Nawasalimu wote,
Nianze kwa kumpongeza mheshimiwa Rais SSH kwa hatua anazochukua kuleta maboresho katika mfumo wa "Haki-Jinai", katika hili nimeona ana nia ya dhati kuleta mabadiliko chanya.
Nikiwa mhanga wa mfumo uliopo wa haki jinai nimeshuhudia mabadiliko kadhaa yaliyoanza kufanyika ikiwemo...
Nikiwa mwafrika nimekuwa nikitazwa sana na namna waafrika tumekuwa tukifanya mambo yetu: kisiasa, kiuchumi, kisayansi n.k. Kwa wasomaji wa historia watakumbuka mojawapo ya "excuse" ya wazungu kutawala Afrika (Kwa njia ya ukoloni) ilikuwa ni kwamba sisi hatuwezi kujitawala wenyewe na kwamba...
winners never quit, quiterrs never win. Kina Mandela wangekata tamaa apartheid ingeendelea kuwepo; mazingira ya kukata tamaa yalikuwepo lakini hawaku-give in. Soma " Long walk to Freedom" by Nelson Mandela
Watu wengi hawajui maana ya "Escrow Account". Kwa mujibu wa mikataba ya kimataifa kunapokuwa na mgogoro kati ya parties zenye mkataba, hii account hufunguliwa na pesa huwekwa humo (kwa mujibu wa mkataba) lakini haziendi moja kwa moja kwa mlipwaji pending mgogoro kuamuliwa. Sasa maamuzi...
Nilikuwa natafakari nia ya kina ZZK kuanzisha ACT nikagundua siri iliyo wazi huyu jamaa baada "kuonja utamu wa CCM" na kushtukiwa na makamanda akachekecha akaona akienda CCM mrija utakatika (Refer kina Kaborou, Shonza et. al). Akaona ili aendelee kuvuta atengeze kamrija kengine (kwa kuendelea...
Tatizo la wabongo hatujui kusoma between the lines. Kitila hakutetea ushoga lakini ameonesha wasiwasi wa ubavu wa sisi waafrika kutetea misimamo yetu ilhali tunategemea misaada. Mizungu inakuja inapoara mali zetu, viongozi wanakwapua mali za umma leo tuna nusu karne na zaidi bado tunapanda ndege...
Ndugu Tony acha kutoa mapovu, suala la kitaifa ni suala nyeti, ni mustakabali wa kizazi kilichopo na vizazi vijavyo. Taifa ni kitu endelevu huwezi ukasema tuache kujadili issue ya kitaifa kwa kuwa tulijadili jana. Kama ambavyo watu hawaachi kwenda makanisani na misikitini kwa kuwa huko wanaamini...
Tujadiliane: Nini Legacy ya Kikwete?Wanajanvi,
Tuache unazi, tuwe wakweli kwa nafsi zetu na taifa letu. Pia tusukumwe na upendo ya nchi yetu. Nyerere aliweka misingi ya taifa (umoja, amani na uzalendo) , pia aliainisha maadui wakuu wa taifa letu yaani; umasikini, maradhi na ujinga. Kadhalika...
Wanajanvi,
Tuache unazi, tuwe wakweli kwa nafsi zetu na taifa letu. Pia tusukumwe na upendo ya nchi yetu. Nyerere aliweka misingi ya taifa (umoja, amani na uzalendo) , pia aliainisha maadui wakuu wa taifa letu yaani; umasikini, maradhi na ujinga. Kadhalika alitabanaisha nyenzo za kujikwamua...
Wanawapaga ahadi kwa sababu ndizo mnapenda kuambiwa. Ni kama mwanamke ni lazima umndanganye ili umpate. Halafu nyie mazuzu wa Mbezi kura zenyewe hampigi mnatuma ma-House girl kwa kujafanya kwenu "bize" mnajifanya mnazo sana sasa mnalalamika nini. Ndio maana Rita Mlaki alikuwa anawapa vidonge...
Aristotle (Mwanafalsafa) aliwahi kusema kiongozi mzuri ni yule ni mtu anaendelea na shughuli zake lakini watu wanamuona uwezo wake, wanampa uongozi. Baada ya muda wake wa uongozi kuisha anarudi kwenye shughuli zake. Mwalimu Nyerere pia alisema ukimuona mtu anatumia pesa nyingi kutafuta uongozi...
Usiwe juha hii nchi siyo ya Lowassa ni watanzania. Hivi hayo mabilioni anayotoa na "Marafiki" zake ni kwa sababu ya upendo kwa watanzania kweli? Tujiandae kuzilipa kwa gharama kubwa!
Watanzania wengi tulivyo wavivu wa kufikiri na kusumbuliwa na njaa tuko tayari kuuza BIRTHRIGHTS zetu na kuyachagua MAJAMBAZI kutuongoza. Huhitaji kujua ya kwamba mtu anayenunua uongozi cheo chake atakifanya biashara. Tujiandae kuiweka nchi rehani!
Great thinkers,
Nimebahatika kuaccess attached article, nimeipitia critically nikaona ina maswali na majibu mengi kuhusu msigano wa kidini katika nchi yetu. Nawapeni changamoto muisome between the lines ili kuona ni wapi tumeteleza, wapi tunaweza kuinuka na wapi tunaweza kuanguka kama taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.