Search results

  1. Heloo

    Huu utaratibu wa kuhubiri injili kwenye magari ya abiria ni kero kubwa, LATRA muingilie kati

    Aiseeee Mleta mada naona Ana point NZURI Sana na watu mmemuelewa Ila watu mnajitoa ufahamu. Hakuna mtu asiyependa Dini kusali na Kama wapo Basi wanamatatizo makubwa Sana. Point ni kwamba waende sehemu maarumu au bus kabla ya safari waingie waombe waondoke.Jamani sio Siri utakuta mwingine lengo...
  2. Heloo

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    WaTz mnaweza kupotosha Walau.Ni hivi ulitaka kujua ukweli fatilia story za wakwe wengine wa Said.Jamaa.alikuwa Controller abusive na Ile kwa kizungu wanaitaje mtu anakufatilia anajifanya kuwa mental na wewe (we mzungu sema)kwa hiyo alikuwa na tabia za ubabe uliopitiliza.Yaan kisa mke hataki hata...
  3. Heloo

    Inadaiwa marehemu Swalha alikuwa analazimisha talaka ili arudiane na mume wake wa zamani na siku ya tukio alienda nae kwenye tamasha la muziki

    Unaongeaga kabla ya ndoa walikuwa pamoja kwanza Ila ninachojiuliza Kama Ni kweli Kuna mazingira ya nyumbani kwa akina Swalher yalivyo na dada alikuwa anahongwa mbona vitu wiwili tofauti Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
  4. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Waoooh! What a nice advise.Hii sms sikuiona mapema.Sasa wewe NDO umenielewa vizuuuuuri. Mana wengine walikuwa wananipiga na kitu kizito kichwani.
  5. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Nawashukuru wote mlioshauri na Kila kitu. Ila nimejifunza nilipokosea wapi na nilipopatia wapi Ila nasisitiza wkt nagawa Ile nguo nilimwambia na masharti yake na nikitambua ni mtoto wa ndani ya nyumba Ila Kama wengine walivyosema eti huenda anaipenda Sana na huenda pengine hajui japo...
  6. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Nailed. But my friend labda kilichosumbua kwangu ni vile wkt Nampa nilimpa na kasharti kidogo.But all in all nimeelewa.Na Mimi kweli niliumua maana ni nguo ya bei
  7. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Swala halipo hivyo.Wala issue sio kubwa.Unajua Mambo madogo madogo kwenye nyumba NDO huleta sintofahamu tusipuuzie.Hapa Mimi nilichoona ni wengi kutoelewa Shana nzima ilivyo.Mimi nilipompa nilimwambia hii ya kutokea na hizi zingine thou nazo NZURI tu za ile unafanya shughuli kumbuka ni Kama...
  8. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Haaa haaaa lilinikaba kooni nikaona nije kutoa la Rohoni ajabu Sasa watu wamenipiga na kitu kizito kichwani.Kuweni na huruma jamani moyo wangu mdogo.
  9. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Aiseeee sio kweli Mapensi yaliyojaa Kila Kona mpaka ya buku buku akakate jeans ya gharama. Nyie why mnatetea Mambo Kama haya??
  10. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Na ni kweli but ya kutokea SIO kuiweka utonvu kumbuka ni mtoto wa kumwelekeza
  11. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Hakuna kuachwa kwa mwanamke makini hizo family matters ni za kawaida.Ila nawakumbusha ndani ya nyumba KUNA kuelekezana na mama NDO kiongozi NDO Mana Mimi Mista wangu kaniachia majukumu yote mpaka ya kuchukua Kodi za nyumba tulizopangisha. Maamuzi mengine Kama biashara ni yeye lkn lazima...
  12. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Inaumaa mweee
  13. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Ni mtoto wa ndani ni vyema kumuongoza kumbe na wewe Kama Smart unafeli wapi?
  14. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Na huenda Hawa wanaowatetea hawajawahi hata ajiri hao wadada wakajua tunachoongelea nimesoma comment Moja hapa inasema'huwa naamua tu kuwauzia wa mitumba kwa bei ndogo au kuziacha kabatini.Ni kweli kabisa Mimi sio mjinga nifungue Uzi tu eti nguo how??nimeongelea mtu kutothamini kitu unachopewa...
  15. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Inawezekana kweli
  16. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Hakuna point ni nguo ya kutokea hizi za kushindia hizi.Sawa sawa Basi.Kukitokea dharura ushindwe hata kuongozana Naye.Lazima kumguide.Sasa walimwengu wanapotosha
  17. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    Sasa nimeshaelewa Jambo moja.Wewe hujui mtu yeyote anapompa mtu kitu anakuwa na lengo mfano.Una jirani ukaona Ana njaa ukaenda kumpa chakula hapo hapo akakitupa je kwako utachukulia kwa kuwa ulimpa?tusijifanye watu wema Sana wkt sio kweli
  18. Heloo

    Leo asubuhi kulitokea mabishano home

    KUNA baadhi ya watu wanajifanya Kama hawajaelewa vile but ukweli binadamu yeyote akikuthamini na wewe mthamini na pia tunza kesho ili aendelee kukuthamini mfano ukigeuza kitu Cha thamani Cha mwenzio Kama takataka kesho hawezi kukupa Tena.Ipo ivyo.Inside life.
Back
Top Bottom