Inasikitisha mstaafu aliyestaafu na kulipwa 25% 2018 septemba mpaka leo hajalipwa 25% iliyobaki, Ukienda PSSF wanakushangaa, kwanini hujalipwa, sasa wapi tutaenda kudai? Mbaya zaidi leo unamkuta huyu siku nyingine mwingine, kwa kweli inakatisha tamaa, tunaomba tulipwe haki zetu
Ni rahisi kuongea lakini no action taken, nimestaafu disemba mpk sasa napambana na hali yangu, huyu anadai tumelipwa, aeleze ni wasaafu wa toka lini amelipa. Anyway he or she will also retire one day
Mm nimestafu toka disemba mwaka jana yaani cjui hata pakujiokoa kila mwezi ni kuambiwa subiri isiyoisha, nimeomba nauli ya kurudi kwetu naambiwa serikali haina hela kwa sasa kustaafu ni shida, ila hawa wanaotunyanyasa ss wazee wajue na wao ni wastaafu wa kesho
Hili jambo bado lina ukakasi, unakuta mtu darasa la saba kapitia mgambo na kuhitimu vizuri kama askari Mgambo na serkali iliwafundisha kwa nia njema, leo kwa kuwa hana cheti cha form iv amefukuzwa kazi, lakini hawa mgambo ni wa muhimu, nashauri waliokuwa mgambo wangefikriiwa kwa kurejeshwa kazini.
Yaani hii mifuko ni kero kwa kweli, kwa wastaafu unakaa zaidi ya miezi mitatu bila kulipwa. Sijui ni lini nchi hii mstaafu ataheshimika, tunaomba mafao yetu yalipwe kwa 50 percent
Ni ukweli usiona na mashaka serikali inapoteza hela nyingi sana na kuneemesha police, mfano magari ya masafa yanayotoka dar to arusha na mwanza moshi, yanapofika arusha jioni hupakia abiria wa moshi kwa nauli ya sh 3000/= pasipo kutoa tiketi na kuna check point usa river na boma kwa wasomali...
Nimesikitishwa na jinsi mtumishi aliyestaafu kuanzia mwezi wa 8 mwaka jana kutolipwa stahiki zake kama ilivyoagizwa na Mh Rais wetu, badala yake mafaao yanalipwa kwa kikokoteo cha 25%. Na ukifutilia kwa mfuko husika mafano PSPF unapewa majibu ya mkato eti andika barua kwa mwajiri. tuanomba...
Mafao ya wastaafu bado ni kero licha ya Mh Rais kutangaza kuwa amebatilisha asilimia 25, lakini cha kushangaza mstaafu aliyestaafu kuanzia mwezi wa 8, 2018 bado analipwa aslimia 25, Na malipo badala ya kulipwa kwa hundi yanaingizwa moja kwa moja kwenye banki husika , na ukienda kwenye mfuko...
Ni somo nzuri sana, hakuna mtu mweye akili anayependa kusikia neno shoga, lkn ni kweli kuwa mambo hayo yalikwepo ktk baadhi ya jamii zetu, na zilikuwa zinapigwa vita kisirisiri bila kujitangaza maana sio maadili yetu. Sasa hapo tulipotangazia ulimwengu ndo tulipokosea. Kwa hiyo wakati mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.