Search results

  1. S

    Prof. Lipumba: Nitatumia hekima za Ndesamburo kuimarisha utalii...

    Unataka mvuto gani au unataka ahutubie siasa za vurugu na kutaja mafisadi kilasiku baada ya kuonesha strategies how we can develop!
  2. S

    Tabia ya kuhonga Wanawake...

    Haki saw kwa wote, na iweje raha mle wote but pesa itoke kwa men
  3. S

    Zitto: Nia, Uzalendo na Uwezo wa kuwa Amiri Jeshi Mkuu wa Tanzania ninao!

    Hiki chama chake Zito kinaonekana kina mtu wanaemtaka awe president na wanaomba sana kama kusingekuwepo na uchaguzi wa ndani ya chama,ili wampitishe mgombea wao. Kwahiyo hii inaonyesha kuna matabaka ya aina nyingi ndani ya hiki chama but yanafumbiwa macho. Kwann hamtaki Zito awe rais wakati ana...
  4. S

    Uamsho na Kauli Mbiu ya CHADEMA

    Nimeamini Nguruwe anawaalibu ubongo mpaka mnakua wavivu wa kufikiri.
  5. S

    OPERESHENI Okoa Kusini ya CHADEMA yashika kasi

    Good job CDM, but how Zito as one of the greatest kamanda hatumuoni katika hizi harakati?
  6. S

    chadema hili turekebishe!!

    Kuna kitu kimejificha! but i,m sure very soon mbichi na mbivu itajulikana.But what is interesting is how they can stop play gospal while SLAA ni Padri aliyekiuka maadili
  7. S

    Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum, nini majukumu yake?

    Hapo nampongeza Rais Kikwete coz Mwandosya atakua kama Gaucho au Zidane katika timu yaani mchezaji huru, so atakua anacheza namba zote and he deserve that position. I think this would be one of the good team to happen in Africa, much respect to JK for innovation of new strategies so as to reach...
  8. S

    Siri kuhusu wajumbe wateule wa tume ya katiba

    Watanzania kila kitu mna doubt, sasa mnadhani hii katiba ni ya wananchi au ni ya vyama vya siasa. Kwahiyo mlitaka achaguliwe SLAA ndo mfurahi, lazima mjue kwamba si kila mtu aliyekomboka (conscious person) basi awe CHADEMA
  9. S

    Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

    Mkuu, nna wasiwasi kidogo na hoja uliyoitoa. Unaposema fungueni madrasa za kutosha, in one way or another unalenga itikadi zako za udini,but wanaharakati tunaendelea kuwaamsha watu waliolala usingizi tena kwa usingizi wa pono, ili waepukane na itikadi zenu ambazo zina lengo la kukandamiza upande...
  10. S

    Lipumba; CCM bye, bye, bye Tanga.

    Lipumba ndiye anayefaa kuwa kiongozi wa nchi hii, but now days watu wanapiga kura kwa kufuata itikadi fulanifulan na sio kuangalia sera safi kama anazozitoa Prof. Katika wagombea wote wa nafac ya Uraisi Lipumba ndiye anayestahiri, kwani alishawai kusema yeye ni mlima kilimanjaro na wengine...
  11. S

    Nmeipenda sana kauli ya kiongozi huyu wa dini

    Mkiambiwa kuna udini umejificha mnakataa!
  12. S

    Tume ya mabadiliko ya katiba

    Sasa we ndo Mdini
Back
Top Bottom