Search results

  1. B

    Swali: Je Wabunge wana-influence kwa kiasi gani bajeti ya Serikali?

    Mara nyingi naona ni kukamilisha ratiba tuu....kama serikali ni sikivu kama wanavyotaka wajulikane mambo mengi sana yenye impact katika jamii ambayo wabunge wanawasilisha yangepatiwa ufumbuzi pia naona sometime wanaangalia hoja/mchango imetoka wapi kama ni upinzani tupa kapuni.
  2. B

    Spika apata wageni toka Malawi!

    Nimeupenda sana huo wimbo..ngoja niweke mashairi yake hapa wadau msome: MISS TANZANIA-SOLO THANG "[Ubeti wa Kwanza] Baba yake alikuwa mkoloni kipindi huyu Miss mwali Mchonga alikata utepe lakini hakuvinjari Sababu alikua busy kumlinda na geti kali Kumbe wenzake wanabinjuka, kushtuka akakaa...
  3. B

    MJADALA WA WIKIENDI: Kufurika katikati ya Jiji la Dar ushahidi wa kikomo cha uwezo wetu kufikiri

    Manispaa hizi 3,kinondoni,ilala na temmeke wanakusanya mapato mengi sana,lakini ufisadi ndo unakwamisha mambo,mbona kuna vichwa kibao vinaweza design system nzuri ya maji safi na maji taka???? mimi sitaki kulaumu lakini wabadilike ni muda sasa wa kutumia wataalam wetu waliopo,...maana system...
  4. B

    Katika hizi ID za JF unaweza ukahisi ninani??

    no need of name,haa hoja tuu..
  5. B

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    kikwete katufikisha wapi???...acha kutumiwa wewe utaendelea kubaki na njaa zako ivo ivo...
  6. B

    Swali gumu:Nani kuongoza kampeni za CCM Arusha mjini?

    hiyo yote ni hujuma nyingine dhidi ya CDM tuu...let see tuone itakuwa vp???;;;;;;naona wale wa kijani watakuwa wanashangilia now:crying:..
  7. B

    Kazi Zingine Balaa Tupu!!!

    mara nyingi kazi dangerous kama hz smtime ndo zinalipa...kuna belts maalum za kukaa kwenye highest points..good 1.
Back
Top Bottom