Search results

  1. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Kuna anayekumbuka Kituli na Omboza?
  2. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Nimeishi miaka ya kutosha. Ikinikumba wala silalamiki najiondokea zangu.
  3. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Mwaka 1976 nilikuwa na umri wa miaka 11 nikisoma darasa la 4 shule ya msingi ya mazoezi Kigurunyembe.
  4. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Sawa kabisa. Yeye ni mmoja wa watu wachache sana wakati huo aliyekuwa na line ya simu iya moja kwa moja kwa Mwalimu. Sababu ya Mwalimu kumpenda ilisemekana kwamba Franken kwa kuwezeshwa na waumini wa ulaya ndiye aliyefadhili ujenzi wa chuo cha Kigurunyembe miaka ya 50s kwa thamani...
  5. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Huyo Makundi (R.I.P) sisi tulimkuta hapo mwaka 1974. Principal akiwa Father Franken, padiri mholanzi aliyeasi utawa.
  6. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Haswa. Alikuwa mwalimu wa Sayansi. Nje ya kazi alikuwa mjasiriamali aliyeanzia kufuga kuku.
  7. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Huyu simkumbuki mkuu. Labda alikuja baada ya 1976 ambapo sisi tulikwisha hama.
  8. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Ni habari njema. Mungu amjalie afya tele.
  9. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Ndio kipindi niliwasiliana naye kabla hatujapotezana. Ilikuwa nimpe taarifa kuwa rafiki yake ambaye ni baba yangu alitangulia mbele ya haki.
  10. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    Nimesikitika kupata hii habari ila nashukuru. Alikuwa rafiki wa familia ila tulipotezana kama miaka 6 iliyopita. Alifariki lini? RIP Ilaila.
  11. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    kabila01, List ya baadhi ya waalimu 1974-75 Fofo Parsalaw Ilaila Maeda Makundi Kalikumaso Chamshama Mushi Mwambogela Shuma Satori Kinabo Mihambo Ilyasi Abdulrahman Said Ishemo Kabalika Mwashala Kombo Tengio Mwasumbi Pole Mnyoni Magoti Madawili Mushendwa...
  12. R

    Tuliosoma Kigurunyembe TTC (Motco) Tujikumbushe haya

    lmollel64, Aliyefariki kwa ajali aliitwa Kalikumaso, Muha wa Kigoma.
  13. R

    Kwa anayekumbuka title ya wimbo huu wa miaka ya 50

    Pole kwa kumbukumbu Wimbo huu sikuwahi kuuona kwenye cataloge ya ASL ndiyo maana inakuwa ngumu kupata mp3 yake. Hawa ASL ni kampuni ilyokuwa Kenya ambayo bendi nyingi za hapa kwetu zilienda kurekodi nyimbo zao miaka hiyo katika mfumo wa santuri. RTD walirekodi huu wimbo katika mfumo wa kanda kwa...
  14. R

    Kwa anayekumbuka title ya wimbo huu wa miaka ya 50

    jina:Blandina , Bendi: jamhuri Jazz, Mwaka: 1971 -72
  15. R

    Kwa anayekumbuka title ya wimbo huu wa miaka ya 50

    jina:Blandina Bendi: jamhuri Jazz, Mwaka: 1971 -71
  16. R

    Lake Tanganyika: A wasted resource?

    Kuzuia mauaji ya albino tumeshindwa kitu ambacho ni very basic.
Back
Top Bottom