Ikiwa mteja kaibiwa king'amuzi chake na mwizi anaendelea kukitumia na kulipia kwenu mnamsaidiaje aliyeibiwa kupata king'amuzi chake? Je aliyeibiwa akija na RB mnaweza kumpa namba za simu za mwizi wake?
Tanzania inauza ardhi kwa wazungu kwa kisingizio cha uwekezaji, huku wananchi wake wakihangaika kwa kukosa ardhi. Mfano mzuri ni hapa Arumeru, Wameru wanavamia mara kwa mara mashamba ya wazungu kwani hawana mashamba ya kulima. Huku serikali yao inaendelea kutoa ardhi kwa wazungu. Inauma sana.
Kweli kabisa, wabunge walioteuliwa toka vyama vya upinzani watakuwa wanatekeleza ilani ya CCM katika baraza jipya la mawaziri. Hii itazidi kuipa nguvu CCM na kuzorotesha upinzani. Chadema wasikubali kabisa kuingia kichwakichwa kama NCCR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.