Search results

  1. K

    Joshua Nassari Kumwoa Halima Mdee?

    :A S shade:Ukubwa wake waujuhaje kama si nyie muharibuo ndoa za watu.
  2. K

    Mwalimu vs bankteller.

    :rockon:Mpango mzima kuoa mambo mengine potezea
  3. K

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    :llama:Huo mshaara mzuri unaompa ni tsh.ngapi?kama hadi wa leo serikari haijawahi kulipa mshaara mzuri wa watumishi wa umma sembuse wewe kwa house girl wako,acha kulaghai umma.
  4. K

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    Re: Unam-treat FAIR house girl wako? MMMMMMMmmmmmmmmm.......Nina Wasiwasi na hayo uliyoyaandika kama si kufurahisha umma,angalia huu ni mwezi wa toba usije ukawa unajichumia zaidi dhambi.
  5. K

    Unam-treat FAIRLY house girl wako?

    MMMMMMMmmmmmmmmm.......Nina Wasiwasi na hayo uliyoyaandika kama si kufurahisha umma,angalia huu ni mwezi wa toba usije ukawa unajichumia zaidi dhambi.
  6. K

    Amemkuta mpenzi kona na mtu mwingine……………!

    :hatari:njia ya haraka na ya uhakika ni kumtwangia simu, akikudanganya we nenda kaketi meza ya jirani na yeye ambapo lazma akuone ila usimsemeshe lolote, Hilo umetudanganya,kuketi pembeni yanini huku heartbeat zinasoma 170/120?...............Hacha Hizo.
  7. K

    Utekelezaji wa ahadi za CHADEMA waanza rasmi huko Arumeru

    Dar wasipobadlika kipindi hiki cha ushindi wa Arumeru basi wapewe semina toka kanda maalumu.By Kazaula.
Back
Top Bottom