Search results

  1. M

    Mtwara kimenuka: Mabomu ya machozi yarindima!

    :shut-mouth:Geeeeeeeeeeeeeesi jamani hatutaki fujo wana mtwara..serikali sikia maombi yetu mjenge huku hizo plants tufaidike nasi khaaaaaa...barabara yenyewe inasuasua na mkiweka bomba si ndo mtaona hatuna umuhimu kabisa wa kuletewa maendeleo.:target::target:
  2. M

    Jamani nakufa mwenzenu kwa stress

    :confused2:daaaa ni bora kuziba ufa kuliko kujenga ukuta..funguka hapo juu ya hiyo tofauti ..vinginevyo utapata mateso bila chuki maisha yako yote..!:confused2:
  3. M

    TCRA, Tunaomba ufafanuzi

    Ningependa kujua satelite dish linauzwa kiasi gani cha pesa za madafu?:confused2:
  4. M

    Ni kweli haya yapo tutawaeleza nini watoto wetu miaka ijayo

    Natamani nilie....!!!!!!!!!!!!:target:
  5. M

    Wanaume stress tupu!!

    THREAD INA NGUVU ZA GIZA NDANI YAKE..SI JAMBO JEMA HILO..MUNGU AWASAIDIE WADADA WASITEKWE NA STYLE HII YA KUTOKA KUZIMU MOJA KWA MOJA.:confused::nimekataa
  6. M

    Pamoja na uzuri wake, Maumbile ya mpenzi wangu yananichosha mwili na roho!

    kwenye ndoa hakuna kuvumiliana kuna kufurahiana..so jua mapema uchague kusuka au kunyoa....usiingie eti nitavumilia itakula kwako mazima....:confused2:
  7. M

    Haniridhishi jamani

    :shut-mouth:
  8. M

    PONDA mbioni kuachiwa

    Acheni upuuuuuuuuuzi nyinyi...mnaongelea mawazo..ongeleeeni facts..tupe source ...nenda kafanye kazi wewe..!!!!ushawahi mwona mwarabu na mhindi wanaandamana...??????????????/:glasses-nerdy:
  9. M

    Kwa nini sifanikiwi katika harakati zangu za kutafuta kazi?

    Ikitokea nafasi ingine ya kazi tofauti na fani yako piga pia usikae ukasema huna kazi piga kazi zingine huku unafuatilia kwa karibu kazi ya fani uipendayo..marufuku kukata tamaaaaa.............!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:glasses-nerdy:
  10. M

    Kwa wale waliowahi kukutana na bikira

    nadhani hauko serious kaka..ila kupanga ni kuchagua...go for what u like life is short(samahani kwa kuchanganya kimakonde na kihaya)
  11. M

    Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

    mi naona sio kusoma ni umamluki tuuu..wengine hawajui wanchokifanya na hata kama ukimuuliza kwanini ulichoma moto kanisa hana sababu kidini/kidunia..itafuteni hekima kupambanua vitu muwafundishe watu mafundisho sahihi..ebooo.
  12. M

    Naomba ushauri;Mke wa mtu anataka nimpe mimba

    vunja mahusiano na huyo mt..ikiwezekana badili mpaka number ya simu...si jambo jema ndugu:shock:
  13. M

    Utajiri wa Daniel Yona unatisha!

    mungu ibariki afrika..................................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:biggrin::biggrin:ngoja niiimbe wimbo huu kidogo nipunguze machungu...
  14. M

    KOVA: Sheikh Ponda atakamatwa muda wowote

    Tatizo ni elimu ndogo na madrasa,waliokwenda shule hawawezi shabikia fujo na maamuzi ya kijinga kama kuchoma moto makanisa,pia sehemu yenyewe ni mbagala ambako wauza mitumba na walala hoi kibaaaaaoooo,sinza,mikocheni na maeneo ambao wanakaa watu flani haiwezi tokea..waislamu wakienda shule...
  15. M

    Nabii Flora wa Mbezi DSM ameumbuka Uchaguzi Arumeru!

    nimwamini nani nimkubali nani...wanasiasa vigeugeu,watumishi wengine wa mungu vigeugeu,madaktari vigeugeu,.......daa kumtumikia mungu tumbo ni nouma...haya twende huwezi changanya maji na mafuta yatajitenga tu.
  16. M

    Wachezaji wa CCM vs Chadema Arumeru, soma role zao, utaipenda sana

    :smile-big:saaaaaaaaaaaaaaaaaafi imetulia ...tehe tehe teheeee
  17. M

    You are Right BASHE

    ngoja niwape mistari ..... usoni kama watu moyono hawana utu imani imetoweka mabaya yanaongezeka........kwakweli kama unakipenda chama cha magamba utakua una upungufu fulani wa homoni za akili,maslahi ya wachache mbele na wananchi hakuna haja ya kuwafikilia mnajilipa kwanza,maslahi ya wale...
  18. M

    Nia ya Dhati ya Wanaharakati Kumshtaki Livingstone Lusinde kwa Child Abuse

    Lusinde alikuja kwa wasiowake na tukamkataa adhabu ya matusi yake apelekwe mahakamani tu akajibu tuhuma....tunataka viongozi wenye stahi sio ilimradi kiongozi tu ..eboo.:A S 39::A S 39:
Back
Top Bottom