Search results

  1. K

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    May God rest his soul in peace. Most of us we didn't know you in person, but this tragedy has shocked all of us. But we will never forget the love you had to this country.
  2. K

    Ulinzi kwa Dr. Magufuli ni wa kichama?

    Kuna watu wamelewa madaraka, hata kinachoongelewa hapa hawakielewi. Wanajiona kama wana hati miliki ya nchi yetu. Tunataka fair political ground, no matter where you come from. Sasa tukianza jibishana na hawa we just wasting our energy and resources.......
  3. K

    CCM nguvu mnayotumia kwenye Fitna,mngetumia kuleta maendeleo

    Naisi uwezo wa kufikiri wa mtanzania ni mdogo sana. JK mkwere, sijui wakwere wamefaidika nini kwa yeye kuwa raisi. Kula za wasukuma sasa zinatafutwa, ngoja wapimwe viatu....wataisoma #
  4. K

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Tukemee wote wanaotumia cheap politics za udini na ukabila for political gain. Personally, sijafurahia hiyo video. Let's discuss politics itakayotutoa hapa tulipo,Mkapa alikuwa mkristo cjui mkristo gani atasema aligain more than Muslims, the same as JK. Ni wale wale elite walio kule juu either...
  5. K

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    Embu discuss kama intellectual, udini, ukabila hivi raia wa kawaida kama mimi na wewe unatusaidia nini? Wote tunaumia kwa maisha magumu.
  6. K

    VIDEO: Prof. Lipumba akiri kumsaidia Rais Kikwete katika Uchaguzi 2010

    This is not professorial materials, lipumba is not a serious politician. How can he be so divisive like that? Is he still dreaming to be a commander in chief? No way, I'm pro-ukawa but I won't vote for him if he runs for high office. JK will be better than him.
  7. K

    Hotuba ya Rais Prof Jakaya Kikwete, Ukumbini Uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    We're so pleased to see our beloved his excellency Dr, Prof, Hon president (people's president) Jakaya Mrisho Kikwete in such good spirit of health and wonderful smile. But it was unfortunate your speech was more of politicizing your health status and shifting media attention from the pertinent...
  8. K

    Mpasuko CCM: Watofautiana juu ya Serikali mbili

    Hivi CCM ina wanachama wangapi mpaka wawachagulie wananchi katiba wanayoitaka wao? Tusitoke kwenye hoja ya msingi hapa, hii ni katiba ya Tanzania ambayo ina wenye vyama na wasio na vyama, believers and non believers, nasikitika kwanza politicians ndio wamejipachika jukumu na kieleele cha...
  9. K

    Yaliyojiri katika Uchaguzi wa Udiwani kata 27 na Matokeo - Feb 9, 2014

    Mie napata taabu sana kuwaelewa vijana wezangu, embu tuache huu umbea wa vyama tuangalie nini maitaji ya taifa kwa wakati huu na future generations, je 52 years post independence tumeridhika tulipofika? Je quality of ur education, states of health services nk vinaendelea kukua au kudidimia...
  10. K

    Je, Rais wa Zanzibar ana mamlaka ya kutangaza siku ya mapumziko Tanzania nzima?

    Mimi sio mtahalamu wa sheria, labda itakuwa vizuri vizuri wale wenye utahalamu wa constitutional law waje watueleze, nini implication yake kisheria kwa president of revolution govt of Zanzibar to declare kesho ni public holiday! Je Jk needs to come forward and elaborate this? Je was it clearly...
  11. K

    Ujio wa Obama Ilala walitumia 350mn kwa usafi

    Utaona kaka kama wasiopenda maendeleo watachangia huu uzi!but if the story is true, tumrudie mungu ndugu zangu tutubu zambi zetu! Nchi tumerogwa. How comes hospitali hazina dawa, vifo vya mama zetu wajifunguapo vinaongezekae, run down schools, sha we are spending such amount? Je hiyo miundombinu...
  12. K

    Asante Ndimara Tegambwage umenena vyema

    There some people are using Lower center instead of their higher center to make an argument in this forum! Let's discuss the motion put forward before us! Mara uyu msukule mara kibaraka so what? Uwezi kuchangia kaa kimya! Let's be part of solution, If this forum is real the home of great thinkers!
  13. K

    Zitto ashinda pingamizi dhidi ya CHADEMA, sasa Baraza Kuu kuamua uanachama wake

    What were you expecting from judiciary ruled from luthuli street? Tanzanian judiciary, legislative are all arms of executive ruled by gang of thugs! I am pro changes doesn't matter where that changes comes from, but not from this mob of thugs! We need independent Parliament and legislative! We...
  14. K

    Chadema kususia kuangalia TBC ni sawa na kususia kuona mwanga wa jua...

    Hii hata my 2 years daughter haitaki kabisa.
  15. K

    Press Conference - CHADEMA HQ

    My fellow citizens, when will we stop politics, and think about future generation? We have seen our economy is in bad shape, our national debt is tremendously increasing, and the state of our infrastructures is in really mess! But my fellow citizens our leaders doesn't not like to address this...
  16. K

    Press Conference - CHADEMA HQ

    Without research you have no right to speak!
  17. K

    Zitto anakataje Rufaa wakati aliomba kujiuzulu?

    ZZK has to go,he lacks respect to the party! If he thinks is more than a party why shouldn't he leave and form his party? So that all his followers should join him!
  18. K

    PICHA: Yanayojiri Kigoma katika mapokezi ya Zitto

    Unatumia anal sphincter kufikiri nini? Unamaaninisha mtu ni zaidi ya taasisi? You should go and hang yourself if that is the way you can analytical analyze things.
  19. K

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Singida ajiuzulu. Adai Kamati Kuu ni wanafiki...

    CDM is an institution and not an individual! Institution has never died after death of either their founders or any individual. Nyerere died but CCM is still alive, aging and lacking attractiveness among the youth, Chairman Mao died but communist party in republic of China still remained strong...
  20. K

    Rais Kikwete atangaza nia ya kuanza kwa Ujenzi wa Kimataifa wa Reli ya Kati

    Hivi mpango wa ubinafishaji reli ya kati uliohasisiwa na mkuu kwa mbwembwe nyingi na waziri wa miundo mbinu wa wakati huo umeishia wapi? While Kenya are lunching their sustainable ambitious vision 2030 including Konza city project, Grand East Africa railway etc, sie bado tuna nia kila siku nia...
Back
Top Bottom