Moneyowner

    Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Hizi ni kauli na kijinga na kipumbavu, Fikra Kama hizi zimejaa ubaguzi na umimi. Watu smart na wanaojitambua hawatambuani kwa makabila/dini/Kanda au rangi. Roho ya kibaguzi haina mpaka leo utawabagua Hawa kesho itarkuwa wale.
  11. Moneyowner

    Sasa hivi MB zinatafunwa kama hazina mwenyewe

    Suala la vifurushi kutatuliwa ni changa la macho, binafsi MB zinavoliwa sina hamu. Halotel yangu ya sasa siyo ya zamani. kifurushi cha wiki kinakata kwa siku mbili zamani nilikuwa naenda hadi siku tano au sita kwa matumizi yaleyale. Ama kweli kazi iendelee.
  12. Moneyowner

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Bro forex is for smart people wasio na parapara ila wanasubira ya ukweli. 80% of forex is waiting and not trading. Kama imekushinda kalime matikiti.
  13. Moneyowner

    Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

    Kasome upya, Kama umetrade forex kwa discipline two years plus huwezi sema eti gambling. Forex is the game of psychology ukiimaster emotions zako umewin Mtaji Siyo issue Sana Kama una knowledge sahihi hata dola 500 Ni pesa nyingi Sana. Hakuna daily profit kwenye forex so Kama huwezi kukaa siku...
  14. Moneyowner

    Kama hutojali, tupe siri yako ya kupata usingizi haraka usaidie wenye tatizo hili

    Mimi huwa nasinzia kwenye Kochi kabla hata ya kufika kitandani. Naweza hata kusahau kufunga mlango nikianguka kitandani sa5 mpaka 12. Ushauri 1.tumia siku yako vizuri kwa kufanya kazi 2.kuwa na ratiba ya mazoezi japo 30 min kila siku He 3. Jenga mahusiano mazuri na watu wako wa karibu. 4...
  15. Moneyowner

    Watanzania tubadilike

    Umeandika nini sasa
  16. Moneyowner

    Mnaowaita Mabeberu wamekohoa sasa

    Ujinga mtupu. Marekani wapuuzi tu Kama TUNDU LISU
Back
Top Bottom