Search results

  1. M

    Huenda TANESCO wakazima kabisa mitambo hivyo tujiandae

    Tumerogwa na sisiemu we vp? yaani hili swali? na dawa tarehe 25 mwezi huu kama utaki kuendelea kurogwa!!
  2. M

    Vijana tunachelewa sana kujitegemea, kuoa na kuolewa, kukwepa majukumu

    kwa wewe kuishi nyumbani mpaka miaka 40 ni sawa tu! kweli watawala wametuweza hata uwezi wa vijana kufikiri umefika kikomo...
  3. M

    Vijana tunachelewa sana kujitegemea, kuoa na kuolewa, kukwepa majukumu

    Kwa hiyo kuishi kwenu mpaka miaka 35-40 wewe kwako ni sawa tu! Taifa hili kweli watawala wametuweza hata uwezo wa kufikiri umekwisha
  4. M

    Huenda TANESCO wakazima kabisa mitambo hivyo tujiandae

    Siasa ni uongozi, na uongozi mbovu ndio ulitufikisha hapa! Elimu yetu ya wat hamjui hata maana ya siasa
  5. M

    Tahadhari kwa waumini wa Gwajima

    Ndio umeandika nn hapa?
  6. M

    Kwanini CCM wanashindwa kuwalipa Walimu lakini wanaweza kutumia fedha nyingi kuwalipa Wasanii?

    Serikali inasimamiwa na chama gani ndorobo wewe!
  7. M

    Mchungaji Gwajima ana cheo gani ndani ya CHADEMA mpaka kushiriki mchakato wa mgombea?

    Mikutanao ya Ukawa huwa wanakua na sheikh na mchungaji kwa ajili ya sala/swala , hatuwahi kusikia ni wadini, slaa alimuhusisha gwajima kwenye zile hadithi zake, hamkumuita mchonganishi! Slaa amedai kuna maaskofu wamehongwa hata asitaje majina yao, wala kutuambia kama aliwataarifu TAKUKURU, TBC...
  8. M

    Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    KIongozi wa dini aliyetuthumiwa siku ile alikua yeye sasa kwa nn mnataka akae kimya, Wale Slaa anasema kuna Maaskofu 30 waliohongwa hakuwataja otherwise na wao tungehitaji kuwasikia!!! Hamuwezi kuongoza watu kila siku kwa mbinu za udini na ukabila wakati kazi imewashinda siku nyingi...
  9. M

    Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    Ataongea hotel ya land mark yeye ni mhusika wa karibu wa kukaribishwa kwa mgombea wa UKAWA bwana EL na kashfa nzima ya RIchmond, wananchi wanahitaji kujua ukweli....
  10. M

    Askofu Gwajima kumjibu Dr. Slaa siku ya Jumanne - Septemba 8, 2015

    atakua land mark ubungo ila sijajua muda, Taifa linahitaji kujua ukweli na sio ukweli wa kununuliwa kutoka kwa watu walioko madarakani.
  11. M

    Dr. Slaa avuliwa nguo, dili alilipanga Josephine. Alonga na Mwakyembe kabla hajaingia kwenye mkutano

    na wewe unaamini ule mkutano uliandaliwa na yeye mwenyewe slaa na gharama zote alitumia pesa yake kuandaa? ni bora kukaa kimya kama kina lizaboni kuliko kuja na hizi hoja taka
  12. M

    HUZUNI KUU KYELA: Bye Bye Harrison Mwakyembe

    Endelea kudhani
  13. M

    Lowassa ameibuwa Madudu' ufisadi' TPA bandarini

    Nani anaweweseka sasa? Ukawa au ccm?
  14. M

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    njaa ndio inawasumbua hao acha kuongopea wapi eti wasanii wanao support CCM? dumb shit
  15. M

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Hata Kariakoo wamejaa wachaga na wakinga sasa kama mzaramo anapenda ngoma kuliko pesa tufanyaje, huwezi kulazimisha watu wawe viongozi wa siasa wakati interest zao ni ngoma, au ngono kama sifa kubwa aliyo nayo mwenyekiti wa magamba
  16. M

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    Haijalishi huyu katoka wapi? tumia kichwa kufikiri badala ya tumbo.. Mtume muhamad (SAW) na viongozi wake waandamizi sijawahi kuwasikia kuna waliotokea Brazil au Canada, hata Jesus Christ na mitume yake sijui hata mmoja mwenye asili ya Australia au Sudan lakini wana wafuasi dunia nzima. Labda...
Back
Top Bottom