Search results

  1. nyatofundi

    Nyerere aliufahamu ubinafsi na uchoyo wa kusini {Mtwara na Lindi}

    It is viable in view of production to transform raw material in a place it is produced to finished goods and transport to the market than to transport raw materials in other place and transform to finished goods then to the market.
  2. nyatofundi

    Nyerere aliufahamu ubinafsi na uchoyo wa kusini {Mtwara na Lindi}

    wavune gesi mtwara na mchakato wa kuongeza samani ufanyikie mtwara kila kitu palepale. Wandoe ganzi kwenye ubongo. Ndiyo maana nchi nyingine utasikia mji fulani niwa kilimo cha zao fulani, mafuta, au madini. Kwanini wasafirishe gesi gafi? mbona mtwara ina bandari? Bagamoyo nao wana fursa zao...
  3. nyatofundi

    CHADEMA tukichukua nchi 2015 tuifanye nini CCM?

    Hata mie naiombea chadema hivyo, naona mafisadi wafilisiwe mali zao waachiwe kiasi kinachoendana na vipato vyao ambayo vinaeeleweka kupitia mishaara. mali zao zilizofilisiwa zitumike kwa uwazi na kuzifanyia maonesho yenye publicity kali ili wananchi waone thamani ya mali yao iliyoibiwa. mafisadi...
  4. nyatofundi

    Mfumo uliopo (unitary) vs sera ya majimbo: Ipi ni bora kwa wakati huu?

    Mfumo wa majimbo ni mzuri nchi karibu zote zilizoendelea wanautumia. pia hata nchi za far east ambazo zinaendelea kwa kasi na zimetupita wanatumia sera hya majimbo. mfano mji wa beijing china 75% ya mapato yake hubaki beijing municipal council na 25% huenda central government yaani kama vile...
  5. nyatofundi

    CHADEMA hawana jipya...

    CHADEMA WAKO FOCUSED TO THEIR VISION- KULETA MAENDELEO YA KWELI KWA WATANZANIA. HIVYO BILA RASLIMALI ZINAZOHUJUMIWA NA WACHACHE MAENDELEO YA KWELI NI NDOTO. kAMA PAKA SHUME AMEKWAPUA NYAMA YA WANO JIKONI INABIDI UMSAKE UMKAMATE ILI RUDISHI , VINGINEVYO WANAO0 WATALALA NA NJAA NA USIPOANGALIA...
  6. nyatofundi

    Maendeleo ya kiuchumi yatafikiwa kwa kutekelezaji halisi wa sera ya madaraka wilayani

    Serikali za mitaa ni serikali kamili katika ngazi ya chini yaani Halmashauri. Sera ya madaraka mikoani iliyopo ingeleta matokeo chanya ya maendeleo ya kiuchumi kwa watu kama ingepeleka madaraka hayo katika ngazi ya halmashauri kuanzia mapato na matumizi yake. Sasa hivi, madaraka hayo...
  7. nyatofundi

    Mh!Wanawake. . . . Hii nayo nini??!!

    Wanawake asilia wanapaswa kuandaliwa katika tendo la ndoa iliwalifurahie. Ni Mwanamme ndiyo mwenye wajibu huo na si vinginevyo. Mume aliyefundwa na kujibidisha namna ya kusisimua mke ndoa haina tabu. mume anapaswa kumstadi mke speed yake ya kuelekea kileleni na hivyo amsubiri . TATIZO WANAUME...
  8. nyatofundi

    Vipaji,Umaarufu na watoto wetu.....

    Mchakato wa Kukuza Kipaji cha mtoto ni sahihi ukaanzia katika mazingira ya wazazi tu nyumbani na wanafamilia wachache, shuleni na kanisani / msikitini/sinagogini/jamatin n.k. Kipaji kikianza kukuzwa kupitia umma(public) mtoto anaanza kuwa katika mazingira hatarishi (exposed to vulnerable...
  9. nyatofundi

    Kwa nini uwekezaji/biashara mara nyingi hufa pindi mwanzilishi akifariki

    Biashara za watanzania zina asili ya ubinafsi, kwa maana ya mmiliki kuivaa biashara kama nguo "that is PERSONALIZED" Biashara haipaswi kuwa hivyo. Biashara kama biashara ni mtu/binafsi/-"entity" kwa hiyo inapaswa kuendeshwa kwa misingi ya kitu kinachojitegemea, kiwe na usimamizi wanaoweza...
  10. nyatofundi

    Mambo nitakayopendekeza katika tume ya katiba mpya

    Nchi nyingi duniani hasa zilizoendelea, mayor wa Halmashauri na MKURUGENZI WAKE WANATOSHA KUFAYA COVERAGE YA SEKTA ZOTE ZA KIUCHUMI NA KIJAMII NA MAENDELEO YANAONEKANA. SISI HAPA DUPLICATION/OVERLAPPING OF DUTIES KIBAO. kUONGEZA TUU GHARAMA ZA KUIENDESHA SERIKALI.
  11. nyatofundi

    Mwalimu Nyerere alikusanya kodi kisayansi

    Hilo nalo tatizo. mpaka na tubadili mitazamo yao itachukua muda lakini ndani ya mioyo yao wanajua kuwa njia sahihi tunayoionesha. kazi kwao historia itawahukumu. Lakini pia wachukulie maneno humu ndani kama resource center ingewasaidia sana kuwa dynamic.
  12. nyatofundi

    Mwalimu Nyerere alikusanya kodi kisayansi

    Kwanza alijenga viwanda kwa mfumo wa uchumi wa kujitegemea- Alihakikisha ana Heavy Industries katika sekta nyingi kama vile Kiwanda cha Karatasi Mgololo ambacho kilitumia maligafi ya miti ya msitu wa saohill, mkaa ya kiwira na kuzalisha karatasi kwa ajili ya Printing industries ambazo...
  13. nyatofundi

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Jamani Nyerere alijenga viwanda vingi na biashara nyingi, pia alikusanya kodi kisayansi na bila kigugumizi kutoka katika viwanda hivyo, maana kulikuwa na afisa mapato kwa kila kiwanda aliyesajili kila siku uzalishaji na uuzaji na mwisho wa mwezi kuandika bill yenye uhakika kudai kodi. Leo hii...
  14. nyatofundi

    Godbless Lema avuliwa ubunge

    Mungu ni Mkubwa na yupo na Watanzania. Kihistoria, Mchakato wa kuikomboa jamii inayokandamizwa, huwa ni mgumu mmo!!!! Hivyo tutegemee mengi ya ajabu ya kushangaza na kuumiza na hata roho za wapiganaji kupotea. Wapenda mabadiliko, ni wakati wa kushikamana shetani asipewe nafasi. ushindi upo...
  15. nyatofundi

    Naingia maana nina kiu ya hoja

    Yaani nina fikra halisi ambazo naamini kama kwingine duniani zinawezekana, kwa nini hapa kwetu zisiwezekane?
Back
Top Bottom