Search results

  1. K

    Uchaguzi 2020 Lowassa: Huko kina Lissu wameanza kujipambanua kwa sera, fujofujo mpaka matv mengine yanatisha. Rais wetu usitishike

    Lazima achanganye mafile maana waliomtenda ndio hao hao anajaribu kuwapamba lakini Mungu sio Asumani anaufunga ulimi na ubongo wake ili andiko litimie. KIJANI MUST GOOOOOOO
  2. K

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anajaribu kuwadaganya, mpotezee

    Kwa hiyo kwa sababu hajatangazwa kuwa mgombea ndio anaruhusiwa kutoa rushwa?!hizo pesa anazogawa ziliidhinishwa na bunge gani na kwa shughuli ghani?!mada nyingine ni za kujadili na wanachama wenzio huko vikao vya ndani kwenye kudanganyana na sio za kuleta kwenye majukwaa ya watu wenye kufikiri...
  3. K

    Uchaguzi 2020 CHADEMA pumzi imekata, Bernard Membe asakwa

    Huko walishazoea sera ni za mgombea na sio za chama.CCM ilishajifia siku nyingi tu ni vile watanzania wengi hawajui nyakati. ndio maana kila siku mzee Mkapa alikuwa anamkosoa JPM anaposema serikali ya Magufuli badala ya serikali ya CCM lakini watu hawakumuelewa yule mzee masikini. ukitaka kujua...
  4. K

    Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Usicheze na profession za watu kuziingiza kwenye ujinga ujinga bana.weka siasa mbali na facts.hela zimepigwa baasi ni professional gani ataingilia mabishano yasiyo na tija?
  5. K

    Nilitegemea hotuba za wastaafu zijikite kujisahihisha kwa nini waliua na kugawa kwa wahindi TTCL, ATCL, NBC, TRL, watueleze kiini cha ESCROW, KAGODA

    Nyumba ndogo zake zote ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ u made my day bro......vimada wote mapovu kama yote kumtetea kidume wao dadadadadadadeki
  6. K

    Makonda haguswi, ni mtoto wa baba. Ajali ya ndege ya Auric iweje wanajeshi wafanye uchunguzi wakati ni ndege ya kiraia? Tunaficha Ebola?

    Off point.huwezi kuelewa mambo ya akili kubwa haya mzee.potezea tu sio lazima uchangie kama huelewi
  7. K

    Kwanini utawala huu unafumbia macho kauli za kukufuru?

    Apandishwaye na Mungu atashushwa na Mungu.tuombeane uzima. na hao wanaompa utukufu wameshamsoma anapenda utukufu.
  8. K

    Zitto: Magufuli anakutana na Maafisa watendaji ili kulazimisha CCM ishinde uchaguzi Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu

    Kojoa ukalale. ila ukweli utabakia pale pale kwa anayosema Zitto.matendo yanaongea kuliko maneno.
  9. K

    Tetesi: Hizi tuhuma ni nzito sana, kama ni kweli, hii โ€˜chainโ€™ itapeleka wengi gerezani kwani ni sawa na uhaini

    Na wewe unayelipwa kwa kodi zetu sisi masikini kuja kutetea ujinga huu huku mitandaoni unajiona ni mzalendo?kama huyo bwana ana makosa hayo kwa nini asipelekwe mahakamani kuliko kumshikilia?
  10. K

    Nyerere alisema Upinzani Imara Utatoka Ndani ya CCM. Mbowe relax, Zitto relax and watch the game

    Ndivyo ulivyotumwa?! ili kumuua nyoka inabidi agongwe kichwa na mkia.
  11. K

    Naipenda Jumamosi yangu - Stori bomba ya uhusiano

    Jamani hivi Lara 1 yuko wapi?I miss dat chick....hivi ni demu lakini kweli maana naye haelewekagi
  12. K

    Kauli ya Spika Ndugai kuhusu Makonda imetupa siri tatu muhimu

    inabidi awe rais wako wewe na mkeo na ndugu zako kwanza halafu ndio arudi kwetu.shubaaaaaaaaamiti yako
  13. K

    Acacia Yaikana Barrick Mchana Kweupe!. Yatoa Press Release na Kumruka Barrick Kuwa Haijui Chochote Kuhusu Makubaliano Yoyote na Tanzania

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Vita ya kiuchumi ni ngumu sanaaa.....Masikini Lissu namkumbuka sana kwenye hii sakata.alitutahadharisha lakini ujuha ukatupoza. saa hizi yupo anauguza majeraha yake kwa kutaka kuwasaidia wadanganyiaka.pole sana Lissu
  14. K

    Zitto: Ripoti ya CAG inaonyesha Sh. Trilioni 4.8 zimetumika bila kupita Mfuko Mkuu wa Serikaliโ€ฌ, Ikulu yatumika kuficha ukaguzi wa manunuzi ya ndege

    wewe una kichaa cha mbwa sio bure.wewe unafikiri fedha zote hizo zilizopotea/kutojulikana zimeenda wapi zingeletea watanzania wangapi maendeleo? ni bora ukanyamaza kama huna cha kuandika hapa na sio kwa upotoshaji huo nyambaaaaf
  15. K

    Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo ameamua kuanza kuivunja Katiba ya nchi?

    Kwani hata katiba yenyewe anaijua sasa? achilia mbali mkuu wake?kila kitu ni politic tu
  16. K

    Tukimchukia Dudubaya, tuwe na uthubutu pia wa kumchukia Cyprian Musiba

    Hahahahahaaa......Cyprian Musiba anaweza kuwa muongo kuzidi Chama Cha Majizi kweli?!!
  17. K

    Kardinali Pengo, kataa jina lako kutumika kumtakatisha Makonda ili kulinda heshima ya Kanisa Katoliki

    Pengo alishajishushia heshima yake siku nyingi sana kuanzia pale alipolikana tamko rasmi la baraza la maaskofu yeye akiwa mwanachama juu ya uhitaji wa katiba mpya ya wananchi.kwa hiyo kwa sasa hata akikubali kutumika kumsafisha makonda au kutetea maovu tunayotendewa sisi waumini/kondoo wake ni...
  18. K

    Ujumbe wa Askofu Dk. Stephen Munga kwa kusanyiko la viongozi wa dini Ikulu

    Inabidi wanyooshwe maana wamekengeuka na kuwaacha kondoo wanatawanyika.sasa hizi mnazoziona ndio sura zao halisi.wamekaa kimasilahi binafsi zaidi na sio kuwaongoza waumini wao njia zilizo njema.waumini wa watu hawa inabidi wajipime na kutafakari umpya.haiwezekani waumini wananuka tabu na...
Back
Top Bottom