Search results

  1. Shabhan

    Maxence Melo [JF Founder] HEARTFELT CONGRATULATIONS to you

    Heri ya siku ya kuzaliwa Kamanda Max na kichanga.
  2. Shabhan

    Mwenzenu napenda attention!!

    sometimes dada zetu you try too hard hadi you lose it! Kuweni makini sababu it shows. Na hio ya kuonesha cleavage ndio mara nyingine hutoa picha mbaya sana. Of coz we appreciate a sexy looking lady but you dont really have to look like a slut for us to appreciate you.
  3. Shabhan

    JF Udaku: Toleo la Mei 2012

    Hatimaye hashycool na Michelle wafunga pingu za maisha baada ya kupita misuko suko mingi! Mgeni rasmi Mzee Mwanakijiji na plus one wake Ab-Titchaz.
  4. Shabhan

    AshaDii where are you at?

    kamanda mimi nataka kujua tu habari zake kua yupo salama? Sio kawaida yake kua kimya mda mrefu.
  5. Shabhan

    AshaDii where are you at?

    Mwenye habari zake tafadhali. Bi mkubwa katoa na avater, vipi nae kaaga harudi tena?
  6. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kujirahisi kunakuja pale unapokuwa umelala nae, mbona nimekwambia sirakugusa? Usiogope baby come this way.
  7. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kamanda Michelle si my Queen. Hakunaga kama Michelle, she puts me in line and puts up with my arse of which I kno i am. I Love her. She is speacial and unique. She is my guardian angel. She is my Michelle.
  8. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    hahaha. Inaboa kweli yani, wanafanya art ya kutongoza ku diminish!
  9. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    Rose baby mbona wewe kila mmoja anajua wewe ni mtulivu. Tukikaa kijiweni na makamanda wewe upo kwenye list ya wife material. Wewe nakuoa na kukuweka ndani. Sitakugusa hadi utake mwenyewe! Unasemaje baby?
  10. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kamanda hivi wewe huelewi maslahi binafsi mbele kwanza? Watoto wangu hawana mama na Rose naona anawafaa haswa! Hizi zote strategiz kamanda.
  11. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    Rose baby ndio mana nasema wewe ndio wale waliotulia. Kuna mapungufu lakini, hawana mama. Utapenda kuwa mama yao mdogo tuwakuze wote?
  12. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kamanda nature was meant sie wanaume tutongoze. Nia ya kutongoza ni kua kulala nae ama kua nae. Inapotokea siku ya kwanza umemjaribu na kakubali hulazi damu ila hurudi nyuma tena!
  13. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kamanda wewe kama una mawazo hayo basi utakua sio riziki. Una hakika mwanaume anae lala na wanawake wengi sawa na vice versa? Huu utani sasa!
  14. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    usijali baby, sitarudia kosa. Hebu naomba nisaidie juwajibu hao wengine hawajanielewa na mimi historia yangu nikimuelewesha memba hadi nipate ban!
  15. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    dada usininukuu vibaya. Sio wote ila hao ambao hawapo hivo ni wachache sana ni nadra kuwapata.
  16. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    kamanda mie nimepona hicho kisu, mitoto yangu yote dume. Ni kuwajengea mazingira ya uwazi wa kuongea lolote na wazazi mara moja moja unakaa na kuwapa real life experiences kwa simulizi.
  17. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    Rose baby wewe haupo hivo, wewe ni wale 7 kati ya 50 waliotulia.
  18. Shabhan

    Dada zetu acheni kulia lia! Mnajirahisi hadi kichefu chefu

    Acha kukurupuka na tabia yenu ya kujifanya mnaponda fb na hali karibu wote mna account huko. Hili linamhusu dada yeyote wa kujirahisi!
Back
Top Bottom