Search results

  1. R

    UMEME MWANZA SASA UMEKUWA WA UHAKIKA

    Professor Muhongo huwa anamaintain status quo yake. Kikwete na Magufuli kwa kweli wamepatia katika uteuzi
  2. R

    Huyu Jerry Muro ana matatizo gani jamani?

    Mkuu wala usiumize kichwa. Kwani ulikuwa hufahamu kuwa huyo bwana ana matatizo ya inferiority complex tokea siku nyingi?
  3. R

    Bodi ya MCC yainyima Tanzania fedha za msaada

    Kama tulipewa huo msaada kipindi kile, tumeshindwaje kutimiza masharti yale? Kama haturidhiki nayo tuachane na tusilalamike. Mtaka cha uvunguni shariti ainame!
  4. R

    Makonda katika ubora wake!

    Kusema kweli huyu kijana kajitahidi kuonyesha njia kama kiongozi kinyume na umri wake ukilinganisha na wengi wa ma DC waliopo. Makonda, thumbs up
  5. R

    Nataka kununua GPS

    GPS inasimamia kirefu cha Global Positioning System ambacho hukusaidia kukuonyesha popote ulipo kwa kutumia co-ordinates, yaani Northing na Southing. Zinauzwa madukani sehemu mbali mbali. Maeneo ya kanda ya ziwa zinapatikana hapo Mwanza Hotel shop moja. Fika ucheki bei
  6. R

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Habari yako hii is too skeletal. Fafanua zaidi
  7. R

    Msaada wa anayejua soko la Lodlight na Green Tourmarine

    Mkuu labda nikusahihishe kidogo. Haya madini yanajulikana kama green touraline na rodolite. ukitaka kujua kuhusu soko wasiliana na ofisa madini hapo Arusha au ofisi ya Madini iliyo karibu nawe.
  8. R

    Vurugu kubwa jijini Mwanza, mabomu ya machozi yarindima

    Mbona unatuchanganya? Tukio limetokea Misungwi lakini vurugu zifanyiwe Mwanza.
  9. R

    NEC hoi, itaharibu mambo

    Naye pia ni tatizo kubwa. Njaa na kukosa integrity ndivyo vinamuongoza. La sivyo angeshajiuzuru zamani kutokana na hali inavyoendelea.
  10. R

    Ni fridge gani bora kwa matumizi ya nyumbani?

    Nakuunga mkono mkuu. Naikubali sana na mimi
  11. R

    Hivi wasomali asili yao ni wapi?

    Wengi wao walitokea Yemen na Ethiopia.
  12. R

    Tambo za waziri Muhongo

    Hili ni jembe katika serikali ya Kikwete. Wengi wetu tumezoea kudanganywa hatutaki kuambiwa ukweli. Hao wanaodai viwanja vya mafuta wataendelezaje hivyo viwanja iwapo viwanja vya vito na dhahabu wameshindwa hata kuviendeleza achilia kulipia annual rents
  13. R

    Dawa ya mifupa tafadhali

    Kweli kabisa. mifupa hujiunga haraka kuliko wengi wanavyodhani. Tatizo ambalo hujitokeza kama ilivyotajwa hapo juu ni alignment. Local doctors ni wazuri kwa kuponyesha haraka shida ni hiyo alignment tu. Utakuta kuna mafundo kwenye maungio. Calcium compounds are always the best for strengthening...
  14. R

    Kura ya wazi itawaumbua CCM

    Sawa kabisa Mkuu hivyo ndivyo inavyopasa iwe
  15. R

    Msaada kuhusu geoinformatics

    Geoinformatics ni sayansi au teknolojia inayosshughulika na taariafa ya anga (spatial), ukusanyaji wake, mchanganuo , hifadhi yake, processing na usambazaji wake, ikiwa ni pamoja na miundombinu muhimu ya kupata matumizi bora ya habari hii. Kwa kifupi geoinformatics inashughulika zaidi na mambo...
  16. R

    Msaada: Accommodation Cum Office House For Rent inahitajika Mwanza

    Hi Wadau wa JF hasa wale wenyeji mjini Mwanza. Inahitajika nyumba ya kupanga ambayo pia itatumika kwa office. Nyumba yenyewe inapaswa iwe na vyumba vinne vya kulala na ofisi kubwa na pia kuwepo na kijumba nje ambacho kitatumika kama stoo kwa kuweka vifaa vihusikanavyo na kazi na sehemu pana kwa...
  17. R

    Matokeo Kidato cha Nne 2012 ni FEKI (yamepikwa) - GREEN ACRES

    Baadhi ya shule zimekuwa zikifanya biashara ya kuvutia wanafunzi wengi kwa kuiba mitihani. Waliokuwa wanafanya hivyo tayari wameshaumbuka kutoka mwaka jana. Tunaomba serikali ijizatiti kuhakikisha huo uzi wanaukaza zaidi. Ni kwa miaka miwili mfululizo tumebaini hicho kitu. Sitataja shule hata...
  18. R

    Nigeria: Prostitutes Promise Free Sex If Super Eagles Win the Tournament: NAULI JUU YAKO!

    It is Nigeria vs Burkina faso and not Ivory Coast which will encounter on Sunday's match.
  19. R

    Happy Birthday to international singer, Sade! She turns 54 years young today!

    Huyu mama ana mainatain sana youthfulness yake hasa kutokana na hiyo diet. Ni product ya Mnigeria na Mwingereza na hajaathiriwa na ulevi wala scandals kama walivyo mastars wengi. Smooth operator iliyotamba miaka ya 80 ndiyo iliyomtambulisha zaidi kimataifa.
Back
Top Bottom