Search results

  1. M

    Mwigulu Nchemba achaguliwa kuwa m/kiti wa Vyama vya Ukombozi kusini mwa Afrika

    Moja kati ya misingi ya taaluma ni kutumikia jamii., si kutumika vibaya dhidi ya jamii kwa maslahi ya mafisadi kama wewe unavyotumika... Ukishindwa kuidhibiti njaa na umaskini vikakupanda kichwani Kila jambo utakalolifanza litatokana na msukumo wa njaa na umaskini., Njaa na umaskini...
  2. M

    Sumu ya sera ya majimbo ya Dr. Slaa na Mbowe kuwaua wabunge wa CHADEMA

    Naona umepewa sambusa za Nape ., lakini hata Gadafi hakuamini km atatoka kwa style zile na baadae akakamatwa km panya., kwa taarifa yako hii sera ni km AK47 kwa CCM., nenda kachukue ki memo kingine tena kwa Nape maana najua alikupa viwili kimoja ukakipoteza.
  3. M

    CHADEMA, Mgogoro wa Ruzuku mikoani ni bomu la kulipuka

    Wewe hujui usemalo,, unastahili kuambiwa manina zako!
  4. M

    Sikubaliani na kuvunja baraza la mawaziri!!

    Hawa magamba wanadhani watatukosha kwa kubadili watu? La hasha! Hoja ya msingi ni sheria kuchukua mkondo wake. Hao mawaziri wafikishwe mahakamani kwa wizi walioufanya, na km ni dhamana wakati kesi ikiendelea basi thamani yake iwe ni zaidi ya wizi walioufanya. LAKINI PIA JAMANI HAWA WATU...
  5. M

    CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

    Nakuona kama vile unatembea usiku wa manane huku umevalishwa miwani ya jua halafu umeme umekatika., sidhani km utafika mji waliokutuma MAGAMBA!!! Hauna tofauti na malaya anayelazimika kutembea na mwathirika bila condom ili mradi apate pesa!! Jitume fanya kazi dada usikubali kutumika visivyo...
Back
Top Bottom