Search results

  1. M

    Ole Sendeka; mashambulizi ya CHADEMA kwa Kinana ni matokeo ya ziara ya Morogoro

    ma ccm wote mataahira, na wafa maji hawaachi kutapa, wanakaribia kukata roho, miaka hamsini ya utawala leo hii, mvua ikinyesha mara moja tu, barabara hazipitiki hivi mna akili kweli?
  2. M

    Barua Kwa Rais Jakaya M Kikwete-Usipoangalia Utaiacha Nchi Imevunjika Vipandevipande

    Hilo mbona ndo lengo lake , ila kwa ujinga anadhani atapona, kwakuwa aliingia madarakani kwa mgongo wa ubaguzi(makundi) hivyo dhambi hiyo haitamwacha, lazima imtafune,
  3. M

    Update: Watatu wahojiwa Zanzibar kuhusiana na mauaji ya Padre na Taarifa ya Polisi

    tatizo la viongozi wote wa vyombe vya ulinzi na usalama ni wanasiasa tena wanalinda na kuwetetea hao waliowateua, mnategemea wawasikilize wananchi, imekula kwetu, ndo maana tunawaambia raisi apunguziwe madaraka ya kuteua teua watu katika kila sekta, ni wazi lazima wamlinde, kwahiyo kazi kwetu...
  4. M

    Update: Watatu wahojiwa Zanzibar kuhusiana na mauaji ya Padre na Taarifa ya Polisi

    DU, kugundua kuwa tulibugi umechelewa, wachache tuliliona hilo mkatuona wajinga, sasa ndo mtajuta wakati kumepambazuka, General Waitara aliposema jk hawezi kuwa rais si mlimwona mjinga, sasa yametutokea puani, lakini hata yeye haponi, Mungu si mjinga naye atapata joto la jiwe, hawezi kuwa salama...
  5. M

    Update: Watatu wahojiwa Zanzibar kuhusiana na mauaji ya Padre na Taarifa ya Polisi

    Serikali haina jipya, tangu uchomaji wa makanisa, mpaka sasa nani ameshakamatwa, polisi hawana jipya wala uwezo wa kiuchunguzi, huuu ni mwanzo watanzania subirini makubwa, hicho ndicho alichopanda kikwete alipoingia madarakani kwa makundi sasa yanaitafuna nchi, kaeni mkao wa kula mlidhani...
  6. M

    Vyombo vya Habari vyapuuza mkutano wa CCM.

    MKUU umeisahau Tabora nao bado wamelala ni mkoa wenye historia lakini mpaka sasa hawajaunganishwa na barabara ya lami hadi sasa, hiyo ndo hasara ya kuendelea kukukmbatia ccm,
  7. M

    Kwanini sipati wangu?

    Kwakweli huna haja ya kulalamika bado umri wako mdogo sana kuna watu wana 37 bado hakieleweki nao wasemaje sasa? Tulia muda upo utapata
  8. M

    Hawa Ndio Mawaziri wa JK; Waziri Mwinyi asema kwa sasa Madaktari bingwa si muhimu!!!

    Lakini tuliwachagua wenyewe tena kwa mbwembwe na ushabiki .....ccm ni no one...nani wa kulaumiwa?
  9. M

    Lini tutasikia tamko la JWTZ kuhusu mgogoro wa Malawi na Tanzania?

    ndo ujue hata jeshi letu limetekwa na wanasiasa, au kuongozwa kisiasa.....tz hakuna kitu
  10. M

    Bungeni - Kashfa ya Rada Wenje ailipua upya

    mtajuta kuchagua ccm....na bado..
  11. M

    Makamu M/kiti BAVICHA-Taifa atikisa Mbeya..

    tatizo la magamba, hawajui kupima maendeleo kwa muda wanaangalia karibu wanasahau muda waliokaa madarakani hauwiani na maendeleo ya nchi. Tatizo mwenge umeshaawaathiri....wamepoteza hata uwezo wa kufikiru wamebaki kuwa washabiki wa chama ambacho hakina msaada....waulize wanajua kauli ya vigogo...
  12. M

    Mh. Membe atoa kauli nzito Bungeni kuhusu Malawi!

    moyo tulikuwa nao wakati wa iddi amin kwasasa haupo kabisaaaa.....usijidanganye...hakuna wa kukubali kufa ikiwa nchi inaliwa na wachache tena kwa jeuri....
  13. M

    Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

    Nawaambieni watanzania kabla huyu jk hajamaliza muda wake atakuwa ametukoroga sana katika udini, majimbo, ukabila, makundi ya wasionacho na wenyenacho.......nyie mchekeeni tu ....anaangamiza taifa tunamwangalia tu!
  14. M

    JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

    Mlimchagu wenyewe tena kwa mbwembwe kuuuuuuuuuubwa! Na bado mnamwona yeye na chama chake ndo kinafaa kuendelea kutawala.....msilalamike jamani......ndo chaguo letu mliona ndo bora....sasa wengine watakuwaje?
  15. M

    JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

    ndo mwone sasa, kuwa kiongozi wenu alivyo dhaifu, kwa kupigwa mkwara na Mama wa malawi. Yule mama ni strong mara mia ya Jk wenu....haaaa haaaaa. ana msimamo na anaweza akawajambisha msimdharau kwani alidhubutu kumfukuza kazi mkuu wa polisi na jeshi sio wa mchezo ooooh!
  16. M

    JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

    wanafisadi nchi mpaka wamesahau ulinzi.....wanatafuna tuuuu....ni viiongozi wa ajabu sijawahi kushuhudia, yaani jamani nchi ipo ipo tu!!!!!!!!!!!!!Hakuna kitu kilicho sawa sawa kila kitu kipo mrama
  17. M

    JK, peleka jeshi ziwa Nyasa

    Wala siafiki jeshi kwenda kutetea uongozi dhaifu kama huu. waache wachukue tu.ni bora kwani uongozi wenyewe hauwajali watu wake, ikiwezekana walianzishe kama idi amini powa tu, cha kufia nini. Uzalendo ule wa vita na uganda ndugu yangu nikwambie haupo tena, na ndio maana hawezi kufanya hivyo...
  18. M

    Mashirika ya Umma Tanzania: Yapi bado yapo, yapi yamekufa na Kwanini?

    Lazimi wamshangae kwani hakuna atakaepona hasilani. Na hakika haiwezi hata kujadiliwa kwakuwa ni kitanzi chao wenyewe..
  19. M

    Mashirika ya Umma Tanzania: Yapi bado yapo, yapi yamekufa na Kwanini?

    hakika, na kweli kabisa. Nchi ya uchina kesi haizidi siku tatu, mkosaji ameshapata haki yake....
Back
Top Bottom