Search results

  1. kimunyesam

    Mwanza: Mabasi ya Shule za Nyamuge na Kivulini yagongana, mmoja afariki

    Nchi za wenzetu gari za wanafunzi huruhusiwi kuisogelea karibu.ikitokea umeigusa hutakaa uendeshe gari milele Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kimunyesam

    Tunachojifunza ni tofauti na tunachokiishi

    Wengi hawatakuelewa ila unahoja ya msingi!
  3. kimunyesam

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    The bold tafadhali ni add kimunyesam
  4. kimunyesam

    Kwan TBC si local channel?

    Hata zuku imebaki tbc
  5. kimunyesam

    The Richest Man In Africa: Kila Utajiri una Ukafiri nyuma yake

    Mkuu the bold naomba uni add pia kimunyesam
  6. kimunyesam

    Manyara: Msafara wa Waziri Kigwangalla wapata ajali. Waziri ajeruhiwa na Mmoja afariki dunia

    Nimepishana na magari mawili ya serikali kama masaa mawili mwendo wa hovyo halafu huko wakifika utashangaa hata wanachowahia!
  7. kimunyesam

    Kumbe ndivyo mama zetu walivyo

    Katika vitu ambavyo hua nashangaa! Jaribu kumuonea huruma muweke ndani na mwanae umlee! Mwaka mmoja anakugeuka anaanza kukupelekesha aiseee wanawake!....
  8. kimunyesam

    Msaada wa upatikanaji water pump za kisima

    Kama ilikua inatembea chini ya 380 utapata tabu sana! Hizo pump maximum 415 minimum 380. Chini ya hapo zinatembelea low voltage.hivo which current should be high!. Ongea na tanesco wa solve transformer ilio karibu na wewe. Tatizo litakwisha.otherwise nunua genset upate volt sahihi. Lakini suala...
  9. kimunyesam

    Msaada wa upatikanaji water pump za kisima

    Uko wapi mkuu ? Niko bize kidogo ila mi mtaalamu wa hayo mambo. 1. Uliza mafundi walifunga water level sensor/switch? 2.umeme gani unatumia? Haupandi na kushuka.na unadhibitije. 3.pampu baadhi zinakubali kusukika mitaani.
  10. kimunyesam

    Raia wa kigeni watatu wawekwa rumande kwa kufanya kazi nchini bila vibali

    Waziri hebu nenda na geita na north Mara. Capital drill. Hii kampuni ina wageni mpaka madereva wa mafuta migodini!
  11. kimunyesam

    Hivi Polisi sio watanzania wenzetu mbona mmekuwa waonevu sana

    Binafsi namshukuru mungu malipo ya maaskali polisi anawalipa wengi wao anawalipa hapahapa duniani! Hata wadhulumu vipi hawatoboi. Na wakibahatika kustafu ukiwa unawatesa maana hawajui hata kuishi na jamii
  12. kimunyesam

    Mwenyekiti Mpya,Tumaini jipya SHIRECU Mkoa wa Shinyanga

    Sidhani kama kuna jipya hapo, hata waliopita nafikiri kuna alieitwa luhende! Kizazi cha kusimamia mashirika ya umma bado hakijazaliwa!
  13. kimunyesam

    Habari:Serikali imethibitishiwa kuwa makontena mawili yaliyokutwa nchini Vietnam na korosho

    Hapo ndio naiheshimu bar code. Ina namba mpaka shift iliokua kazini kwa bidhaa husika! Lakini kibongobongo utasikia makontena hayajulikani ni ya nani!
  14. kimunyesam

    Je, ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand?

    Ni kweli. Kimbunga tornado kikianzia baharini ni kikubwa kiasi maji husimama wima nakuzunguka cyclonically .maji husimama wima kama unavoona vumbi na upepo nchi kavu. Kikipita kama mwanza mathalani kikapita ziwani Yale maji huinuka na samaki mule ndani kinauwezo kutembea nayo umbali kadhaa hadi...
  15. kimunyesam

    Msaada kuhusu pump ya kumwagilia

    Surface pump/booster ndio hizo unazoona zinakaa juu maji yanakua chini.zinauwezo wa kusukuma maji umbali mrefu lakini si kunyonya.Hivo kama maji yako karibu kama maji ya ziwa,mto au kisima kifupi si zaidi ya mita saba. Zinafanya kazi vizuri.hizi ni pump ambazo zimefungwa na engine au motor na...
  16. kimunyesam

    Unataka kuacha Kazi?

    Kim kiyosaki ni mtoto wa Robert kiyosaki! Sio rafiki.au unamzungumzia Kim yupi?
  17. kimunyesam

    Mradi wa Arusha kujenga Helicopter umeishia wapi?

    Mpaka sasa Tanzania haijaweza kutengeneza baiskeli, halafu kunawatu wanawaza helkopta!! Na wanatoa ahadi.??
  18. kimunyesam

    Punguza stress za maisha kwa kupata majiko rafiki wa umeme wa luku

    Linaitwa induction cooker ntakutafuta mkuu,hadi mwisho wa mwaka Jana mwanza madukani yalikua hakuna nilitafuta sana kipindi flani
Back
Top Bottom