Search results

  1. Al gator

    Afrika Kusini: Kundi la wapenzi wa jinsia moja waandamana nje ya ubalozi wa Tanzania mjini Pretoria

    Wewe bila kuitaja Chadema huwezi kulala!! Au na wewe ni shoga!?
  2. Al gator

    Africa itachukua miaka 500 kuwa kama America na Ulaya- Bill Gates

    Kwa hii stail ya Africa ambapo kama unataka kufanikiwa kisiasa basi mkomoe kiongozi wa upinzani au fanya kila mbinu hadi kutoa rushwa ili kudhoofisha upinzani ndio changamoto kubwa. Uongozi wa Africa ndio chanzo cha maovu na shida zote.
  3. Al gator

    Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..

    Sio yeye pekee aliye pewa tuzo. Na yule dc wa Hai aliye hujumu shamba la Mbowe nae kapewa u RC wa Mtwara. LOL. Na pale kiongozi wako wa Dini anapo kuambia waombee viongozi wako ndio utajua ni kwanini Upendo ni Amri ngumu sana kutekeleza.
  4. Al gator

    Unaangalia taarifa ya habari kutoka kituo gani?

    Naangalia ITV. Na kuna siku niliangalia Channel ten kidogo nitapike.
  5. Al gator

    Hotuba ya Trump UN imejaa ukweli na hekima nyingi

    You are having a very wet dream!! Enjoy it while it last..... lol
  6. Al gator

    Hotuba ya Trump UN imejaa ukweli na hekima nyingi

    Trump ni mtu makini sana kama uta muelewa. Kwanza yupo direct na sio mnafiki haogopi kuongea ukweli hatakama unaumiza na uta wakera wengi. Na hii ideology yake ya kusema "America First" & Make America Great Again" nime zipenda, na hii ya kuwaambia maraisi wengine waweke nchi zao kwanza na wawe...
  7. Al gator

    Mateso wanayopitia Warohingya Dhambi ni pale watu wanapokaa kimya madhila yanapotokea

    Hao warohingya sio kwamba wanapigwa bure. Wao ndio walio anza chokochoko kwa kuvamia polisi kuwaua na kuchoma moto vituo vya polisi. Sasa jeshi la Burma ndio wakarevenge kwa fullforce kitu ambacho sio kizuri kabisa. Na pia hao Tohingya walitakiwa wamjue adui yao vyema. Burma sio nchi za Europe...
  8. Al gator

    Kuko wapi Kuhongwa kwa Lissu na Acacia?

    Actually mimi bado na jiuliza usaliti na uadui wa wapinzani ni upi!? Maana maadui nma wasaliti wa kwanza ni wale walio tuingiza kwenye hii mikataba ya Ovyo. Na sijaona hata mmoja akiwekwa ndani au kufilisiwa au kupigwa risasi.
  9. Al gator

    Polisi wafanya doria Sinza kuzuia maombezi, WanaCHADEMA wawili washikiliwa

    Nime ipenda hii idea, hii itasaidia pia kuwaondoa hawa wanao kaa barabarani na kutoza fine.
  10. Al gator

    Sehemu ya maelezo ya dereva wa Lissu yanazidi kuibua maswali mengi. Polisi wamhoji hata kwa nguvu

    Kama ni CHADEMA wame husika basi iiteni FBI au M16 waje wafanye uchunguzi huru. Na kwanini huyo dereva na Mbowe ndio wawe suspect number moja na sio wamiliki wa hayo magari!? Alafu nakupa ushauri wa bure "Stop smoking green/raw weed."
  11. Al gator

    Sehemu ya maelezo ya dereva wa Lissu yanazidi kuibua maswali mengi. Polisi wamhoji hata kwa nguvu

    Kama ni CHADEMA wame husika basi iiteni FBI au M16 waje wafanye uchunguzi huru. Na kwanini huyo dereva na Mbowe ndio wawe suspect number moja na sio wamiliki wa hayo magari!? Alafu nakupa ushauri wa bure "Stop smoking green/raw weed."
  12. Al gator

    Asilimia kubwa ya wanawake wa mijini wanajiuza ila wanabagua dau na mazingira ya kujiuzia

    Yaani ninunue mbunye kwa M 1!? Kwanza hakuna demu wala mwanamke mwenye mbunye yenye gharama hiyo. Btw hiyo mbunye ya hata laki inakua na nini ndani? ua ina tv? kumpa mwanamke M1 hata M10 kupo ila ni kwakua una msaidia shida zake ila haimaanishi umenunua mbunye.
  13. Al gator

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Yaani umeongea Point tupu. Nadhani huyu jamaa atafuata huu ushauri.
  14. Al gator

    Wanawake wa kijapani ndio dili

    '' Dada zetu walio tuachia Kilio cha Mahandaki" hayo ndio maneno pekee yaliyoo nchekesha sana siku ya leo. lol
  15. Al gator

    Wanawake wa kijapani ndio dili

    Teh teh teh..... Vijana wa sikuhizi hawajui nini maana ya dili. Kwao kila kitu ni dili.
  16. Al gator

    Pale unapoandaa kidate na single mother halafu akaja na mwanae

    Single Mather ni wepesi sana kama ukiwapatia, Mimi kuna mmoja nilianza nae kwa kumpotezea yeye binafsi na kufocus kwa mwanae, nikawa namnunulia dogo zawadi na kumuulizia muda si muda mama akawa anajileta kwalazima nikawa nimefanikisha mpango kwa njia rahisi sana.
  17. Al gator

    Wimbo wa Seduce Me wa Ally Kiba ni "Copy & Paste"??

    Kama kweli amecopy na kupaste atakua amenisikitisha sanaa.
Back
Top Bottom