Search results

  1. Y

    Muungano wa makampuni ya Oman Kuwekeza shirika la ndege ATCL shs. Bilioni 160

    kuifufua ATCL ni rahisi sana haitaji kuomba msaada kutoka nje wala partner nje ya nchi.chukua NSSF,PPF,TBL,TTCL na mashirika au idara nyingine za serikali ziinvest heavy ikianza kufanya vizuri u flip it na unauza shares kwa watz so investors wanarudishiwa hela yao na profit juu hivyo ndio kenya...
  2. Y

    Kwanini wanawake wanaiunga mkono CHADEMA kwa woga?

    kwa sababu hamna kanga za bure.siunajua tena
  3. Y

    The 5 Richest Tanzanians You've Never Heard Of

    ww hauna akili kabisa au kipofu.diddy is worth $ 400 mil na jay z ni $350 mil sasa hawajawapita tu.halafu hawana assets kama za bakhressa,mengi na wengine.THINK BEFORE YOU TALk
  4. Y

    Top TEN walipa KODI KISEKTA, No Voda, AZAM wala Lake Oil/Kobil/RIZ-One.

    nashangaa sijawaona kina barrick gold na migodi mingine?its only in Tanzania were the impossible can happen
  5. Y

    Kitanzi kwa wafanyakazi nchini: Pensheni sasa mpaka ufikie miaka 55

    Jamani nssf wapo poa.according to the research by audit firm,inasema nssf wanaweza kujiendesha miaka 15 bila kupokea michango kwa wanachama na kuwalipa bila kufilisika.halafu leo hii unasema wamefilisika.nssf cyo serikali ya bongo na uwekezaji wao una manufaa kwa watz cyo ccm.
  6. Y

    JK ziarani Brazil kwa siku tano (Source TBC1 habari)

    So what kama obama ameenda?kutoka DC hadi brazil ni km kutoka Dar hadi Pretoria.Obama akisafiri am sure he doesn't use more thatn $ 100,000(150mil) kwenda brazil.mheshimiwa anatumia 300mil ka nchi kenye uchumi mbovu. huu ungwana kweli?
  7. Y

    Mukama: Mbio za Urais CCM, sasa ni zamu ya nyanda za Juu Kusini, Kati na Kaskazini

    Hapa wanataka mwandosya,lowasa,sitta au magufuli.hiyo lists nadhani magufuli 2 ndio anafaa.tunataka wachapakazi kwa vitendo siyo maneno
Back
Top Bottom