Search results

  1. N

    Bosi anaisambaratisha familia yangu huku nikiwa sina la kufanya

    Joel can you come here at Christ Church opposite na Mapato house sasa hivi. Utakuta kuna mahema na viti vyeusi
  2. N

    MAISHA: Naumia sana, kwanini huwa sipati mtu anayenijali?

    Wa Wako huko ndugu yangu maana story kama hiyo niliisikiaga huko Arusha
  3. N

    Madaktari waliogundua vipandikizi vya kansa kwenye chanjo wameuliwa

    Mzizimkavu mbona watutisha ndugu yangu. Sasa tutafanyaje sisi wenye watoto wadogo na bado tunatakiwa kuwapeleka kwenye hizo chanjo
  4. N

    UTI husababiswa na Ngono kwa njia ya mdomo

    Nimeshindwa kukuPM sijui ndo wanafanyaje
  5. N

    Very touch orbutuary MSG - R.I.P Advocate Nyaga Mawalla

    El-Toro, Albert n Lemmy poleni sana. Hapo awali nisema humu ndani na yote yaliyosemwa juu ya Nyaga mabaya husuni kifo chake. Wallah Mwenyezi Mungu ndiyo anaye jua lakini kama kuna mkono wa mtu katika hili kisa tu ni mafanikio yake, damu ya mtu italia juu yake hata kuwa na amani hata kidogo...
  6. N

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Baba yake anaitwa Advocate Juma Sawaya Mawalla. Sasa huko usukumani Sawaya imetoka wapi??? eti mmesoma wote ongeeni yaliyo kweli msituletee uwongo humu
  7. N

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Mzee Mawalla ni mchaga wa Marangu pengine kam mama ndiyo msukuma
  8. N

    TANZIA: Wakili maarufu Nyaga Mawalla afariki dunia

    Mtanga take five. Yaani nimesoma tangu mwanzo hakuna alieongea la maana kama wewe. Hata mimi naamini kabisa HIYO NI SHAKIZI. Huwezi kuniambia eti amekosa counselling ya ugonjwa aliokuwa nao nani hapi kati yetu anajua kuwa alikuwa na ugonjwa gani!!?? Achaliambali hiyo alikuwa na pesa ya...
  9. N

    Mfanyabiashara mkubwa wa madini wa Arusha afariki ghafla Mahenge ( Henry Nyiti)

    hapana siyo Henry Nyiti ndugu huyu jamaa yeye alikuwa mfanyabiashara wa kuuza baruti kwa wachimba madini na baadaye alikuja kuwa mchimbaji
  10. N

    Kuepusha stress za ndoa, do not marry a first born... Responsibility kibao!

    Natalia, hiyo 2million mbana ni nyingi tu. Unataka aachike uende wewe ukatumie hiyo millioni 2?? Sidhani kutupa vitu nje itakuwa ndiyo solution ya wao kuishi kwa amani. Ingalikuwa ni mama yako ameenda kwa kaka yako je ungalimshauri wifi yako atupe vitu vya mama yako nje. jamani tuwe tunatoa...
  11. N

    Amenisababishia ulemavu wa maisha kwa makusudi na sasa hanitaki tena!

    Jamani Chai Chungu mbona unakuwa hivyo lakini unawapa watu matumbo joto halafu unaingia mtini. Siyo vizuri hata kidogo. Huna tofauti na Eric Shigongo kwa kweli hadi inakatisha tamaa kusubiri.:A S angry::bowl:
  12. N

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    kwa hiyo Mura siyo story ya kweli ni ya kutunga. Basi wewe mkali
  13. N

    Mbowe, mashambulizi dhidi ya Mwigulu Nchemba kwa memo hii kulikoni?

    Kama tulikuwa pamoja, huyo aliyeandika hizo sms alitumia masaburi.
  14. N

    Kati kerenge is no more

    Kati Kerenge ni Mtanzania halisi. Marehemu baba yake alikuwa Mjita kutoka Musoma na mama yake ni Muhaya kutoka Bukoba
  15. N

    Kuhusu arusha university

    Mantisa vipi unarudi lini kuchuwa masters yako mkuu?
  16. N

    Kilombero jimbo lenye wasomi wengi na viongozi wengi wanaoitafuna nchi

    Naomba kuuliza jamani hivi Balali na Liyumba si wanatoka Iringa hawa au??!!
  17. N

    Hali mbaya ya hewa Zanzibar

    Mungu akusaheme na akuhurumie
  18. N

    Msafara wa Pinda ndani ya A town!

    Jama jama jama mbona alikuwa mkuu wa kaya hakuwa Pinda jamani tena alikuwa kwenye range rover plate number ya ngao
  19. N

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    Wee umeemwona mdogo wangu Vanessa eeh. Jina lako tu linatisha. Yuko Mnet
  20. N

    Kilimanjaro Music Awards 2012

    Nimefurahi Manek anamkubali R.I.P Producer Roy Bukuku the guy was extremely good. Namkubali hasa kwenye wimbo wa Suma Lee wa Chungwa
Back
Top Bottom