Search results

  1. I

    Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Maandiko matakatifu yanatufundisha kwamba shetani ni mbaya sana. Kwakuwa shetani ana roho mbaya kuliko Mwendazake, basi shetani itakuwa ana roho mbaya sana.
  2. I

    CCM tumepoteana; tunasapoti Jambo dakika moja viongozi wanatugeuka!

    Sisi mataga sasa tumedhihirika kwamba ni zumbukuku.
  3. I

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi: Jinsi ya kuhakiki kituo chako cha kupigia kura tarehe 28 Oktoba

    Piga kura na Linda kura. Tume ya uchaguzi ni watesi wetu.
  4. I

    Uchaguzi 2020 Polisi, NEC lini walimpa Lissu adhabu ya kutokusafiri?

    Our police force doesn't know the mobility rights.
  5. I

    Uchaguzi 2020 NEC yavitahadharisha Vyama vya Siasa na Wagombea kuhusu uvunjifu wa Sheria za nchi

    Kwahiyo unashauri wananchi waingie barabarani kwakuwa CCM haiwezi kuachia madaraka kwa kushindwa uchaguzi?
  6. I

    Uchaguzi 2020 Mzee Dkt. Slaa popote ulipo

    Je wajua kwamba msemaji wa familia ya Nyerere ni Madaraka? Pia hakuna ubaya wa mtu yoyote kukaribishwa familia ya Nyerere. Nenda hata wewe, utapokelewa
  7. I

    Uchaguzi 2020 Uchaguzi utakuwa wa haki na uwazi – NEC

    Uchaguzi ni process na hiyo process hainzii tarehe 28 October. Wagombea wa upinzani wameenguliwa kishenzi, sasa mwenye akili timamu hawezi sema uchaguzi utakuwa wa haki
  8. I

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Rekebisha andiko lako, andika ikitokea ametangazwa. Hakushinda first term, atashindaje second term wakati watu wameisha pigika?
  9. I

    Uchaguzi 2020 Karagwe: DC aamuru kujengwa jukwaa lingine ili litumiwe na Waziri Mkuu, asema jukwaa la awali ambalo ni la kudumu limetiwa najisi na Tundu Lissu

    Sijui wataweka wapi sura zao. Pia, reasoning capacity yao ipo chini. Msimamo wa DC unawaharibia
  10. I

    Aache upotoshaji: Universal Health Care haimaanishi Bima ya Afya. 'Universal Health Care Coverage' kwa Tanzania tuko 100% tangia enzi za Mwl. Nyerere

    Mimi ni Mtanzania ninaye ishi Canada. Universal Health care ni bima ya afya ambayo kila mkazi anapewa na serikali. Kwa miaka ambayo nimeiishi Canada, sijawi lipia matibabu wala familia yangu kulipia matibabu. Kusema ukweli gharama za elimu na matibabu ni cost za serikali. Tena kwa watoto gharama...
  11. I

    Uchaguzi 2020 Siasa Mchezo mchafu: Video za maktaba za Gwajima zaanza kuvuja tena, CCM yafunika uso kwa aibu

    Kanisa lake lilikuwa linaitwa kanisa la misukule. Wengine waliamini kwamba kama umefiwa na unaamini kwamba marehemu alilogwa, basi Gwajima atamrudisha. Wengi walinaswa kwenye mtego huo.
  12. I

    Anayesimamia Idara ya Habari CHADEMA anakihujumu chama

    Toka zamani CDM kwenye IT wapo nyuma by 2 decades
  13. I

    Uchaguzi 2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli na Samia Suluhu

    Hamna jipya na wala halitokuwepo. Katiba mpya siyo kipaumbele chake, haki kwake ni non issue. Hamna jipya.
  14. I

    Uchaguzi 2020 Ilani ya CCM 2020: Mkitupa kura ndani ya miaka 5 tutatengeneza ajira milioni 8

    Miaka 5 umeua ajira. Sasa another term ni muda wa kuzika. Maana after death ni burials
Back
Top Bottom