Search results

  1. S

    Someni hapa kina dada...

    ...ni kweli, kila wakati nilipokuwa depressed solution ilikuwa ni ku-do. Nimefanya hivyo takribani miaka kumi na imenisaidia sana. jana nilikuwa depressed nilifikiria ku-do ili iniondolee stress. leo asubuhi nimesoma utafiti huu...kwa uzoefu wangu naona utafiti umenena!
  2. S

    Mh Mwigulu adhalilisha walimu wa UDSM

    ...he is insane!
  3. S

    Gwanda za chadema

    Botique nyingi wanauza, ni common. Fika maduka ya Mwenge, Posta mpya, kariakoo na kwingineko kwingi tu. Gwanda zilikuwepo toka zamazi ila CDM waliamua kufanya kuwa vazi lao rasmi. Kuna kila rangi za gwanda utazipata bila wawasi.
  4. S

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    ...siwezi kushangaa, anaudhalilisha usomi wake. siasa sio chuki za nmna hii....real he is insane and stupid!
  5. S

    Exclusive Interview: Waulize maswali Nape Nnauye na Ruge Mutahaba

    Nape ni miongoni mwa wanasiasa wazuri, namshauri aachane na propaganda/siasa za maji taka hizo ni siasa za kizamani enzi za chama kimoja. Sasa hivi ni siasa za kisasa zinazoenenda na utafiti, ukweli, utashi wa kisiasa na uzalendo wa kweli kwa taifa na watu wake ndicho kilichomfanya awe katika...
  6. S

    Said Mtanda vs Dr. Hamis Kigwangalla

    ...CCM uwezo wa kufanya kazi ama sifa stahiki sio kigezo cha kushinda.... mtandao gani upo ndio kigezo!
  7. S

    Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

    kwani hilo jeshi lenu halina kazi nyingine mana tumechoka kusikia skendo zake?
  8. S

    Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

    yashangaza kuona mtu anakatiliwa haki ya kuishi kwa kusimamia na kuongea ukweli na kama ni uongo mbona huyo mnae muita IGP wenu kanyamaza,na ukweli wanaujua mwezi mungu mwenyewe muumbaji hamnyimi mtu haki ya kuishi lakini wao wamekua wakwanza kuhukumu mabaya kwa watenda mema wanyonge tukimbilie...
  9. S

    Morogoro: Askari ajiua kwa uzembe wa uongozi wa jeshi la polisi

    Kwa jinsi mwili wa marehemu unavyo onekana sio wa kujinyonga watanzania tumeshazoea hayo ila mwisho unakaribia.
  10. S

    Ethiopian Airlines to receive its first Boeing 787 Dreamliner Next Week - 3rd B787 Dreamliner

    What is difference btn Air Tanzania and Ethiopian Airline. While Air Tanzania can not crew, stand or walk alone Ethiopian Airline is running, competing at the London Olympic coming up with Gold medal. Is this a curse to Air Tanzania?
Back
Top Bottom