Search results

  1. F

    Should CHADEMA Fire Zitto?

    Duu taarifa hizi zinashtua kama taarifa za misiba ya ndugu na jamaa zetu tunaowapenda. Ikithibitika kuwa waheshimiwa waliotajwa kweli wamehusika, hapo tutaamini kuwa uadilifu sio wa kuzaliwa nao bali huletwa na usimamizi madhubuti wa sheria na mifumo iliyo bora.
  2. F

    Paul Chizi wa ATCL asimamishwa kazi

    Nashukuru kaka, tuangalie uwezo na sio kukimbilia ukabila, mashirika yanateketea ukimulika wahujumu watu wanaanza kuangalia nani umemuweka ni kabila gani, badala ya kuangalia sifa na uwezo wake. hapa tusiangalie hilo tuangalie hata mtu ambaye ametoa maamuzi haya, ni mtu ambaye yuko makini...
  3. F

    Mahari na nafasi yake katika ndoa... Je, utamaduni huu umepitwa na wakati?

    Mjomba poleni, lakini tukumbuke kuwa mila na desturi za kiafrika unapotaka kuoa lazima upangiwe mahari. Kulipa mahari ni kiashiria kwamba umejali mchango mkubwa wa wazazi kumlea binti ukamkuta katika umri, afya na tabia ulizoridhika nazo. Hata hivyo sio wote tunaoweza kukabili kiwango cha...
  4. F

    HTC Touch HD - No sound at all

    Hi jaribu kubonyeza button ya power utaona number of options, option number 2 imeandikwa silent mode, ibonyeze nafikiri itakuwa ok.ikishindikana nenda kwenye menu, settings, sound then sound profile , changua normal.All the best
  5. F

    How do i change Window Vista to Window XP

    kama uko karibu na sehemu uliponunulia tafadhali waambie wakupe drivers ambazo ziko compatible na xp watakupa,then install your xp together with tose drivers.kuhusu your data recovery make sure unainstall your xp in a driver that does not contain your umportant data, otherwise move them to...
Back
Top Bottom