Search results

  1. R

    Dhuluma kwa wafugaji wa Benaco Ngara: Mkuu wa Wilaya Biharamulo ahusika

    Dhulluma kwa wafugaji wa Kagera; Naona kuna magari mengi na watu wengi hapa Benaco Ngara akiwemo mkuu wa wilaya Biharamulo. Naambiwa kuna mnada wa kuuza ng'ombe wa familia moja ya akina Kabwebwe. Ng'ombe walikamatwa kwenye pori la akiba mwezi wa 5, 2014 kule Ngara sasa wenyeji wanasema jamaa wa...
  2. R

    Swali Rahisi: Nyerere aliwashughulikiaje Waganda "Illegals" wakati wa "chokochoko" Za Idi Amin?

    Mwanakijiji is very right, These people are very innocent and have lived here for many decades without any harm to us until JK and PK differed due to the former unwise advice. Personally nimefanya kazi miaka mingi Kagera na all time hawa jamaa wafugao ng'ombe hawana shida kabisa as far as...
  3. R

    Karibu Prof. Mama Anna Tibaijuka ndani ya JamiiForums!

    Karibu Mama yetu,wewe ni jembe. Huyu ni moja ya viongozi ambao hawapendi ukiritimba,ukimpigia simu kuomba kuonana nae ofisini anakupa appointment straight away labda kama hata anapokuwa tight anakuambia politely. Shule yako imetulia achana na hizo Masters za Economics.
  4. R

    Lissu, Wenje, Sugu, Msigwa, Kiwia kuunguruma Mwanza, Iringa na Mbeya (soma ratiba)

    Vipi mbona Arusha imeachwa au muda hautoshi?
  5. R

    Bungeni: Mwigulu achafua upepo, Lissu atolewa nje ya bunge, agoma! Bunge lakatishwa kabla ya muda...

    Baada ya prukshani za jana nilipita mitaani nikakuta kundi dogo la watu wenye heshima zao wanadiscuss hii ya wabunge wetu hasa Mwigulu. Mzee mmoja akamwambia mwenzake hivi wewe hujui kama Mwigulu ni mtoto wa mkuu wa nchi, eti alimzaa enzi hizo. Personally nikiangalia resemblance yao, somehow i...
  6. R

    Matokeo ya Kenya yatangazwa (KCSE) linganisha na Tanzania (CSEE)

    'Tukosoane, turekebishane, tuwajibishane ndipo tusameheane' Nimeipenda sana
  7. R

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    Mafunzo gani ya kijeshi ya wiki 3, anaenda kujaribu kupunguza kitambi.
  8. R

    NSSF Ianze kutoa gawio la faida kwa wanachama?

    Great thinking,ingekuwa wabunge wa CCM wanafikiri vizuri wangeichukua hii wakaipeleka bungeni. Sina shaka na upinzani kwa sababu najua wataichukua problem ni wakati wa kupiga kura ambapo hawa majority hupiga kura za kinafiki. Ni nchi ya ajabu ambapo unachangia mradi ambao hunufaiki nao hata...
  9. R

    Ujenzi wa Morogoro Road kuanzia Ubungo kwenda Kimara

    Kusahihisha kidogo ili kuweka records vizuri, ni kwamba section hii ya Ubungo-Kimara-Mlandizi ilijengwa na kampuni inaitwa SKAMPHIL COLAS ya Denmark na nakumbuka supervisor alikuwa COWI consult ya Denmark, hii ilikuwa moja ya barabara viwango. Unajuwa hawa jamaa wa Denmark hawajihusishi na...
  10. R

    Jumuiya ya Afrika Mashariki kuvunjika, uroho wa madaraka wa Museveni na Kagame vyaiponza

    Hoja zako ndefu hazina mashiko, you look to be mchochezi tu. In a civilised society we can't believe in your negative imaginations. Hawa jamaa wako very clever, what they do ni kuwaambia watu wao watafute opportunity popote zilipo na their people wanasikiliza na kufanya kazi. Tuache majungu...
  11. R

    Serikali yawatenda madaktari vibaya, mgogoro haujapata suluhu

    In actual fact hii ni habari ya kutia huruma na kusikitisha sana. Itafika wakati wananchi watachagua kufa kwa njaa au kwa risasi. this is too much.
  12. R

    Star TV acheni unafiki, propaganda zenu dhidi ya CHADEMA hazitafanikiwa

    Mbona sehemu kubwa ya hapa Mwanza tumedelete channel ya Star Tv, huyu Diallo ni opportunist. Alivyokosa u waziri na later on Ubunge akawa a bit neautral sasa amepata U chairman wa mkoa wa magamba what do you expect for a guy of this nature?. I strongly support idea ya kuanzisha TV ya Magwanda...
  13. R

    Dr. Kitila Mkumbo: Kushangilia utekelezaji wa majukumu ya serikali ni Uzuzu!

    Hata CCM wamsimamishe Yesu au Muhammad kugombea urais,hatutampigia kura ya ndio.
  14. R

    Wapigakura wa Muleba, Bukoba (V+M), Missenye, B'mulo, Karagwe, Kyerwa....

    Mbona Ngara imesahaulika,hili jimbo ndo kabisa. Wako usingizi wa saa 9 usiku ambao hata mlango ukivunjwa hushtuki. Huyu mbunge alikuwa afisa utumishi mkuu wa serikali miaka zaidi ya 10.Anaishi Dar miaka yote na hata nyumba huko Rulenge alijenga kwa ajili ya kugombea ubunge. Shida za Ngara...
  15. R

    Said Mwema + Charles Chagonja: Kuparaganyika kwa jeshi la Polisi; Lowassa hapa vipi?

    Personally niliona kitendo kibaya sana cha askari magereza kumpiga dreva wa fusopale traffic lights Magomeni simply kuwa kwa nini hakuwapisha wakati hakuwa na nafasi ya kuwapisha, ikanikumbusha jinsi ilivyokuwa wakati wa vita nchini Sierra Leone, kila nyumba iliyokutwa na waasi ikiwa na vazi la...
  16. R

    Polisi kuwakamata wabunge wa CHADEMA waliokatwa mapanga!

    Jogoo awike asiwike kutakucha tu,hizi ni dalili za kifo cha mumiani CCM. Tumeteseka sana,tumeonewa sana,tumedhulumiwa sana,tumenyanyaswa sana tunaomba 2015 ifike hata haraka tupate ukombozi.
Back
Top Bottom