Search results

  1. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Ndugu Chimala1,mimi si dalali ,mkaa nimetoa shambani kwangu.Nimeuza kwa bei hiyo wiki hapa Dar .
  2. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Mzigo umefika.Gunia aina ya lumbesa Shs.60,000
  3. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Wala si hivyo,bado mambo yalikua hatua za mwanzo. Kama bado unania,mzigo unaiingia wiki hii.
  4. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Sawa, ntakupigia
  5. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Nauza kwa jumla tu.
  6. T

    Nyumba inapangishwa (Apartment) Tabata

    Napangisha nyumba -Apartment.Ipo Tabata Sigara ghorofa ya pili Block B Ina vyumba 2 vina makabati ya ukutani,choo & bafu, sebule & sehemu ya kulia,jiko,stoo,balcony 2,maji yapo na ulinzi. kwa maelezo zaidi , piga 0786 812078
  7. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Mkuu,ni pm toungee zaidi.
  8. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    unahitaji gunia ngapi?
  9. T

    Wateja wa jumla wa mkaa

    Natafuta wateja wa jumla wa mkaa walioko Dar es salaam.Mkaa unatoka mkoa wa Lindi Karibuni tuwasiliane.
  10. T

    RamaDBK LTD Japanese Car Exporter

    Ni kampuni ya kuaminika na wana magari mazuri. Mimi pia ni mteja wao ,nimenunua magari mawili ,yalikuja na hali nzuri sijapata usumbufu. Muda kwa order ni kama wiki 3 hivi mali inafika bandarini. Kwa bei wako juu, ila ubora ulinifanya nirudi tena kwao.
  11. T

    soko la karanga

    nipe mawasiliano yako
  12. T

    soko la karanga

    uko wapi?Je,umeshapata soko?
  13. T

    Gharama Ya Solar Power

    Mkuu,nimeweka kutumia kampuni ya mionzijua gharama ya bila wiring ni tshs.950,000.ila kama watakufanyia na wiring ni tshs.1.5m kwa kila kitu.
  14. T

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi...

    Asante kwa shule hiyo. Ntazidi kutafuta ufahamu wa zao hili.Hii ni pension bakubwa.
  15. T

    Baada ya kuangalia mawazo ya watu mbalimbali humu JamiiForums, nimeona nianze hivi...

    Mrembo,pole na majukumu. Nimeona kwenye post yako umepanda miti ya Mitiki Pwani. Mie nina eneo Rufiji ,je Mitiki inakubali huku?
  16. T

    Msaada: Kilimo cha Matango, Utaalam na Masoko

    Nakubaliana na Malila soko ni la uhakika ,ila msimu huu maana ndo tunavuna ,soko si zuri sana bei imeshuka mno kwa sehemu za pwani.
  17. T

    Msaada jinsi ya kununua hisa

    Mkuu ,ununuzi wa hiza wasiliana na stock brokers waliyosajiliwa na Dar es salaam stock exchange kama Tanzania securities ,Orbit ,Rasilimali,Vertex,Zan securities watakusaidia taratibu za kufuata ili uweze kununua hisa.Ila hizo hisa unazozihitaji(za TCC na TBL) ni ngumu kuzipata sokoni.Labda...
  18. T

    Upatikanaji wa Miguu ya kuku

    MAMESHO,ahsante kwa msaada wako
  19. T

    Upatikanaji wa Miguu ya kuku

    Nashukur kwa ushauri Mkuu
  20. T

    Upatikanaji wa Miguu ya kuku

    Ahsante Mama Joe,niko Dar nitakuja interchick.
Back
Top Bottom