Search results

  1. S

    Masikini CHADEMA- Kwishnei

    Nadhani mtoe hoja anajidanganya sisi wananchi wa TZ sasa ndiyo tutahamua nani alituwakilisha.
  2. S

    Kweli nimeamini jk na gambo ni pete na kidole

    Leo kupitia issa michuzi wameonekata wakiwa pamoja dodoma nawasilisha
  3. S

    Lusinde: Wembe ni ule ule Arusha!

    Acha aje haone hii ni arusha sio dodoma tutamfanya hamna.
  4. S

    Jicho la tatu Arusha na Lema linavyoona

    Kweli tunaraisi wa aina yake yuko radhi kuwalinda waziri wa afya ata kama watazania wamekufa ajali ,but yuko tayari kumvua mbunge wetu chaguo letu kwa ajili ya roho yake mbaya.Lema ni chaguo la mungu so wote waliohusika kuanzia jaji watakutana no mkono wa mungu siku kumi na nne azitapita mtaona...
  5. S

    Pongezi kwako Vincent Nyerere!

    Kweli kamanda umesema kweli vicent ni jembe tena kama baba wa taifa.kwa mara ya kwanza naweza kusema CHADEMA wameweza kufanya kampeni za hali ya juu sana nilipata nafasi ya kwenda kwenya kampeni zao zilikuwa zinatia moyo.Haswa Mzee wa ANGA KAMANDA MBOWE muda wote alikuwa anatoa hotuba ya Amani...
Back
Top Bottom