Search results

  1. M

    **~** penzi la clara **~**

    MJJ, still waiting
  2. M

    ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    kwa kweli kisa mkasa, sasa hapa ndo mwisho?
  3. M

    Dalili...!!

    Watu wengine bwana, unataka ushauri wa nini wakati kosa lako walijua?
  4. M

    Na nyinyi mmezidi bana...

    Pole sana kaka NN, NEXT TIME WATCH YOUR STEP
  5. M

    ~**~ kumbatio la mwenye makosa ~**~

    MJJ twasubiria kwa hamu
  6. M

    Ndoto ya ajabu

    inasikitisha, tafuta ufumbuzi wa haraka.
  7. M

    Wako wapi hawa siku hizi?

    kana ka nsungu jamani yu wapi?
  8. M

    Wako wapi hawa siku hizi?

    mwafrika wa kike je? kimyaa
  9. M

    Clouds FM: Katika hili mnastahili pongezi

    nadhani hii inaenda kimanufaa zaidi kwa vodacom, ukizingatia huu ni mwaka wa uchaguzi, wana ajenda za siri!!! .
  10. M

    TAKUKURU: Pinda jiuzulu na Hosea akufuatie!

    mimi nadhani suala la takukuru kuhoji wabunge ni makosa yaliyofanywa na mfumo mzima. mfano mdogo, utamuulizaje william lukuvi kama mkuu wa mkoa kwanini anapokea posho, while ni mbunge? hapo utakuwa una 'mquestion' rais aliyemchagua kwani hakujua kama ni mbunge? vivyo hivyo, ni wabunge wengi...
  11. M

    Wana JF Hawa Wako Wapi?...

    not only Dua, but also Kana ka nsungu na brotherman i really miss them.
  12. M

    Sakata la Dr. Masau: Msimamo wa Serikali na Hatima ya Taasisi ya Moyo (THI)

    pamoja na kwamba anafanyiwa fitna , lakini tangu alipohamia katika jengo la watu hakuwa na plans zozote? maana wengi wetu sisi wabongo tunapanga nyumba , kulipa ni priority, sio kwako hapo, yeye kwanini hakutafuta eneo na pango alio na uwezo nalo?
  13. M

    Kesi ya Abdallah Zombe: Mashitaka, hatia, hukumu na yanayojiri

    are they telling the truth o they r told to say wat they say?
  14. M

    Mafuta ya KY-Jelly: Ni yepi matumizi yake sahihi?

    ukienda pharmacy utapata ni shs. 6000/= au zaidi
  15. M

    WARIOBA na rekodi yake akiwa Waziri Mkuu

    naomba niulize kama kumbukumbu zangu sio nzuri, ile ishu ya mwananchi gold ya benki kuu haimhusu?
  16. M

    Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

    Naona inaweza kuwa moja kati ya haya mawili 1. Kuna uwezekano waliotumwa kumdhuru Kubenea walidanganywa na tajiri wao (kama kweli ni bosi wa Bakhresa). Sioni uwezekano wa huyo bosi kuwaambia vinginevyo juu ya sababu ya kumdhuru mtu mwingine. 2. Watuhumiwa wamefundishwa cha kusema na hivyo...
  17. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Hakuna haja ya kuwapongeza mafisadi! RA apati sifa kwa vile amekuwa na uongo wa kueleza umma wa Tanzania! Kwa heshima nyingi nakuomba moelex23 ufute kauli yako?
  18. M

    Keenja na Binti yake Eliaisa

    Heshima mbele, Kuhani Mkuu Sijui comment hii imetokana na nini? Naona haijibu comment iliyotolewa mwanzo na mchangiaji. Naomba mwongozo.
  19. M

    Kiongozi Wa Juu Wajiuzulu Kwa Ufisadi Pia?

    Hili halina tatizo hapa JF. Leta data za kutosha za kujenga hoja. Hapa naomba waoijua katiba na sheria za nchi vizuri watoe mwongozo. Nafikiri hili ndio swali la msingi sana iwapo Raisi anatakiwa achukuliwe hatua. Hali ya Somalia sidhani kama inaweza kutokea katika nchi yetu labda...
Back
Top Bottom