Search results

  1. W

    Should Maximo stay and enjoy the money 4 nothing? - Contract to be renewed?

    Kujua kuucheza mpera sio lazima ufundishwe na kocha kutoka Brazil.Tanzania tumepoteza vipaji vingi sana vya mpira,Timu yayanga iliwahi kumleta kocha kutoka nchini Romania kwa jina Victor ambaye ndiye aliyetoa wachezaji kama vile Adolph Rishad,Mkweche ,Jaafar na wengine wengi tuu.Halfu akaletwa...
  2. W

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Ndio Jasusi,i'ts been awhile since bcstimes,but you have asked me about Ngabu,i'm absolutely have nothing to do with that chap infact i don't deal with people from some org .(christian organizations). peace!!!!! Willo
  3. W

    Iran yajaribu kupitisha Uranium Tanzania!

    Acheni siasa mbovu,kama Tanzania inashiriki kusafirisha madini ya Uranium kwenda Iran,hilo sio tatizo lenu,Kikwete sio wa kwanza kutumiwa katika deal ya Congo,Lawama zote mpeni Ben Mkapa ndiye aliyeanzisha mchezo huo baada ya kuhongwa na akina M7 na P/Kagame ambao invasion ya Congo ni kwa ajili...
  4. W

    Wasi Wasi wa Udini

    TuTsis against HUuts,luosagainst Gikuyus,Lan'gos againstA Cholis Wakristo against waislam ,light skin againstdark skin,Africans what is our real problem,...wither africa??????????what's going on guys?have we lost our focus?.This topic real annoyed me ,i'm sick of us looking to one another based...
  5. W

    Wasi Wasi wa Udini

    Kwanza napendakuwakumbusheni wanabodi kuhusu suala la udini,kumbukeni JK anauata nyayayo za Mkapa ambaye wengi walifikiri ni mdini wakati alipoingia nikiwemo mimi,kwanini tusiwaache viongozi kufanya kazi zao kama katiba inavyowaruhusu na kuwapa nguvu?,suala la udini tusipoangalia linaweza...
  6. W

    Kuunga kwetu Zimbabwe hakuna mjadala - Kikwete,

    Mara yangu ya kwnaza kumuona ndugu yangu Augustino Moshi akiandika namna hii yaani ni mzalendo mwafrika wa hali ya juu na aliyoandika kwenye reply yake ni sawa kabisa na vile vile hata mimi nimekaa sana Zimbabwe na ninafahamu vizuri sana system inavyofanya kazi na hatua za Mzee RObert MUgabe ni...
  7. W

    MV Kikwete inazama?

    Napenda kumfahamisha ndugu yangu Augustino Moshi kwamba uchumi wetu kudidimia unatokana na kudidimia kwa uchumi wa marekani ambao sisi ndio uchumi tunaoutegemea kwa kipindi hiki cha mpito.Kumbukeni kwamba bado tunanafasi kubwa sana ya kuukuza uchumi wetu kama JK ataweza kutumia kipindi chake...
  8. W

    MV Kikwete inazama?

    Msimlaumu JK kwani meli aliyoachiwa ilikuwa na matundu mengi sana na sasamaji yameanza kuingia ndani ,siwezi kushangaa kama meli hiyo itazama na kama kweli akitaka meli hiyo izame basi awarudishe akina KIgoda na Mramba ambao ndio wahusika wakubwa katika kutoboa matundu katika meli yetu.Msiwe na...
  9. W

    In case You missed it: Watch Darwin's Nightmare!

    Kitils, kama upo North America nenda kwenye blooooockbuster yeyote ile au Rogers utaweza kuipata hiyo documentary film tayari imewekwa kwenye DVD ,inasikitisha sana mambo niliyoyaooooona humo ndani ni masikitisho matupu jinsi hali za wanannchi zinzvyozidi kushuka chini wakati wageni wanaendeelea...
  10. W

    In case You missed it: Watch Darwin's Nightmare!

    Naomba wenzangu kama mkipata nafasi mngejaribu kuangalia documentary movie kuhusu uvuvi wa smamaki mkoani Mwanza. Mimi nieiangalia na kuna mengi sana nimegundua yanatakiwa yajadiliwe Nchi yetu utafikiri haina uongozi,yaani utafikiri bado tuko katika karne za kale sana ambazo zilikuwa hazijali...
  11. W

    Siku 101 za Kwanza - WaTZ tumekosa nini?

    KUangauka kwa bcs kumetokana na sisi wenyewe matusi yamekuwa mengi sana na kuna baadhi ya wachawi wakiingia hapa kwetu watatuharibia pia kama bcstimes. peace!!!
  12. W

    Utekelezaji wa kutangaza mali za viongozi wa umma

    NDugu zangu hilo ni zoezi la wakomunisti,tukiana kumcambua kila mtu basi huo ndio utakuwa mwanzo wa mfarakano kwa taifa letu changa.Kumbukeni zoezihilo lilianznzishwa na Sokoine na lilileta matatizo makubwa sana nchini,hizo ni politicsza kukomoana na fitna tupu.kumbukeni serikali yetu inasheria...
  13. W

    Nini hasa dhumuni la nchi kuwa Huru?

    Nakubaliana na Jamberi kwamba huo uhuru unaouzungumzia bado kabisa hatujaupata, huu tulionaoni fantacy tupu lakini sio uhuru kwa maana ya uhuru. Kwanza ni vyema tufahamu definition ya uhuru au kuwa huru, maana yangu ni kwamba kuwa huru ni uwezo wa wananchi wa nchi fulani kuwa na uwezo wa...
  14. W

    Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

    Ndio mheshimiwa bwana SAID YAKUB suala la uraia wa nchi mbili ni muhimu sana kwa mataifa yetu machanga ya kiafrika,kuna mengi sana nchiinawezakufaidika kama zoezi hili litafanyika. Tunawezajifunza sana kutoka INdia na Pakistani ambao wenzetu walianza zamani sana mambo haya na kuna programs...
Back
Top Bottom