Search results

  1. kapistrano

    Wanaomba ajira TAMISEMI kwa mfumo wa ''OTEAS'' tukutane hapa

    Na hili tatizo lakuambiwa Index Number is Invalid linatatuliwa kwa njia gani?
  2. kapistrano

    Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

    NImeona kwenye Website ya chuo wametoa majina ya wanafunzi wa postgrad Btch1 - 2020/2021. Luckly jina langu nimeliona. Asante kwa ushirikiano wenu.
  3. kapistrano

    Kusoma Masters Open University of Tanzania

    Hivyo kwa sasa nisubiri majina yawekwe kwenye Website ya chuo, baada ya hapo nireport kwenye kituo chochote cha OUT. Hivyo eveidence ya kuonyesha hapo kituoni ni majina yatakayowekwa kwenye website.
  4. kapistrano

    Kusoma Masters Open University of Tanzania

    Wamenipa Numba kwenye Email yangu ila bado sijawapigia nilikuwa nasubiri majina yatoke kwenye website.
  5. kapistrano

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nimetumiwa Email kuwa nimechaguliwa kwa Masters nisubiri majina yatoke kwenye website ya chuo then nikareport kwa usajili na orientation. Je mkuu kuna haja ya kujaza hiyo form maually?
  6. kapistrano

    Kusoma Masters Open University of Tanzania

    Habari! kwa kutumia uzoefu wako na maelezo yako natumai utanipa majibu sahihi. Mimi nilifanya online application wiki mbili nyuma na leo nimetumiwa Email ya majibu na majibu yenyewe ni kama ifutavyo. "This is to inform you that you have been admitted into Masters in .............. at the Open...
  7. kapistrano

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Maana maelezo yote yaliyokupo kwenye form ndy niliyoyajaza kwenye system ya SARIS mkuu.
  8. kapistrano

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Nimetuma maombi kutumia SARIS sasa kuna haja ya kujaza tena hiyo form manual na kuscan na kuituma na vyeti?
  9. kapistrano

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Muda wa kufanya udahili kwa level ya Masters ni mwezi gani?
  10. kapistrano

    Maswali na Majibu: Uzi maalumu kwa ajili ya wanafunzi wa Open University Tanzania (OUT)

    Mwezi gani unategemea kuanza masomo yako 2020/2021 intake?
  11. kapistrano

    Naomba ushauri kuhusu ugonjwa uitwao Gastroesophageal Reflux Disease (GERD)

    Itafika hatua na usingizi utakuwa upati vizuri kwa muda ya usiku.
  12. kapistrano

    INAUZWA TOYO (GUTTA) inauzwa

    Toyo used inauzwa kwa bei Mil 2 kamili. Location, Chombo kipo Arusha Tengeru (Sanksi) Call: 0715-498589
  13. kapistrano

    Kwa wajuzi wa kutumia Ubuntu 19.04

    Unajua kutumia Terminal kwenye swala la kuinstall application ambazo hazipo kwenye Ubuntu Software Center?
  14. kapistrano

    iPhone za Makumbusho zina nini?

    Hazina shida kabisa mimi nilinunua Samsung S8+ wako sawa na kama unataka nikuunganishe na jamaa wa makumbusho wapo sawa na guaranty juu.
  15. kapistrano

    Jipatie simu mpya

    Write your reply...Samsung S8+ nipe bei nakuja hapo hapo survey muda huu.
  16. kapistrano

    Naombeni ushauri juu ya namna ya kupanga bajeti na kuiishi!!!!

    Maana fupi ya Neno SALARY S=Small A=Amount L=Limiting A=And R=Restricting Y=You
  17. kapistrano

    Je, unapenda progaramming, je unatamani kuwa developer? soma hapa jifunze kitu

    Asante sana kwa maelezo yako mazuri. Kwa ufahamu wangu umeandika kwa ujumla sana. Mimi ningeshauri kama unataka kuwashauri beginners ungeanza kuelezea Markup language kwa sababu HTML siyo programming language.
  18. kapistrano

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Nipe maelekezo kufanya out search.
  19. kapistrano

    Kulikoni chaneli za ITV na Channel 5 zimetoweka hewani?

    Radio kwenye Azam dish sizipati nataka nifany out search nikifika kwenye factory reset inatatoke pop up inataka password.
  20. kapistrano

    Msaada jinsi ya kutatua hili tatizo kwenye ubuntu

    Ni sudo apt-get clear na siyo clean
Back
Top Bottom