Search results

  1. M

    Medical Laboratory Technician anahitajika

    Kabla ya kukushauri vifaa vya kununua ni bora ukaenda kwa District/Regional Medical Laboratory Technologist akague eneo akuruhusu kufungua, pia atakupa ushauri. Ili baadae wasijekukufungie.
  2. M

    Je safari hii tupate rais mwenye PhD au MPhil?

    Nilibahatika kufanya kazi na wamarekani kwa miaka 5, ilinichukua mda mrefu kugundua mabosi wangu wa 2 kutoka marekani kuwa ni ma-professors baada kusomasoma papers mbalimbali walizoziandika. So wenzetu kwao hawapendi kutumia sana kwa kuanza na Dr.Pro. ktk majina yao, ukikuta anatumia some time...
  3. M

    Plot ya kujenga inauzwa Kongowe - Kilungure

    Plot inauzwa ya kujenga nyumba, ipo maeneo ya Kongowe Kilungure. Bei maelewano, na ruksa kwenda kuiona na kujiridhisha kama ipo fresh na salama. Contact 0753820584.
  4. M

    Anaye ijua Equity for Tanzania LTD

    Nahisi mnazungumzia Equity bank, ni bank hasa imetokea Kenya na sasa imeanza kuenea Tanzania na nchi nyingine. sijajua wanatreat vipi staffs wao ila ndugu yangu mmoja aliwahi kufanya kazi huko miaka ya nyuma.
  5. M

    Eti kujichua kuna kunasababisha kumchukia mwanamke?

    Ni kweli hiyo ni mbaya, sasa sio siri kuna wakati mwanaume unakwama mpaka unaweza kuaibika utafanya je ku-release ile hali?
  6. M

    Kiwanja kinauzwa.

    kiwanja kipo maeneo ya Kongowe(Mbagala) maeneo ya Kilungule hakijapimwa ila kipo salama, Kipo katika slope ya wastani, atakayekihitaji anakaribishwa kwenda kukiona na kutadhimini kabla ya kununua. Bei million 2 ila mazungumzo yanakaribishwa. 0753820584 kwa mawasiliano.
  7. M

    Kiwanja kinauzwa.

    nilimaanisha 25x25, gari inafika, kwa gari ndogo(Saloon Car) haiwezi kufika kwa karibu sana coz barabara haipo ok, kuzunguka kiwanja kuna watu wanajenga so kuna magari yanaleta mchanga mpaka hapo. Bora ukikiona then utaamua vizuri hapa unaweza husipate picha kamili.
  8. M

    Kiwanja kinauzwa.

    Ni Kongowe ya Mbagala, bei ni 2.4m, ruksa kulipa kwa hawamu mbili, size ni sq meter 25.
  9. M

    Kiwanja kinauzwa.

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya Dar-Kongowe, lilikuwa shamba kubwa vikamekatwakatwa viwanja vya kujenga. Bei ni maelewano. piga 0753820584. Karibu.
  10. M

    Natafuta kiwanja nje ya jiji la Dar

    kuna kiwanja Kongowe ya Dar, lilikuwa shamba vikauzwa vipande vya kujenga, kama unainterest tuwasiliane tu, bei maelewano. piga 0753820584
  11. M

    Wachumba wa mitandaoni.

    Jamani Wachumba wamitandaoni kwa kweli sina uhakikanao, mimi yaliyonikuta sio madogo ndugu zangu, wengi hawafai, unaweza kuingia mkenge ukajutia maishani, watu wana tabia na malengo mbalimbali, kuna washirikina, wachawi, majambazi, malaya nk. unajua mchumba kuna uwezekano akaja kuwa mke au mume...
  12. M

    Msaada Jinsi ya kupata scholarship.

    Asante sana bwana Man Kandonga
  13. M

    Msaada Jinsi ya kupata scholarship.

    Natafuta msaada wa scholarship ya kumalizia masomo yangu, niko mwaka wa pili nasomea Medical laboratory Technology.
  14. M

    Viwanja viunauzwa kwa bei nafuu.

    Viwanja vya kujenga nyumba vinauzwa maeneo ya kongowe-kilungule(dar es salaam). Bei maelewano. Kwa mawasiliano tumia 0753820584 au 0713135070.
  15. M

    Natafuta mwanamke mwenye uwezo kifedha wa kuishi naye

    Nakushauri tafuta kazi jijenge kwanza ndipo upate huyo mwanamke mwenye fedha, yahani unataka kuoa mwenye hela wakati wewe huna hela, utapata shida ndugu yangu uje ufe kwa magonjwa ya bp na kiharusi, mimi nina experiance na hilo, kama unataka uwe na amani,mwanamke hasikuzidi pesa na elimu. You...
  16. M

    Viwanja bei nafuu vinuzwa kongowe dar es salaam.

    VIWANJA VYA KUJENGA VIPO MAENEO YA KILUNGULE KONGOWE. BEI NI MAELEWANO. WASILIANA NA MIMI MUHUSIKA UPATE KWA BEI NAFUU KULIKO KUPITIA KWA DALALI. MAWASILIANO. 0753820584 au 0713135070.
  17. M

    Kiwanja kinauzwa bei poa kabisa

    kIWANJA KIPO KONGOWE - DAR ES SALAAM, MAENEO YA KILUNGULE. BEI NI 2.2M. MAWASILIANO 0713135070 AU 0753820584. KARIBUNI.
  18. M

    Kiwanja cha kujenga nyumba kinauzwa

    Sio lazima kiwanja kikae sahizi sawa na uwanja, cha kufanya wewe kama una kihitaji seriously wewe nikuja kukiona na kutathimini coz hakuna ambaye yupo tayari kutupa hela yake, na documents za kiwanja utaziona, utapelekwa kwa mwenyekiti wa mtaa wa Kilungule ili kujua kama kweli ni kiwanja halali...
  19. M

    Kiwanja kinauzwa kwa bei poa kabisa

    Hakipo Barabarani, unaingia ndani kidogo kwa bodaboda au hata kwa mguu, ni bora ukakiona then ukatathimini mwenyewe.
  20. M

    Kiwanja kinauzwa kwa bei poa kabisa

    kiwanja kinauzwa kwa pei poa kabisa, kipo Kongowe ya Dar es salaam maeneo ya Kilungule. kwa mawasiliano tumia namba 0753820584 au 0713135070. Bei ni 2.2M. Bora ukawasiliana na mimi kuliko madalali, watakuwekea cha juu. KARIBUNI.
Back
Top Bottom