Search results

  1. K

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  2. K

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr Slaa
  3. K

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Chama chenu wewe na nani? Usione vyaelea vimeundwa.
  4. K

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    kwa hiyo kwa sisi Wachaga ambao tumeichagua CCM ni wajinga? au tumekosea ili next time tusirudie tena?
  5. K

    Adhabu ya siku tano kwa wabunge wa CHADEMA haitoshi - Dr. Bana

    elimu a bana ni ya kuunga unga hivyo mimi sioni cha ajabu kwake kila anapoongea anajitahi sana kuitetea ccm akitegemea kupewa huruna ya cheo ni bora tuachane naye
  6. K

    Hongereni wananchi wa Singida Mashariki, kwa kutuletea mbunge wa taifa

    mlitaka awafanyie nini hasa kama sio kuwasemea matatizo yenu bu geni! anayepaswa kufa nya yote hayo ni serikali inayokusanya kodi vinginevyo mchgue mafisadi waliowaibia pesa zenu
  7. K

    Mbowe: viongozi wa CCM waliokuwa na mawasiliano kupanga movie ya Rwekatare waunganiswe kwenye kesi

    polisi wapi hao ambao wanatakiwa kuachwa wakafanya kazi yao! hawa wanaoua mchana kweupe! hawa wanaobambikia raia kesi? au kuna polisi wengine?!
  8. K

    Rais Kikwete atua Nairobi kushuhudia Uhuru Kenyatta akiapishwa!

    muhimu mkumbushe asisahau kopo la kutawaza na mkeka!
  9. K

    Kifo cha CCM kimetimia

    ife mara ngapi?
  10. K

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    hii ni habari njema kwa wapambanaji. Mungu awatangulie
  11. K

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Wote mafisadi tu. leta wengine
  12. K

    Dk. Ulimboka: Niko fit!

    Hata bila mgomo watu wa hali ya chini wanaendelea kudhurika labda wewe ambaye unatibiwa nje ya nchi? hivi ni hosptal gani yenye dawa za kutibu hao watu wa chini, Watu wanakufa kwa kukosa dawa wanalala chini bila ya kitanda! Hayo ndo maisha ya watu wa chini ambao DR. ULIMBOKA ametezwa kwa ajili...
  13. K

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Huyu jamaa naona ana udini sana. Sasa haya ya PADRI yametoka wapi. Tumjadili Dr. Slaa na Zito badala ya dini zao kwa sababu dini zao sisi hazitatuletea maendeleo. Kwangu mimi Dr Slaa anafaa kuwa RAIS badala ya Zito. Ninonavyo mimi hata Zito ukimuuliza kwa nini anataka kuwa RAIS jibu anaweza...
  14. K

    Wengi wajiunga Chadema Baada ya Ushindi Arumeru

    ushindi 2015 ni lazima hata bila kufungua matawi. Wananchi wamechoka na hizi siasa za kulindana wanataka mabadiliko. Tuwepe moyo na kuzidi kuwaombea viongozi wetu wa CDM ili tuweze kuwakabidhi Ikulu 2012. hakuna wakuzuia hilo.
  15. K

    Mkutano wa Pongezi kwa CHADEMA

    Hongera sana CHADEMA. SAA YA UKOMBOZI NI SASA.
Back
Top Bottom