Search results

  1. N

    CHADEMA na FALSAFA ZA WAARABU

    Ni mapema mno kuchukua hatua kama hizo kwani waliwastadi waarabu kuwa walianza mipango lini kwani naona wamekurupuka kufanya hivyo badala yake polisi hawatawafyatulia risasi ila watabomoa majengo ya serikali na kuharibu mali za watu binafsi hilo linaonekana wazi!
  2. N

    Prison Break - Season 3 Thread

    kibunango nipe kiunganishio niweze kuangalia huku nyumbani
  3. N

    Dira ya Elimu Tanzania

    Waberoya Hata kwa kilimo cha mkono watu wanapata pesa nyingi nenda kaangalie wakulima wa pamba,kahawa na mazao mengine ya chakula mimi nimeona watoto wanasomeshwa kwa pesa kidogo hizohizo wanazolalamika kwamba ni kidogo. Tahliso kama shirikisho la wanafunzi wataalamu wanatakiwa watupe suluhisho...
  4. N

    Dira ya Elimu Tanzania

    Hata kikwete akachia madaraka ndio tutapata solution ? Nafikili TAHLISO wafikirie jambo jingine la kufanya ili kuwafanya wazazi wa watoto wa Kitanzania kuendelea kufanya Kazi kwa nguvu ili waweze kusaidiana na Serikali katika kuwapa elimu watoto wa Kitanzania. TAHLISO kama wataalamu wanafunzi...
  5. N

    Dira ya Elimu Tanzania

    Hata kikwete akachia madaraka ndio tutapata solution ? Nafikili TAHLISO wafikirie jambo jingine la kufanya la kufanya wazazi wa watoto wa Kitanzania kuendelea kufanya Kazi kwa nguvu ili waweze kusaidiana na Serikali katika kuwapa elimu watoto wa Kitanzania. nendeni vijijini mukaone wazazi...
  6. N

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

    Jamani nafikili watu lazima tubadilike hata kama baba yako ni kikojozi siku atakapofanya mazuri anastahili kupongezwa kwa hayo mazuri. suala la fedha za epa kwenda kutumiwa na wakulima wadogowadogo ni la msingi na lina hitaji kuungwa mkono na mpenda maendeleo yeyote
  7. N

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Wazee hii ni noma sana watu wazima na kuweka picha za uchi kwenye mtandao ambao hauko protected I SAY NO THEY HAVE TO BE BURNED FOR THIS HATUWEZI KUWAACHIA KIRAHISIRAHISI JAMANI TUSHIKAMANE KATIKA HILI HII NI BALAA KWA WATOTO WETU WANAOTEMELEA MITANDAO HII
  8. N

    Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

    Wazee hii ni noma sana watu wazima na kuweka picha za uchi kwenye mtandao ambao hauko protected I SAY NO THEY HAVE TO BE BURNED FOR THIS HATUWEZI KUWAACHIA KIRAHISIRAHISI JAMANI TUSHIKAMANE KATIKA HILI HII NI BALAA KWA WATOTO WETU WANAOTEMELEA MITANDAO HII
  9. N

    Mke Wangu Hataki Kuendesha Gari Linalotumia Mfumo Wa Manual

    Ndugu Zangu Mimi Namshaurui Mke Wangu Ajifunze Kuendesha Kwa Mfumo Wa Manual Sio Automatic Kwa Sababu Utamfanya Aendeshe Azoee Mifumo Yote Miwili Nisaidieni Nifanyaje Anielewe?
  10. N

    Wake wa Marais wetu na Mambo yao

    jamani hawa watu sasa wamezidi kuchukua vitu vyetu kwanini tusiwapige mawe na adhabu hiyo ikawekwa kwenye sheria maake wanauzi sana?
  11. N

    CHADEMA isiiachie Kigoma

    Hakuna jinsi CHADEMA lazima watuonyeshe busara zao kwa kuachia madaraka kama walivyokubaliana na CCM, bila hivyo itaonyesha hata vyama vya upinzani havijali suala zima la utawala bora na suala zima la demokrasia. muafaka wa CCM na CUF ni tofauti na huu wa CHADEMA na CCM kwa sababu walikwisha...
  12. N

    Ndomba kuwa mkurugenzi wa Takukuru soon

    Jamani mie nafikili JK amefikia mahali bora atumie wajeshi wenzake maana anaona raia wanamharibia mpaka sasa jamaa anarekebisha matatizo tu aliyoahidi wakati wa kampeni mengi nayaona bado.
  13. N

    Kifo cha David Balali: Kauli mbalimbali toka kwa watanzania

    Mwe maswali ya wadanganyika atajibu nani kama balaaa hili limeshachukuliwa na mwenyezi mungu lakini bora mungu kamchukua maana wabongo wangeweza kujichukulia sheria mkononi wakamchoma moto kama kibaka wa tandale bila hata kumsikiliza. eee baba muweke mahala pema peponi balaa hili! na...
  14. N

    Hatimaye JK akabidhiwa ripoti ya madini

    Sijui bungeni itakuwaje hapo june naona wabunge wetu wanaweza wakang'oa viti vya nyumba ya sita kama kenya hebu tusubili!
Back
Top Bottom