Search results

  1. S

    Lowassa na Mulugo, si lazima muongee kiingereza!

    Mbona mzungu akikosea kiswahili hilo hatujadili lakini mswahili akikosea kizungu tunaona hana akili. Tuache mitazamo ya kikoloni( Colonial Legacy) maendeleo hayaletwi na lugha.
  2. S

    Kuasi kwa jeshi

    Asante mkuu.
  3. S

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Tunaendelea kusubiri updates mkuu
  4. S

    Azikwa akiwa hai Mbeya

    Inasikitisha! Kwanini matukio ya ajabu yote yanaanyia mbeya? RIP mr Nyerere.
  5. S

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Jaji aliyeamua kesi hiyo ametumia taaluma siyo wale wanaoambiwa aina ya hukumu wanayotakiwa kuitoa
Back
Top Bottom