Search results

  1. D

    CHADEMA na CCM wanavyoiua Muganza - Chato

    hili ni tatizo la uelewa,mimi naunga mkono sera ya CDM kwasababu tunalipa kodi iwe moja kwa moja au VAT,hivyo serikali ijenge shule na zahanati kama haiwezi iondoke.
  2. D

    Kufuru Katiba Mpya: Kila mjumbe wa Tume analipwa Sh milioni 294 Baregu, Warioba wapata kigugumizi

    umasikini wa nchi yetu ni jinsi tu tunavyoweka vipaumbele vyetu,hiiyo pesa ingesimamiwa vizuri kwenye kilimo kwa mwaka mmoja tu, tungeilisha africa
  3. D

    Mume wa ofisa wa Takukuru ampa jukumu Dk Hoseah

    inauma sana.wanajifunza kulenga shabaha,wana bastola halafu wanapombe? ila hii ndio bongo,hukawii kusikia ameua bila kukusuda faini laki sita au jela mwaka mmja,kisha analipa laki moja na mchezo unaisha
  4. D

    Tanzania yafuzu awamu nyingine ya pesa za MCC: CONGRATS!!

    mimi siwezi kufurahi eti tumekidhi vigezo vya kupewa msaada,kwani kiwira,williamson,songas,buzwagi,nyamongo,kahama gold,ziwa victoria,ziwa tanganyika,tanga-mtwara coast,serengeti,selou,tarangire etc na rasilimali nyingine kibao tunazifanyia nini mpaka tupewe msaada.sisi ndio tunatakiwa tuwasaidie
  5. D

    Je kwa vitendo Rwanda inavofanya DRC iondolewe kwenye jumuia ya Afrika Mashariki?

    kabla hatuja iondoa rwanda tujue kwamba kabila (baba) alifunzwa mbinu zote za kijeshi tz,mu7 alifunzwa na alisaidiwa na tz,kagame alifunzwa tz kwa hiyo tuanze kuifungia tz kwanza
  6. D

    Kigwangalla na Hoja ya Kutafuta Umaarufu wa Kisiasa Kupitia Kupanda Bajaj ama Bodaboda!

    Nadhani kama kiongozi na mtu unayefahamika kwa kiasi, kama wewe kuna baadhi ya mambo hutakiwi kufanya kama vile kupanda bajaji isipokuwa kama unamalengo ya kunasa hisia za watu,kuweka picha kwenye mitandao ya kijamii nk. Wewe ni dktari, na mbunge hupaswi kuishi kama wasanii. I can smell ur a...
  7. D

    Fatma Karume: It's time for CCM radicals to mature

    mmmhhhhh!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. D

    Mtatiro ainanga CCM, mapokezi ya Kinana na wenzie ni "ze comedy"

    mtatiro ningekuona wa maana kama chama chako kingekemea udini kwa kumaanisha,kingethibitisha sio chama cha kiislam,kingejitoa kwenye muungano na ccm,kingeungana na chadema kwenye kambi ya upinzani bungeni nk.kinyume na hapo your useless!!! ur nothing!!!!!
  9. D

    Tanzania yatabiriwa machafuko

    if you think twice you will see the possibility of war in the mentioned african countries.in nigeria it is obvious north and south, in ethiopia hardly does the ruling side accept democracy.in tanzania i dont expect ccm to leave state house in peacefull environment
  10. D

    Umaarufu wa rais Kikwete waporomoka - REPOA

    huwezi tu kusema umaarufu wa jk umeshuka chini ya asilimia 50, leta vielelezo ili tuamini.mimi sio shabiki wa ccm ila ninavyoona bado ccm inanguvu,sio chama cha kubeza.tunacho hitaji sasa ni utafiti usio na upendeleo kujua ccm inavyokubalika au isivyokubalika kulinganisha na vyama vingine
  11. D

    Kama Tanzania inataka kusaidia Congo, isifanye kwa siri

    Nafikiri umetazama karibu sana. Nafikiri hatuna sababu, haja na zaidi uwezo wa kuwasaidia hawa jamaa. Tanzania kujiingiza kwenye huu mgogoro ni hatari. Mgogoro wa kongo ni zaidi ya Rwanda na Uganda, tafuta docomentary ya Aljezeera ya "Who assacinated Kabila" utagundua hili. Umasikini tulio nao...
  12. D

    Vituko Simiyu vyaendelea idara ya afya: AMO ateuliwa DMO Halmashauri ya mji, huku MD akitoswa!

    hatuwezi kusema wamekosea,labda huyo md uwezo wake wakiuongozi ni zero kama mimi,sasa unataka aongoze tu na yeye ni kilaza kama mimi kiuongozi?
  13. D

    Vituko Simiyu vyaendelea idara ya afya: AMO ateuliwa DMO Halmashauri ya mji, huku MD akitoswa!

    namshauri huyo MD asijali,kwani alienda chuo ili awe DMO? mimi ni MD na head of depatment wangu ni AMO,wananchi wanahitaji tiba na sio siasa,MD unatakiwa upige siza,laparatomy,orif,etc.Acheni kutafuta vyeo.Daktari wa ukweli anafurahia kutibu na sio uDMO.mie ndo natoka theatre sasa hivi nilikuwa...
  14. D

    Fake phd in Tanzania

    hizi ni kelele tu,hatuko makini kiasi hicho,hukohuko TCU ukienda unawezapata mtu ana vyeti feki,
  15. D

    Kwanini Kikwete haungi harakati za Wapalestina kama Nyerere?

    kwa kiongozi mwenye akili na anayejua strength ya israel,anakaa kimya na kutazama tu,Israel is in the next level when you look at military,economics,technology,academics etc,anayeweza kupigana na waisraeli ni MUNGU peke yake.
  16. D

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    unajua viongozi wetu wengi ni watu wenye IQ ndogo sana,mimi naamini kuwa bandari ya Mtwara ilipaswa kujengwa kabla ya Bagamoyo,na pia naamini hatuhitaji bandari Dar na Bagamoyo.kati ya hizi mbili tunataka moja tu,ya ukweli na kwakuwa ya Dar ipo,basi ingeboreshwa tu.Naamini tz tunahitaji bandari...
  17. D

    People and Power: How to Rob Africa

    africa is a house where all doors and window are open for any one
  18. D

    Rais Kikwete azindua mradi wa barabara ya Manyoni-Itigi Chaya na Issuna-Manyoni Source

    haya ni mambo matamu sana kwa mimi mfanyakazi wa singida.big up kwa serikali.
  19. D

    January Makamba afanya majaribio mfumo wa kuripoti Rushwa

    it sound as if it gonner be good thing, let weit see how it work.makamba january umeonesha mfano mzuri kwetu sisi vijana
Back
Top Bottom