Search results

  1. G

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    erythrocyte, acha kuwa mtumwa wa mbowe and team.............au na we ni mchaga kama akina ben sa9?!
  2. G

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    ila jamii inazidi kupata ujumbe kwamba kumbe ni kweli chama kinaendeshwa kimangimeza / fitna!!
  3. G

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    acha porojo, pingamizi kukubaiwa ndo kushinda kwenyewe and vice versa!
  4. G

    Chadema!!hapana lazima wote waende wote ni wasaliti........

    huo ndo ukweli kamanda ila wafuasi watapindisha maneno weee ili mradi mbowe aonekane hana hatia, kosa la zito na mbowe ni la aina moja! they must all go........ wote ni wasaliti hakuna mwenye afadhali kuliko mwingne!
  5. G

    Leo hamna cha simu wala ipad ndani ya court -- Zitto anaelekea kushinda

    wenye akili zao bado wanamuhitaji ndani ya chama, ila wanywa gongo waliokaririshwa santuri ya usaliti ndo wenye matatizo - haishangazi kuona wanapofuliwa macho kwa mawe huko mahakamani!!
  6. G

    Uongozi wa NSSF ni udini au ukabila

    majungu - thibitisha madai yako!
  7. G

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    mleta mada naona uaanza kuwa msaliti muda c mrefu utamfuata zito - katiba yetu ibara ya 007 inasema ni MARUFUKU mtu yeyote kuhoji viongozi wakuu wa chama! sasa we endelea tu..........
  8. G

    Kutoka Mahakamani: Hukumu ya kesi ya Zitto dhidi ya CHADEMA!

    mie sioni tofauti ya usaliti wa zito na ule wa mbowe (kupokea pesa kutoka ccm) - unless niambiwe wanatoka pande tofauti za jamhuri ya wadanganyika!!!
  9. G

    Mmoja kati ya mashabiki apasuliwa jicho kwenye vurugu Mahakamani.

    eti falsafa mpya cku hizi ya chadema ni mtu yeyote mwenye mawazo tofauti na uongozi ni either afukuzwe chamani (msaliti!) au apigwe! hizi ni dalili za udikteta na ni dhahiri chadema itakuwa ngumu kupenya vijijini iliko ngome kuu ya maccm!.
  10. G

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    na mbowe je? au yeye haguswi kwamba yuko juu ya katiba ya chama?! haya mambo ya kibaguzi hatupendi kuona ndani ya chama - tunataka haki na usawa kwa wote! alipokuwa mwanza mbowe alikaririwa akisema yeye hana bei na kwamba hata ccm wanajua hivyo, pia alisema ktk chadema hakuna aliye juu ya...
  11. G

    CHADEMA imetuangusha, Ni wakati sasa wa Mbowe kuachia ngazi!

    ama kweli we chadema mfuasi - hupendi kuona chama kinakosolewa hata kwenye madudu ya dhahiri, kwa mtaji huu mabadiliko tuyatakayo ni ndoto 2015!!
  12. G

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    yeye ni kiongozi mkuu wa chama - tuhuma zozote haswa dhidi yake ni ishu, haijalishi zimefikaje ndani ya chama......vinginevyo atoe maelezo na vielelezo vya kina yeye mwenyewe ili kukanusha tuhuma!
  13. G

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    mie kilichoniuma ni kudanganywa na kiongozi mkuu wa chama mbowe (sio mh!)...............kutuambia 'hata ccm wanajua kuwa hana bei' huku mwisho wa cku anakihujumu chama kwa kuuza majimbo, ukiondoa ushabiki - huu ni usaliti wa hali ya juu kabisa!!
  14. G

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    kamanda acha kukariri - wengi tunachukia ccm ila bado tunamkubali zito hivyo tunapenda kuona haki na usawa ikitumika kumhukumu na sio chuki. pia kwa sasa tuhuma zake kimsingi hazina tofauti na za mbowe - chama kinasemaje juu yake?! mbona kimya?!
  15. G

    Kinachoendelea mitaani kwa ajili ya kumpa support ZZK leo pale H.C

    kibaka /mhuni akiingia ndani ya nyumba yako humkimbii, unabaki kukabiliana naye!!
  16. G

    Mwenyekiti wa CHADEMA Temeke Joseph Yona, apigwa na kuumizwa vibaya!

    police wamkamate lema.........................
  17. G

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    wafuasi wa chadema wanafurahisha kweli kweli....................tuhuma zozote dhidi ya mbowe watapindisha maneno weeee ili mradi kujitoa tu ufahamu. kimsingi kosa la zito halina tofauti na kosa la mbowe - ajabu mbowe yeye hataguswa na chama! wadau wakisema chadema kuna ubaguzi mtajibu ni chuki...
  18. G

    Jamii inatafisri vipi yanayotokea CDM

    kamanda hiyo nidhamu isiishie kwa zito tu...........kwa sasa kuna tuhuma mpya za mwenyekt ningefurahi kuona chama kiki-apply nidhamu dhidi yake ili kutenda haki.
Back
Top Bottom