Search results

  1. T

    Uamuzi wa Spika kwa CAG katika jicho la Prof. Albert Venn Dicey

    Wananchi wote wanaona, bunge hili chini ya uongozi wa Ndugai, ni dhaifu, nahakika lingekuwa linaonyeshwa live, lina wabunge wazuri sana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. T

    Godbless Lema: Mwaka 2020 Nitagombea Ubunge Arusha Mjini na si Hai kama inavyosemekana

    Mbunge anatawala??kweli we fyatu Sent using Jamii Forums mobile app
  3. T

    Ester Matiko: Nimegundua wapinzani tulimpinga bila sababu Magufuli kafanya suala la maana kwenye DreamLiner

    No, namaana video hajasema hicho kilichoandikwa kwenye heading, mleta mada hajatafsiri sahihi nini kimesemwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. T

    Ester Matiko: Nimegundua wapinzani tulimpinga bila sababu Magufuli kafanya suala la maana kwenye DreamLiner

    Na ndicho alichosema kama ulivyoandika, ila aliyeandika mada, pamoja na heading ya Ayo TV vimreasilishwa kwa madhumuni hayo ambayo yamekufanya hata wewe umuelewe sivyo,sikiliza video yake Sent using Jamii Forums mobile app
  5. T

    Mbowe na CHADEMA kwa ujumla, jizuieni sana kuizungumzia Mahakama kisiasa

    Hapana, ila naona kama vile wajumbe wanatilia shaka ushauri wako ingawa labda ni mzuri, hii labda inatokana na posts zako za nyuma! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. T

    CHADEMA: Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu NEC kuhalalisha ubatili uliofanyika kwenye uchaguzi

    Tundu Lisu ameshauri kujiepusha na hatua zozote zitakazo vunja katiba ya nchi na sheria zake
  7. T

    Lissu: Makinikia yameshaondoka, Hatujalipwa kitu, Acacia bado wanasafirisha dhahabu, Bombardier siyo mpya, Dreamliner haina kibali cha kuruka nje

    Hata Mimi nahamu sana ya kufahamu hilo!! Kama sio kweli Hugo mtu aliyemuambia TL ni mbaya zaidi
  8. T

    Jukwaa la Katiba: Hii inshu ya kuhamahama kutoka chama kimoja kwenda kingine wakati mwingine ni kutafuta kiki

    Umewakilisha kundi kubwa sana lilioko chama chenu ambalo linaamini kuwa "katiba mpya ni yao sio yetu mbona sisi tunaona mambo yanaenda sawa tu!!" Yaani hii ni privilege na sio right!
  9. T

    Zitto Kabwe apewa somo maridhawa Bungeni kuhusu kuilaumu Serikali mbaazi kushuka bei

    Coincidence ya kualikwa Lower House na kukuta mjadala wa mbaazi imenifurahisha kidogo!
  10. T

    Magufuli anacheza, akifungwa anashangilia(JAAA)

    Anapokosea je! Tufanye nini??
  11. T

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atembelea ofisi za LHRC, akutana na Mkurugenzi wa kituo hicho

    Mwanasheria mzima unafanyia mzaha jambo kubwa kama hilo!!!
  12. T

    Mbona Serikali inasema Benki ya NMB ni ya umma lakini CEO/MD ni mkaburu? Tunaficha nini? Faida inaenda wapi?

    Nafikiri technology inaruhusu CEO kuwa Kenya na ku-manage shughuri za kanda yote ya EA
  13. T

    Zitto Kabwe: Zaidi ya Watanzania 380 Wanatajwa ‘Kupotezwa’ MKIRU

    Tume ikiundwa yote hayo yatajulikana
  14. T

    Rais Magufuli asema Serikali inatoa kipaumbele Kanda ya Kusini kwenye kuendeleza utalii

    Hayo ni mawazo na tabia inayochipuka sasa ya chuki za kikanda!
  15. T

    Nyerere atanisamehe sana huko aliko ila alikosea mno kuufanya Dodoma kuwa Mji Mkuu wa Tanzania

    Wakati huo Nyerere alikuwa sahihi sana kumbuka technology ya wakati huo ilikuwa chini sana, yaani maendeleo ya watu yalihitaji kusafiri kwa magari kwenda makao makuu ya nchi kufuata huduma za kiserikali
  16. T

    Jamvi la Habari: Mbowe amtelekeza Tundu Lissu Ubelgiji. Analala na mkewe sebuleni kwa aliyemfadhili

    Saa hizi tuko busy na ripoti ya CAG tu, hakuna wa kututoa kwenye reli!
Back
Top Bottom