Search results

  1. J

    Napendekeza s.kubenea awe kwenye tume itakayoundwa kuchunguza.

    Wadau mnaonaje kifaa hiki kikiwemo kuchunguza katika tume ya kuchunguza kifo cha mwanahabari DAUDI MWANGOSI. Tujadili
  2. J

    CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

    Waislam inatokea wapi tena. Mbona chaguzi za ccm hujazigusia mkuu! Ona hata aibu mkubwa
  3. J

    CHADEMA kusimamisha shughuli kwa ajili ya sensa huku Fiesta Mwanza kuendeleza

    Wakuu mi nashangazwa sana na jinsi mambo yanavyoenda hivi sasa. Chaguzi za ccm zinaendelea maeneo mbalimbali ya nchi lakini Chadema baada ya kuzuiwa kufanya mikutano wameamua kufungua matawi tu. Lakini tunaambiwa kuna sensa sensa ndo mduduwasha gan?
  4. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Wakuu vp makamanda wamefika MNC?hicho ndo chama cha kwel cdm! Peoples.....!!
  5. J

    Kilichojiri viwanja vya NMC na hatma ya Jimbo la Arusha Mjini

    Wakuu wa A rusha nawaomba mtoe kampan kwenye chama cha kwel cdm!!
  6. J

    CHADEMA kutoa uamuzi wa maamuzi ya Mahakama Jumamosi NMC Arusha

    Kwani leo j.mosi? Leo ni Ijumaa kuu.
  7. J

    Jaji kesi ya Lema Arusha kashikishwa kitu na mafisadi?

    Kazi ni kwao tunasubiri tuone Kimbunga kingine
Back
Top Bottom