Search results

  1. M

    Tanzania is not ready to abolish EAC work permit fees-ministry

    The West does not like any "Third World" country to move up the ladder. They are busy dismantling already established economies like those in the Maghreb world - a move that has caused the current serious World Economic crisis!!! In a similar style, when the five East African countries formed...
  2. M

    Revealed: Kagame alimwalika JK mkutanoni Rwanda, JK akagoma na kuamua kwenda UK ziarani

    Politics aside; We have to confront this situation soberly, objectively and avoid cheap reactions. We should appreciate where we have gone wrong and correct it immediately because a lot is at stake here.
  3. M

    M23 waua Meja wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) - UN Yalaani!

    Elimu kuhusu jambo lolote ni muhimu sana kabla hujaanza kulijadili. Soma haya maelezo kwa umakini, utulivu na utapata mtazamo mpya kuhusu suala la DRC... Bodi Nimesema mara Nyingi sana. Tanzania au Afrika mashariki zinapigana vita isiyowahusu. Hizi vita zote au nyingi za afrika zinaendeshwa na...
  4. M

    Rwanda blocks proposed U.N. sanctions for two Congo rebels

    Hakika Watanzania wote tungelikuwa na ufahamu wa hali ya juu kama mwenzetu huyu, tungeweza kuhoji mambo yanayofanyika vizuri zaidi....tusingeburuzwa hovyo..... hakika tungelikuwa mbali sana........ Bodi Nimesema mara Nyingi sana. Tanzania au Afrika mashariki zinapigana vita isiyowahusu. Hizi...
  5. M

    Biography Paul Kagame - Dictator or Hero?

    This is typical "subjective analysis." Its a real case of absolute imbalance. Isn't there any positive thing that PK has done? This tells obviously that someone is bitter with the progress that the Rwandans have made over the last 15 years. Africans, we need to grow out of this type of...
  6. M

    JWTZ, MANUSCO unganisheni operations za Congo na za kumkamata Kagame dead or alive

    Usishabikie mambo usiyoyajua. Hizi ni tofauti za watu wawili wanaojuana tangu miaka ya themanini na hazitoshi kuwa sababu ya kutuingiza kwenye vita. Vita huvijui ndo maana unaanika kutokujua kwako kwa kusema kuwa vita ni maendeleo; umepotoka kijana. Unavyolijadili hili suala unaonekana kuwa...
  7. M

    JWTZ, MANUSCO unganisheni operations za Congo na za kumkamata Kagame dead or alive

    Bora ukose hela lakini siyo kufilisika akili. Sisi hatuna huduma za msingi kama maji, umeme, huduma za afya, barabara, reli, elimu bora nk. Tumepata wapi fedha za kuingia vitani???? Tangu lini Tanzania ikawa askari wa kanda hii ya Africa? Nauliza, Tangu lini tumekuwa polisi wa ICC? ICC haijui...
  8. M

    Rais Kikwete: Nchi iko salama, atakaye jaribu atakiona cha mtema kuni

    Laiti ungejua gharama ya kuingia vitani ilivyo kubwa, usingeyasema haya. Usinge shabikia vita. Ungeapa kukwepa vita kwa namna zote. Ni aibu kubwa majirani zetu wameshaungana na wametuacha mchana kweupe pasipo kujificha. Katika vikao viwili tu, wamesha kubaliana vitu maana vya kufanya ikiwemo...
  9. M

    Ujio wa Obama: Kenya says 'All lions in Tanzania are Kenyan'

    Wote hamjamuelewa huyu mwandishi... Katika Fasihi ya lugha, kuna namna tofauti za uandishi. Kati ya namna mbali mbali za uandishi katika Fasihi ya kingereza ni zifuatazo; a) Imagery, b) Symbolism, c) Songs, d) Comic effect, e) Sarcasm, d) Irony. f) Metaphors g) Monologue n.k Huyu mwandishi...
  10. M

    Kikao cha siri cha Kaguta, Kagame na Kenyatta (tripple K) chaamua mambo mazito...

    Hapa naona kuna suala la kumkomoa Kikwete hasa baada ya kuzitaka nchi za Uganda na Rwanda zizungumze na waasi.Ukweli ni kwamba hiyo federation wanayoizungumza wakati nchi mbili hazina uwakilishi katika hayo maazimio ni kitendo cha kuiendesha EAC kibabe zaidi badala ya kufuata taratibu. Hamna cha...
  11. M

    Kenyatta na ICC; Watu na Maraisi wa Africa wana uwezo mdogo wa kufikiria?

    =========================================== Ndugu una maneno meeengi sana ya kuwatetea wazungu na kuhalalisha sera kandamizi wanazo tutungia kila siku. Ni dhahiri kuwa utafanikiwa kumdanganya mtu mara kadha wa kadha lakini ipo siku atakushtukia. Ndicho walicho kishtukia viongozi wetu. Kwa mara...
  12. M

    UNIVERSITY OF KILIMANJARO in Kenya

    Umetoka kwenye mada mheshimwa.
  13. M

    Katibu wa Mufti Zanzibar (Sheikh Soraga) amwagiwa tindikali

    Dhambi ya kubagua sawa na kuila nyama ya mtu; utaendelea kuitafuta kusudi uile tena!
  14. M

    Iundwe kamati maalumu ya bunge - yanayoendelea misikitini na makanisani

    Wa Tanzania tunapenda mambo ya tume saana hata pale ushahidi unapokuwa wazi. Kuundwa kwa tume ya watu kama kumi maanake hela zetu ziliwe na hiyo tume. Wakichukua muda wa miezi mitatu kuzunguka mikoani eti kufanya utafiti katika maeneo yote yaliokumbwa na matatizo haya, halafu miezi mingine...
  15. M

    How JK snubbed Kagame

    Hapa ulitegemea nini? Mzalendo na mhujumu uchumi kamwe hawawezi kuelewana.
  16. M

    Tanzania inaonekana kituko katika EAC community

    Charles Onyango Obbo ni mwandishi aliyebobea. Kwa taarifa tu, huyu si mkenya, bali ni mganda! Hivyo mnapo walaumu wakenya mwe makini maana si wakenya tu wanao tudharau na kutushangaa bali hata mataifa mengine jirani! Alichokiandika Charles ni ukweli mtupu. Ni dhahiri kwamba katumia lugha...
  17. M

    Wanajamvi hiki chama makini ni kama odm ya nchini kenya!!!!

    Kamanda, hapo umetoka nje ya mstari kabisa. Inaelekea ODM huijui hata kidodgo. Kidogo ukijuacho ni kile kinacho pikwa na waandishi wa magazeti na kuletwa humu. Unakidhalilisha chama makini cha siasa cha CHADEMA pale unapo kilinganisha na ODM! Kwa hiyo basi, simama kwenya mada yako pasipo...
  18. M

    Chadema files appeal notice after Lema ouster

    This is great news. Mr. Godbless Lema, you have to fight this judgement through the corridors of Justice. As for you who hold the helm of Justice in this country, you better know that the whole world is watching. Uphold nothing short of justice. All the stake holders in this matter are breathing...
Back
Top Bottom