Search results

  1. B

    Wanaume vijana 20's-35 wanaboa sana!

    Hawa vijana wana stress za maisha ndo maana wanaishia kupapasa tu.
  2. B

    For men: Hivi hii imekaaje?

    Akivaa sare za shule ataonekana kama mhudumu wa baa, halafu haitampendeza kama madent wanavyotokelezea, Acheni WANAMUME tuifaidi dunia hii jamani.
  3. B

    Maandalizi ya uchaguzi wa udiwani kata ya ifakara jimbo la kilombero

    magamba mzee, na diwani wake ndiye aliyekuwa m/kiti wa halmashauri hiyo.
  4. B

    Mtazamo: Kuna hatari ya NECTA kuingiliwa na wanasiasa kama ilivyo kwa TANESCO

    Ninavojua mimi mitihani inayotolewa na NECTA inatungwa na walimu waliopo mashuleni na walimu haohao ndo wanaosahihisha mitihani hiyo. NECTA wao wanasimamia tu uendeshaji wa mitihani hiyo. Kwahiyo kuinyoshea kidole NECTA ni kuionea bila sababu. Walimu ndo wanajibu la kufeli kwa wanafunzi...
  5. B

    Kawambwa Amechakachua matokeo ya Darasa la 7 2012

    Tusubiri kiama kingine cha matokeo ya form 2. Hapo watachukuliwa hadi watakao pata wastani wa 15. Magamba wameshindwa kusimamia mfumo wa elimu Tanzania
  6. B

    SHARO MILIONEA-Kwanini?

    R.i.p sharo
  7. B

    Tundu Lissu amgaragaza Mwanasheria mkuu wa serikali

    Kawaida Magamba huwa ni vilaza kifra
  8. B

    Marufuku walimu waliogoma kushiriki sensa - serikali!

    2015. Walimu wote wa nchi hii tuungane kuitokomeza serikali hii dhalimu ya si si e mu. Walimu tulitoa machozi pale mahakama kupitia kwa jk ilipobatilisha mgomo wetu. Machozi yale yawe ni kielelezo cha maji ya kuisafisha nchi hii. Ameeeeeeeeeeeeeen!
  9. B

    Unamkumbuka mpenzi wako wa kwanza?

    alikuwa anakukandamiza vibaya hata hutaki kumsikia tena eh?
  10. B

    Mgomo ujao: Utakuwa si wa watumishi wa umma...

    hapo virungu ni lazima vitumike FFU wanapend sifa haooooooooooooooooooooooo!
  11. B

    Mgomo wa Walimu waiva; watoa notisi ya masaa 48

    Inauma sana, fidia yetu kwa wanafunzi ni kuongeza idadi ya zero, nothing else hatujapewa chochote ktk madai yetu na hatutatoa chochote kwa wanafunzi. Very sorry for the new genaration ndo serikali yao imeamua hivyo.
  12. B

    walimu wenzangu mko wapi

    Walimu tutulie tupige mzigo kisanii kama serikali inavyotufanyia usanii. Matokeo yake yataonekana at the end. Worry not.
  13. B

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Walimu tukirudi kazini tegemeeni zero kuwa nyingi zaidi kwa siku za usoni. (fahari wawili wapiganapo ziumiazo ni nyasi)
  14. B

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Halafu leo nimemsikia waziri wa elimu akilidanganya bunge kuwa walimu wanadai nyongeza ya mshahara na allowance za mazingira magumu nk. Madeni ya malimbikizo na uhamisho na mengineyo yameshalipwa. Huo ni uongo kwani hata mimi ni mwalimu na ninadai malimbikizo yangu pamoja na walimu wengine...
  15. B

    Hukumu Kesi ya Mgomo wa Walimu: Mgomo ni batili

    Kama mahakama imesema saa 48 zililikuwa siku za weekend, wamesahau kama mahakama hiyo hiyo ilifanya kazi siku ya jumapili ktk kuuzuia ule mgomo wa walimu wa kwanza? kwa maana hiyo lile pingamizi la siku ya jumapili lilikuwa BATILI.
  16. B

    Mkoba: Nitalishtaki HabariLeo kwa kunisingizia; akanusha kusaini kitabu cha mahudhurio

    Kuna walimu tena na shahada zao lkn bado wanakuwa waoga wa mgomo, hivi kwanini mnashindwa kujiamini walimu????? Mgomo halali huu!
  17. B

    Kulikoni bodi ya mikopo elimu ya juu.

    Wana JF watu tunaenda field nextwk BODI YA MIKOPO ipo kimya, hatuna pesa za field. Tutaishi vipi huko?
  18. B

    Picha inaonesha Kalvin Patrick Yondani akitia saini kuchezea Yanga jana Usiku Tansoma Hotel...

    Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! Kwishney!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1111
  19. B

    Rage-tff msipobatilisha uamisho wa yondani hatuingizi timu kagame cup.

    M/KITI aache utoto, kwani simba bila Yondani haichezi? hiyo timu inawachezaji wangapi?
  20. B

    Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

    ATN & UBC wote matapeli, wametukosha kuona burudani leo. Hata jana ATN kwa nini waliishia kutuonesha mechi moja? wao si walijifanya vidume wa kuonesha kandanda, wavunje vipindi vyao watu tuone kabumbu.
Back
Top Bottom