Search results

  1. T

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Jaman ee, katiba ya mzee Wa viwanhi ni bomu, hatupaswi kuiunga mkono. Hakikishen vijana tunamiga kura ya kuikataa.
  2. T

    NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Watanzania Sasa tuamke hususan vijana. Bado tunayo safari ndefu kimaisha. Wazee wetu tunawapenda japokuwa wengi wao wameonekana hadharan kuwa ni wabinafsi. Tuwe wazalendo. Tuwe seriois na suala la katiba. Tutoe maoni yenye muino Wa mbali. Wazee wetu wametuangusha katika suala la katiba. Inayo...
  3. T

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    kilichofanyika ni ndicho kilichotakiwa kufanyika kwa yeyote anayetafuta maendeleo. lengo si kuwa wapinzani hata kwenye hoja za msingi, nawaunga mkono kwa hatua waliyoifikia.
  4. T

    Zitto Kabwe: Wanasiasa wa Tanzania ni wanafiki

    bora mbishi kuliko anayekuibia
  5. T

    Kikwete ni jembe nimemkubali kawatembelea wazungu wawili waliomwagiwa tindikali

    wazee mnasahau nchi yetu inaendehwa kwa misaada ya wazungu, lazima mzee asogee.
  6. T

    Wanfunzi 33,050 kupewa mikopo kati ya zaidi ya 49,000 walioomba

    jamani mimi naomba kujulishwa, ile orodha ya waliochaguliwa kupewa mikopo naiona wapi? nimeangalia web ya heslb sioni kitu, nifungue wapi?
  7. T

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    mbali na uchaga kazi anachapa kijana.walimfanyia umafya tu baada ya kumuona anasonga mbele kwa kasi. mh! nchi hii bwana, ukujituma kazi tabu, wazembe na mafisadi tu ndo wanakubalika.
  8. T

    Jerry Muro apokewa kwa shangwe na BAVICHA

    cdm miaka 45 bodo kijana
  9. T

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    tunamshukuru aliyetuma picha za matukio mapema kabla wanoko hawajajua, mana zisingekuwa picha pengine wangesingizia chadema wameua. kwa sasa haiwezekani kwani wahusika wauaji wanaonekana hadi sura, bado majina tu. naungana nawe kuwa serikali ilipanga kuua, tatizo tu hawakupanga wanauaje. kwa...
  10. T

    PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    nakuunga mkono mkubwa, waliofanya hili tukio la kinyama lazima iwarudie. watanzania hatujafikia hapo ambapo jeshi letu la polisi limetufikisha. mauaji waliyoyafanya ni hayavumiliki kumtendea binadamu mwenzio. anyway, iko siku hata kama serikari itawabeba watu wake, lakini damu ya marehemu...
  11. T

    Tangazo toka Loan Board (HESLB)

    Jamani wanatoa lini majina ya walipata mikopo ili na mimi nilie mkoani nijue kama nimepata au la!
  12. T

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    watanzania tulaani hiki kitendo kilichofanywa na jeshi la polisi iringa cha kumuua mwangosi. RPC awajibishwe kwa namna yoyote katika hili. asipowajibishwa, leo tumelia ya mwangosi ya kesho hatuyafahamu na hatujui atamfanyia nani.
  13. T

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    na hasa huyu RPC wetu ambaye ni israeli mtoa roho za watu hadharani. hivi mwema ndio nini kutuletea wenzie aliyeshindikana songea, muuaji, sijui yeye ataishi milele? alichomfanyia mwangosi akitegemee siku moja hapa duniani kabla hajafa.
  14. T

    Dunia yalaani kifo cha mwandishi Daud Mwangosi

    huna huruma wewe, siku moja mwanao afanyiwe unyama aliofanyiwa mwangosi ndio utaona uchungu. kuwa na huruma wewe ni binadamu, hayajakupata tu. siku zote msiba wa mwenzio kwako ni harusi.
  15. T

    Ahadi za Kikwete zafikia Trillion tisini (90 trillion tsh)

    naungana na wewe mkubwa, jamaa hana uwezo kweli.
  16. T

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    magufuli mropokaji sana simfagilii mimi.
  17. T

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    W.Slaa anafaa sana kati ya hao watatu. sijaona ubaya wake zaidi ya jitihada anazoonyesha kupigania wanyonge. H.Mwinyi naogopa asijeiua nchi kama alivyofanya dingi yake enzi za utawala wake. mzee wa independent lowasa hafai hata kuonekana kwenye huu ukurasa. sifa zake mbaya, mtu mwenye tamaa...
  18. T

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    Wilbrod Peter Slaa. binafsi sijaona ubaya wa huyu mtu japo siwezi kushuhudia uzuri wake kiundani. nikiwa kama mpiganaji naipenda cdm saaaaaaaaaaaaana nama wanaonyesha nia ya kuwa wapiganaji. jamani watanzania tunamaisha magumu mno. tembeeni vijijini muone watanzania wenzetu wanavyoteseka na...
  19. T

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    mambo yote tisa kumi ni kwa spika wao, aisee akipewa urais yule maza watanzania tutaipata. uspika tu tayari ameshachafua bungeni. anahalalisha posho kubwa anachofanya hakionekani.
  20. T

    Ungependa nani awe rais wako kati ya hawa?

    we mchaga nini! unamjua migilo wewe! hatuhitahi mabepari sisi.
Back
Top Bottom